Hahahaha nikikumbuka vile vi vlogs vyao walivyokua wakijirecord kipindi huyu elephant wao anaanza kujitokeza naishia kucheka π
π
π
π
Walikuwa wanajipa vijisafari uchwara vya kwenda kuogelea kwenye vidimbwi Mombasa wakati hiyo culture sio yao π
π
π
yaani wakenya hawana utamaduni wa kusafiri kabisa ndani ya nchi yao ukilinganisha na watanzania
Ndio maana hushangaa jinsi Tanzania tulivyo na busses nyingi na abiria ni in thousands per day, wakenya ni ukabila umejaa kiasi kwamba hutoona mtu anaenda kwenye mkoa ambao hajazaliwa huko na kila mtu anaona Nairobi ndio kila kitu, tofauti na Tanzania ambapo mikoa yetu yote ina mega potentials na yote ipo hot ndio maana shughuli za uchumi zipo hot kila mkoa na usafiri upo hot kila mkoa.