ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
๐๐๐๐๐ leo patamu sanaMedia media, kila mtu kaandika kivyake hapo![]()
๐๐๐๐๐ leo patamu sanaMedia media, kila mtu kaandika kivyake hapo![]()
watu wanapiga pesa wanasiasa wanaraha sana ๐๐๐๐๐
Munamuogopa sana hustler kumbe, kwanza naomba akalie kiti kw miaka mitano tu muone cha moto..
Sai tunawaekea jamaa asiyeyumbishwa alafu mlete choko![]()
Si nyie mnajiskia mbabe, hapo mmeshafika basiHawa wataka madaraka wenu wanojiita hustler hawana lolote. They just power mongers. Once they enter the state house things become worse than before! Only time will prove me wrong or right Komora096!
Hahaa!!iddi amini kaufyatani baada ya kuwaomba mabwana zenu(u s) warushe f5 fighter mombasa
je unajua mliwaaidi nini ili muokolewe?
laiti ungejua the story behind this wala usingepost uharo hapa
hata mm naona ๐๐๐๐Patamu na wakati post zako zina matege![]()
Hata drainage system hamna . Wakati nimeona arusha wameanza weka sewage system inaunganishwa moja kwa kwenye nyumba. Mifumo ya maliwato na majitaka mengine yanaondoka moja kwa moja bila kuwekwa kwenye makaro nyumbani. Itapunguza mazalio ya bacteriaEdward Wanjala njoo utuoneshe pedestrian way iko wap
View attachment 1583795View attachment 1583796View attachment 1583797