Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamutulishi kabisaa, wacha kujitekenya mzee, hamna uwezo wa kulisha nchi nyingine nyie, eti muwape bure bure, mko ovyo mnaeza kufa na umasikini, Sisi wajanja tunanunua pale marikiti kutoka kwa Lorry za Uganda na Tz tuna repackage and sell behind our car boots huu wakati wa covid19, mtaani watu wengi wamekua mama mboga na kufaidika zaidi ya hao wakulima wenyu.
Soko kando ya barabara. Mkenya ni mjanja na wakujituma, nyie mpo mpo tu.
View attachment 1461618
 
The Colosseum Residences - Muthaiga

Render
colosseum_0003_Gate_View.jpg


colosseum_0000_nightview_citypark.jpg




Construction
colosseum-1.jpg



NOv 2019
colosseum-2019-1.jpg

colosseum-2019-2.jpg



So far imefika hapa

ESZs6__WsAAtyFf
 
A plus to local farmers, besides it is a projection, tutaishi na tutakua hapa beyond covid19, na maendeleo pia, we are the most resilient lot in EAC...
Resilient economy does not go for $2 bln injection in credit!
 
Tuko na sera tofauti mzee, huwezi mlazimisha mbongo akae kwenye hostel.. Issue nikuzuia ujenzi holela na usiofuata taratibu, hizo project ziwepo kwa ajili ya watu watakao pendezwa nazo ila sio lazima kwa watanzania wote..
Yah na ndicho kitu cha kupigia kelele, kwamba tusiruhusu ujengaji kiholela uendelee cz unachafua mandhari lkn pia kimazingira co sawa kabisa, ila co mtu anatoka alipo huko anakurupuka oohh kuwe na appartments nchi nzima, apo lazima tukurupuke naye.
 
Resilient economy does not go for $2 bln injection in credit!
Inaitwa biashara nyie mtapewa donation/grant ngapi?., niliona sehemi kuna msaada iko approved by wazungu mnao wachukia for Tz, sisi tulikataa tukaamua ni loan tutalipa tu, mukulu naye aliomba musamehewe madeni na pia nchi zingine Africa kwa ajili ya covid19, wakati wa kawaida huwa mnashindwa kulipa kisha munasamehewa, kwingine wanakataa kuwasamehe ndege zinashikwa., stick to your lane bro, ni lanes kaka, covid19 imewaweka pabaya., let us compare notes post covid.,it will be hard as at now to achieve your economic projections, which is trend across the globe., wenye misuli watasimama, wadhaifu wataporomoka., wait and see.
 
20 million kenyans ni robo ya Kenya? Ama 30 million Tanzanians ni nusu ya Tz? (Talking landwise; which is the context of your argument), understand figures of speech wewe zuzu., kumbe ni shule haukuenda vizuri
Ni nusu ya kenyans, are u happy now?
 
Muambie ajaribu kupitia kwenye page za biashara za mitandao ya kijamii za kikenya kama ataona huko kwao kuna biashara ya viwanja hata vya visivyopimwa,halafu aende kuangalia na upande wa Tanzania,binafsi nawajua wakenya wengi tu walioniomba niwasaidie kupata viwanja Tanzania,hivi kweli kuna mtanzania ambaye anaweza hata kuota akiwa usingizi atafute kiwanja kenya!
Hata kwa akili ya mtoto wa kindergarten tu unashindwa kureason kwa nini dar ni kubwa mara tatu ya Nairobi! Dar ni kubwa kwa sababu watu wana uwezo wa kununua ardhi na kujenga nyumba tofauti na Nairobi ambapo ardhi kubwa imeshikiliwa na watu wachache na hivyo mtu wa hali ya chini ni ngumu kununua ardhi na kujenga ndio maana wengi wanaishia kwenye slums siyo kwamba hao watu wanapenda kuishi kwenye mazingira hayo. Dar hata mtu wa kipato cha kawaida anaweza kudunduliza fedha na akanununua ardhi kwa sababu fursa na haki ya kununua kila mtu anayo coz ardhi ni mali ya serikali/nchi.

Sera na sheria za umilki wa ardhi katika nchi yenu ni mbaya sana na za kibepari kupita kiasi hilo lazima ukubali.
 
Ww ushawahi kuona mkenya akiponda nchi yake humu? Wanafanyiwa ushenzi mara ngp na Govt yao tena wa wazi kabisa, wana maisha magumu kupita maelezo, je ushawahi kuona wanaongelea japo mara moja? Hao wakenya unao wasifia ww humu ushawahi kuona wanakubali kwamba Kibera ni uozo? Au ushawahi kuona wanapinga humu jinc wanavyofanywa national park na wazungu pale kibera? Sisi humu mara nyingi tumekuwa tunakosoa pale inapobd au tukuletee post zetu za kukosoa baadhi ya mambo ya hovyo humu nchini, usiwe mjinga jali chako hata kama ni kibaya ndiyo chako japo kukosoa pale inapobd ni muhimu, lkn usilazimishe kila kilicho kenya na huku kiwepo, tuko na different culture mzee.
Ndio shida yetu watanzania,mtu akionyesha uzalendo basi tayari anaveshwa uanachama wa chama cha siasa!
 
Back
Top Bottom