Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The new look of Nyayo stadium after renovation, 😍 kasarani is next

1590480832617 (1).png
1590480717514.png
1590480739619.png
1590480770185.png
1590480813840 (1).png
1590480786614.png
 
alaf ardhi mutamiliki nyinyi ikiwa such projects mpaka investor aekeze nyinyi mupange yani hamutakua na ndoto ya kumiki ardhi mpaka yesu ashuke
Ardhi wakenya wanayo, kwani mtu akifa anazikwa wapi? Ni wakikuyu wengi ndio wanazika watu wao public cemetery, kila mtu ata jaluo wa kibera akifa anapelekwa kwao na kuzikwa kwa ardhi yake., hili najua hamfahamu, Nairobi haina mwenyewe, pia wewe ukitaka kama uko na uwezo njoo uwekeze tu, watu wanakuja Nairobi kutafuta mihela na kufanya biashara, ndio maana wengine wanaishi makao duni kama slums to save and invest in the vilage, wengi kule kwao mashinani wako vizuri tu., shamba, nyumba ng'ombe.etc, njoo nikutembeze Kenya ujue ujanja ya huku., nyie ni kama wa mijikenda kule pwani ya Kenya.
 
Kenya wenye uwezo ni wengi, nimeona hizi project huwa zina target watu kama waalimu, civil servants, na wale wenye stady income, na wana biashara na wakulima wenye pesa., they can afford to buy on loan na kulipa pole pole ndio maana ukija utapata wamiliki ni wakenya tu., njoo utembe wachana na google.., karibu kaka.
Km projects zenyewe ndo hz basi mtasubiri maendeleo ya kweli mpk parapanda lipigwe, cz hapo mwananchi wa chini atanufaikaje na project km hyo? Hzo zimelenga wenye nazo, kwahyo hapo bado mnaongeza gepu baina ya wenye nacho na wasio nacho, Magu aliliona hilo na ndiyo maana projects za kizembe kama hizo alizistopisha, poleni sana
 
Fanya projects ambazo kwnz zita diversify maendeleo, jenga masoko mengi, jenga shule nyingi weka facilities kwenye hizo shule, jenga hospitals, jenga reli za kueleweka, jenga viwanda vya kutosha, jenga barabara sehemu ambazo ni remote, weka miundombinu ya maji vzr, the same as Magu does na ndiyo maana tunamuimba humu daily kwasabu anafanya mambo ambayo yatainua uchumi wa wananchi faster, co kujenga ma appartment cjui manini, yana return rate ndogo sn. Poleni Wakenya.
Hayo tumefanya., with county governments hayo ndio projects., hizo zingine kama estates ni private developments sio serikali.,
 
Tanzania ni sixth world nakuambia, wengi hawana real exposure, ni google tu
KWani haujawai kuskia kitu inaitwa morgage, nyinyi ni washamba kiasi gani jameni, Hivi unataka uniambie watu 5 million dar wote wanamiliki ardhi, punguzeni unafik watanzania
 
Masikini kapata matako yanalia mbwata., Tanzania imekua nyuma kwa muda mrefu, sasa jua limeanza kuchomoza wanadhani ndio basi, ni hao tu wamefanya mambo hayo., "it is only my mother who knows how to cook best" mentality. Watembele majirani na kuonja za kwao pia
HAhahahaha wivu unamwagika hani hata hujui uanze na wapi kuzoa, hivyo vitu vyote umetaja, Kenya iko navyo kuwashinda sasa sijui unaenda wapi na hio story
 
Ardhi wakenya wanayo, kwani mtu akifa anazikwa wapi? Ni wakikuyu wengi ndio wanazika watu wao public cemetery, kila mtu ata jaluo wa kibera akifa anapelekwa kwao na kuzikwa kwa ardhi yake., hili najua hamfahamu, Nairobi haina mwenyewe, pia wewe ukitaka kama uko na uwezo njoo uwekeze tu, watu wanakuja Nairobi kutafuta mihela na kufanya biashara, ndio maana wengine wanaishi makao duni kama slums to save and invest in the vilage, wengi kule kwao mashinani wako vizuri tu., shamba, nyumba ng'ombe.etc, njoo nikutembeze Kenya ujue ujanja ya huku., nyie ni kama wa mijikenda kule pwani ya Kenya.
wanayo ikwapi bro robo ya kenya anamiliki kenyatta pekee what abouth raila and other politicians ????? vitu vingine mukubaliane na ukweli tu , mm kenya huna cha kunidanganya nimezunguka almost kenya nzima utanidanganya nn wewe😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom