Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Duh ..!!! This is too much yan even school ni slum...!!!😂😂🤣🤣
Why are you mentioned poorest in EAC na Hilo chama tukufu ya CCM?., second last lowest middle class in EAC, yet second largest economy! Shida iko wapi bro?., ama munasingiziwa na wazungu? kuna pia takwimu za kiafrika zinawamulika tu.,Ndio mana inanifany nifike wakat nikuone ni km mad man sasa unanza blablabla kusu chama kilich kuwa tawal wakat tatizo lipo uku kwa kenyatta kwahiy wakenya mnacho weza ni kusikia kwamba kunaufisad but you can do nothing about it what a waste, km kuna watu walio kwenye giza totoro basi ni wakenya wote walio humu Jf ...embu jaribu kuangalia wenzio walio uko tweeter wanacho sema, badal ya kuja huku na kufukia kichwa kwenye mchanga kama hakuna kinacho endelea uko north, ufike wakati muache kujidanganya wenyew na mtokane na ilo gereza la kifikra![]()










, Dodoma University iko na somo la uchumi (economics)? If interested unaeza join I sponsor you a crash programme ili tuelewane



umeanza kuleta porojo sasaso unataka kukataa kua kenya haiongozi africa kwa unemployment rate
Middle income from which Economy?, mlikua mkijisifu kuwa na $millionaires wengi kabla ya Knight Frank kuwaumbua, Kenya hamna middle class kubwa kuishinda Tanzania.Tembea ujionee tu wacha nyef nyef., kwani mtu atakua mjinga kujinga kama hakuna wapangaji ama wanunuzi, wanabiashara wanafanya utafiti kabla ya kuwekeza, ndio maana middle income populace in Kenya ni kubwa EAC.,![]()
hushamgai kwann unemployment rate muko juu hushangai below poverty line muko juu hushangai debt to GDP ratio iko juu😃😃😃 hushangai even hunger is there alwaysWhy are you mentioned poorest in EAC na Hilo chama tukufu ya CCM?., second last lowest middle class in EAC, yet second largest economy! Shida iko wapi bro?., ama munasingiziwa na wazungu? kuna pia takwimu za kiafrika zinawamulika tu.,![]()
huwez kua na middle income wengi alaf unemployment rate ikawa juu haiwezekani bro hapi ndipo jubilee wanapowasaga kama mbuzi 😂😂😂 yani ww huna kazi over 40% alaf uwe na middle income wengi munalishwa kutoka mbinguni auUnemployment na middle class ni vitu viwili tofauti, Dodoma University iko na somo la uchumi (economics)? If interested unaeza join I sponsor you a crash programme ili tuelewane
Kuna self employment
Hapa sidhani kama atarudi tena, hawa jamaa ni wajinga sana, wanadhani hatufiki Kenya.nitembee vp bro wewe hvi ww utanidanganya nn kuhusu kenya wwView attachment 1461572View attachment 1461573View attachment 1461574View attachment 1461575View attachment 1461576
😂😂😂😂 debt to GDP ratio 64% inapumulia mipira ya mikojo wanakopa mpaka pesa ya kupambana na locustsMiddle income from which Economy?, mlikua mkijisifu kuwa na $millionaires wengi kabla ya Knight Frank kuwaumbua, Kenya hamna middle class kubwa kuishinda Tanzania.
Kama Tanzania ina idadi kubwa ya $millionaires zaidi ya Mara mbili ya idadi ya Kenya, iweje Kenya iwe na middle class wengi kuzidi Tanzania?, tumia akili na muache kujidanganya.
😂😂😂😂😂 yani bro sijawah ona maisha magumu kama kenya mark my wordsHapa sidhani kama atarudi tena, hawa jamaa ni wajinga sana, wanadhani hatufiki Kenya.
Kwenye" site" lazima pawekwe sign board wacha ushamba.Signboard ndo ufanye nini wewe, hivi uko na sign boarsd ya kila mradi hapo Tanzania? Signboard sikuhizi zinakua replaced na tovuti! KWahivyo next time ulizia tovuti kama hakuna sign board!
😂😂😂 watakuonesha picha wanakata majaniKwenye" site" lazima pawekwe sign board wacha ushamba.
umeanza kuleta porojo sasa 😂😂😂😂 so unataka kukataa kua kenya haiongozi africa kwa unemployment rate 😂😂😂
Serengeti is 30,000 km² , Kenyatta land is 2023 km² That means hilo eneo la serengeti linaweza kufit wananchi wote wa EAC ukigawanyia kila mtu 1/8 an acre kama walivyofanya kwa hio tovuti.kwamba this is just normal to kenyans😂😂😂😂👇👇👇
The Kenyatta Family Land Enough To Settle 20 Million Kenyans
Ready to feed hunger stricken Kunyans...
huwez kua na middle income wengi alaf unemployment rate ikawa juu haiwezekani bro hapi ndipo jubilee wanapowasaga kama mbuziyani ww huna kazi over 40% alaf uwe na middle income wengi munalishwa kutoka mbinguni au
Source pleaseWanabiashara wana angalia middle class population, sio data za employment, kuna wengi hawajaandikwa lakini wako na uwezo binafsi kiuchumi, soma hii report ya ADB about middle income class in East Africa. Soma tu kisha fanya utafiti wako, wacha kuzoea kuropokwa na facts ziko mbele yako, hauwezi peleka bidhaa sokoni na hakuna wanunuzi kaka
Africa’s middle class has been growing modestly in the past decade, but ADB admits that it is difficult to define who exactly falls into this group, and even harder still to establish how many middle class people there are in Africa.
The report estimates the size of the middle class — those spending between $2 and $20 a day — at about 313 million people, or 34.3 per cent of the continent’s population — a spike from 111 million two decades ago.
In East Africa, the figure comes to a total of about 29.3 million, representing an average of 22.6 per cent of the population; 44.9 per cent of Kenya’s population, 18.7 per cent in Uganda, 12.1 per cent in Tanzania, 7.7 per cent in Rwanda, and 5.3 per cent in Burundi.
The report notes that a well established middle class is catalytic to the growth of democratic space. It is certainly no coincidence that two of the countries with the largest percentage of middle class citizens in Africa —Tunisia (89.5 per cent) and Egypt (79.7 per cent) — reached a tipping point and overturned their corrupt, repressive regimes.
Experts assert that long term economic growth in the region is inexorably linked to the rise of the middle class consumer. Global management consulting firm McKinsey & Company reports that from 2005 to 2008, consumer spending across the continent increased at a compound annual rate of 16 per cent, more than twice the GDP growth rate.
In 2008, nearly 85 million households in Africa, like Kimani’s, had an income of above $5,000 a year, the level at which households begin to spend more than half of their income on items other than food. McKinsey projects that the number of households with discretionary income could rise by 50 per cent in the next decade, reaching 128 million households. By 2030, the continent’s top 18 cities are expected to have a combined spending power of $1.3 trillion.
In Nigeria, for example, the collective buying power of households earning $1,000 to $5,000 a year doubled from 2000 to 2007, reaching $20 billion: Nearly seven million additional households have enough discretionary income to take their place as consumers.
Nairobi economist Ignatius Gabriel says the ability to do the bulk of household shopping in a supermarket is one of the filters that separates the poor and the middle class.
“Once you are able to do your household shopping in a supermarket, then you have begun to move away from the ‘kadogo’ economy that characterises poor households, especially in urban areas. You can’t bargain or pay on credit in a supermarket, and the tiny sizes of goods are usually not available. It means you are no longer living hand-to-mouth.”
Companies targeting the middle class consumer have experienced a boom in recent years, particularly in consumer goods, retail banking, telecom and housing.
But other analysts believe that this apparent growth of purchasing power should be tempered with caution, as it could actually be a sign of widening inequality.
hii ni maeeno yanajulikana what about unknown areas ambazo anamiliki coz ni pilitician😂👇👇👇Serengeti is 30,000 km² , Kenyatta land is 2023 km² That means hilo eneo la serengeti linaweza kufit wananchi wote wa EAC ukigawanyia kila mtu 1/8 an acre kama walivyofanya kwa hio tovuti.
Tsavo east Nationa park in Kenya ni 13,747 square kilometres, Hio pia inaweza kusettle wakenya wote 50 Million na kubaki extra 9,000 km² ndani ya tsavo east ambayo ni tosha kwa wanyama wa mbuga.
Nairobi County ni 696 km² , Kibera ni 2.38 km² Ndani ya Nairobi County kuna protected forests and parks nyingi sana, Nairobi National park pekee ambayo iko ndani ya Nairobi County ni 117 km² , Hio pekee ni 50 times bigger than Kibera land mass.
Kwahivyo kuna sekemu nyingi sana ambazo zinaweza ku settle population yote ya Kenya, mimi tayari niko na karibia 20 acres in my name, Na ukichanganya familia yote tuko na takriban 100 acres.. Ukitumia hio hesabu ya hio link ulioleta hizo acres zinatosha kuishi watu 4,000!!!
Hatufiki wewe na nani? Taja sehemu zile ulizoo tembelea nikuulize swali., nyambaff!Hapa sidhani kama atarudi tena, hawa jamaa ni wajinga sana, wanadhani hatufiki Kenya.



nyie ni wale masikini munaingia, na uwezo wenyu dhaifu hauwezi tembea ama kufika kila eneo, ni shighuli na kupotea, hauna hela, pesa ya Kenya inameza hiyo ya madafu mbaya




Si nimetoka kusema tu sasa hivi, Angalia vile uko ndani ya mtego, CCM zombie hawezi jua hali yake kamili, unatudadisia kana kwamba Tanzania nchi ya maziwa na asali, Nyani halioni kundule... Vyombo vya habari Kenya siku zote viko huru,vitatafuta habari kote bila woga wala kuweweseka, wakati vyombo vya haabari Tz ni mdomo wa serekali kazi yake kuripoti ni nini serekali imesema... Ingekua ni serekali ya Kenya imeacha kutangaza hesabu za corona nakwambia bado tungeijua hesabu kamili manake vyombo vya habari Kenya vinge track kila mtu ambae ametibiwa corona.....
View attachment 1461539
View attachment 1461545