Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi








EPG2Ns2X4AAdfrt

Huwa wanajua kua vitu vizuri wanavyo wao tu kumbe kwa jirani kumebadilika sana wasivyo tegemea👆👆👆🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Hamutulishi kabisaa, wacha kujitekenya mzee, hamna uwezo wa kulisha nchi nyingine nyie, eti muwape bure bure, mko ovyo mnaeza kufa na umasikini, Sisi wajanja tunanunua pale marikiti kutoka kwa Lorry za Uganda na Tz tuna repackage and sell behind our car boots huu wakati wa covid19, mtaani watu wengi wamekua mama mboga na kufaidika zaidi ya hao wakulima wenyu.
Soko kando ya barabara. Mkenya ni mjanja na wakujituma, nyie mpo mpo tu.
View attachment 1461618

Soko mjinga is already shutdown!

 
Back
Top Bottom