Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi metropolitan region[edit]

Nairobi County (red) surrounding Nairobi Metro (green)
Nairobi is found within the Greater Nairobi Metropolitan region, which consists of 5 out of 47 counties in Kenya, which generates about 60% of the entire nation's GDP.[13][14] The counties are:

AreaCountyArea (km2)Population
census 2017
Cities/towns/municipalities in the Counties
Core NairobiNairobi County696
4,397,073​
Nairobi
Northern MetroKiambu County2,449.2
2,417,735​
Kiambu, Thika, Limuru, Ruiru, Karuri, Kikuyu, Ruaka, Kahawa and Githunguri
North Eastern MetroMurang'a County2,325.8
1,056,640​
Gatanga, Kandara, Kenol/Kabati, Murang'a
Southern MetroKajiado County21,292.7
1,107,296​
Kajiado, Olkejuado, Bissil, Ngong, Kitengela, Kiserian, Ongata Rongai
Eastern MetroMachakos County5,952.9
1,421,932​
Kangundo-Tala, Machakos, Athi River
TotalsNairobi Metro32,715.5
10,411,220​
Source: NairobiMetro/ Kenya Census
Recent economic Survey by KNBS ilionyesha Nairobi contributes only 21% of GDP and not 60% as normaly quoted

for-the-first-time-the-relative-economic-size-of-kenyas-counties-is-clear-graph-01.png

Source

Hata ile population ya Kibera hua iko over estimated ili NGO's wapate msaada mkubwa, Population ya kibera is less than 250K

1590609443808.png
 
thanks for render😂😂😂😂
Kuna watu karibia 250,000 washajisajilisha kuchukua nyumba, Takriban 300 kuanzia 2019 hadi sasa washaingia kwa nyumba za mfumo huu wa affordable housing !

Prime minister wa Fiji alipotembelea mradi mmoja wa Affordable housing ambao uko under construction

D7qDWwAWwAUuZtI

D7qDXgqXsAAV7kG

D7qDYfZW4AETW_2

D7qDZ33XoAEmNU5

Mbali na ule wa ngara housing project ambao nimeonyesha render pia kuna huu unaitwa Habitat Heights ambayo ni project nyengine babkubwa sana ya affordable housing - hapo kutakua na 8,888 units!!! Hii ni project ambayo inajengwa na usadizi wa UN-Habitat katika mradi wa kuondoa slums nairobi.
ELHevL4XsAAkXnJ

ELHevLSW4AEHTPA

ELFnQqTXYAEtuVN

Kuna zile nyumba 228 za park road affordable housing units zilishakabidhiwa kwa serekali , hizo 228 ni kati ya nyumba1370 ambazo zitajengwa hapo park road

EOaksMGX4AEFIRp

EOaksMTWsAAbmSu

EOaksMPWAAAUvuz

EOaksMNWAAAdrMB

EGW0UkbWsAc5qD4
 
Duh popln ya kibera 250k wacha uwongo ww, yn mabanda yote yale ya accommodate only 250k?
Unataka kubishana na census ya serekali? Hata kuna NGO flani ilionyesha aerial images za kibera na ihahesabu nyumba kwa juu na ika estimate watu wanaoishi ndani ya nyumba, ikaonyesha kabisa scientifically, watu 2 million hawaezi ishi hapo hata kama kila mtu anaishi ndani ya nyumba ya 2 meter sqaure make barabara , shule n.k pekee ni karibia 20% ya kibera, tena si kibera yote ambayo ni ya wamaskini
 
Huyo achana naye huyo, ni wale dizain za watu wasiopenda vyao, yn km utampa starlet zen ww ukawa na Prado atatamani Prado lako, lkn ukimpa Prado ww ukachukua starlet ataitamani tena hyo starlet, so sometimes watu km hawa ni kuwapuuza tu.
wacha kumpakia mtanzania mwenzako chuki, yeye anajadiliana bila ushabiki, usimuingize kwa hilo gora lenu la mazombie ya kiushabiki

Usiniambie hawa watu wanaoishi hapa waanafurahia maisha na wametosheka kabisa na hizi nyumba ambazo hazina mpangilio
aerial-view-dar-es-salaam-city-showing-densely-packed-houses-buildings-53799445.jpg
 
bro kila mtu ana ndoto ya nyumba yake
Nakubali lakini hiyo mindset ndo chanzo cha kuwa na uswazi kama hizi za Tandale, Manzese na Kigogo n.k..

Kuna mahala tunakosea katika hizo dream houses tunazozitaka hebu leo angalia sehem zile ambazo miaka 15 nyuma zilikua vip na kama tungekua na mipango madhubuti kungekuwaje currently look at Goba, Mbezi ya Kimara, Kinyerezi, Chanika, Chamazi, Kigamboni n.k bado watu wanajenga kufurahisha nafsi zao ila sio kimipango miji zaidi yaan tunafeli hapo tuu

Uhuru wa kumiliki ardhi na uhuru wa kujenga nyumba tutakazo ndio uliosababisha kuwepo kwa sehem kama hizi za uswahilini akina Keko, Tandika, Vingunguti, Yombo n.k
Investors wanahitajika kusimamisha gated communities za kutosha ni heri tuwe na gated community ya bed sitter kuliko individual houses zisizo na mpangilio...
 
Hapo laumu serikali zilizopita hasa mipango miji, walikaa tu huku watu wakijenga hovyo, lkn hilo ni tatizo la nchi nyng Afrika co Tz Tu.
 
Huyo achana naye huyo, ni wale dizain za watu wasiopenda vyao, yn km utampa starlet zen ww ukawa na Prado atatamani Prado lako, lkn ukimpa Prado ww ukachukua starlet ataitamani tena hyo starlet, so sometimes watu km hawa ni kuwapuuza tu.
Battle hii mmeiharibu sana MATAGA....
Wakenya wengi wamekimbia kwasababu yenu too praise kuliko uhalisia
 
Battle hii mmeiharibu sana MATAGA....
Wakenya wengi wamekimbia kwasababu yenu too praise kuliko uhalisia
Ww ushawahi kuona mkenya akiponda nchi yake humu? Wanafanyiwa ushenzi mara ngp na Govt yao tena wa wazi kabisa, wana maisha magumu kupita maelezo, je ushawahi kuona wanaongelea japo mara moja? Hao wakenya unao wasifia ww humu ushawahi kuona wanakubali kwamba Kibera ni uozo? Au ushawahi kuona wanapinga humu jinc wanavyofanywa national park na wazungu pale kibera? Sisi humu mara nyingi tumekuwa tunakosoa pale inapobd au tukuletee post zetu za kukosoa baadhi ya mambo ya hovyo humu nchini, usiwe mjinga jali chako hata kama ni kibaya ndiyo chako japo kukosoa pale inapobd ni muhimu, lkn usilazimishe kila kilicho kenya na huku kiwepo, tuko na different culture mzee.
 
wacha kumpakia mtanzania mwenzako chuki, yeye anajadiliana bila ushabiki, usimuingize kwa hilo gora lenu la mazombie ya kiushabiki

Usiniambie hawa watu wanaoishi hapa waanafurahia maisha na wametosheka kabisa na hizi nyumba ambazo hazina mpangilio
aerial-view-dar-es-salaam-city-showing-densely-packed-houses-buildings-53799445.jpg
Ww na Wakenya wenzako lini mmeongea mabaya ya nchi yenu, au mko perfect sn kwmb hakuna la hovyo nchini kwenu c ndiyo?
 
Ww ushawahi kuona mkenya akiponda nchi yake humu? Wanafanyiwa ushenzi mara ngp na Govt yao tena wa wazi kabisa, wana maisha magumu kupita maelezo, je ushawahi kuona wanaongelea japo mara moja? Hao wakenya unao wasifia ww humu ushawahi kuona wanakubali kwamba Kibera ni uozo? Au ushawahi kuona wanapinga humu jinc wanavyofanywa national park na wazungu pale kibera? Sisi humu mara nyingi tumekuwa tunakosoa pale inapobd au tukuletee post zetu za kukosoa baadhi ya mambo ya hovyo humu nchini, usiwe mjinga jali chako hata kama ni kibaya ndiyo chako japo kukosoa pale inapobd ni muhimu, lkn usilazimishe kila kilicho kenya na huku kiwepo, tuko na different culture mzee.
Hiki ndicho kitu mapoyoyo hawaoni! Huyu jamaa kwa post zake unaweza kujua anatokea wapi na chama gani! Wanazungumziwa...

Back
Top Bottom