Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Na kwenye tovuti, kila kitu ambacho kiko kwa sign board utakipata!Kwenye" site" lazima pawekwe sign board wacha ushamba.
😂😂😂😂 ushamtimua tayarSource please
kwann usilete ww sign board ya project unayosema hapa mbona zingine munaleta 😂😂😂 munafkiri hapa nairalandNa kwenye tovuti, kila kitu ambacho kiko kwa sign board utakipata!
Nawajua watanzania, hua mnatafuta njia ndogo ndogo za kukwepa, ukiletewa picha ya jumba unataka kutumia signboard kama kisingizio cha kutokubali kwamba hilo jengo lina exist! Kwahivyo utasusia hapo kwa sign board na usipoletewa utasema umeshinda mada 🙄 hizo ndo zenu
Na hautawahi kuleta evidence yeyote manake zenu ni zile la kurusha domo du, Hivi unajua Tz ni ya tatu Africa kwa watoto walio na stunded growth? unajua stunted growth inasababishwa na nini?Hapa ndipo utakapo jua akili ya hawa jamaa nikam iko kwenye paralize embu tulia kidgo jiulize Tz n kenya kweny swala la chakula tunaweza kubishana ...mbn unatakiwa utumie akili ya kuvukia barabara tu..kwel nikaz yani hata sina haja kuleta evidence kwa hili
hahahahahhaha leo umetoa povu la aina yake 😂😂😂😂😂😂Na hautawahi kuleta evidence yeyote manake zenu ni zile la kurusha domo du, Hivi unajua Tz ni ya tatu Africa kwa watoto walio na stunded growth? unajua stunted growth inasababishwa na nini?
Wacha uongo, ILO inaposema "employment" inazungumzia kazi yoyote yenye kumpatia mtu kipato halali, sio lazima iwe ni kazi ya kuajiriwa, ndio sababu 75% wanajishughulisha na KILIMO na wanahesabika kama watu wenye kazi pamoja na kwamba hawakuajiriwa.Do you know how data is captured?., researchers hawaendi kwa watu binafsi na kuwauliza whether employed or not, they pick from employers., what of jua kali sector?, mama ntilie? (Kuna wenye wanatengeneza pesa nzuri sana), forex traders kama mimi?, farmers (agribusiness guys), matatu owners?., buda boss enda soma wacha brah brah zako., Mbona Rwanda imewashinda kwa middle class?., jibu?
Kwasababu sio sisi tunaopiga picha, hizi ni picha zinazotolewa kwengine, kama huko kumepostiwa sign board tutaleta, lakini kama hakuna sign board basi haitoletwa..... Lakini haimaanishi eti hakuna sign board kwa contruction site....kwann usilete ww sign board ya project unayosema hapa mbona zingine munaleta 😂😂😂 munafkiri hapa nairaland
unapiga picha majani yanakatwa unasema construction 😂😂😂😂 so hata mm nikituma picha ya majani yanakatwa nikasema contsruction ya chochote utaamini wewe😂😂😂😂 kwann construction board zingine munapost tukiwaambie zile muhimu hamupost y?? narudia kukwambia bro hapa sio nairaland huwez kudanganya humu ukatoka salama hata siku moja mark my wordsKwasababu sio sisi tunaopiga picha, hizi ni picha zinazotolewa kwengine, kama huko kumepostiwa sign board tutaleta, lakini kama hakuna sign board basi haitoletwa..... Lakini haimaanishi eti hakuna sign board kwa contruction site....
Ni kama hivi mimi niseme lile jengo la TPA halina lift pale ndani, ukitaka kwenda 10th floor unapanda na stairs, na nikwambie niletee picha ya lifts za TPA towers... Sasa je kama hakuna mtu ashawahi chapisha picha za hizo lifts kwa tovuti yeyote na wewe mwenyewe haujawahi kuingia hilo jengo ukapiga picha mwenyewe, unataka uniambie sasa nitakua nimeshinda mada sababu umeshindwa kuniletea picha ya lift?
Sote tunajua ni standard kwamba jengo likiwa zaidi ya 10 floor litakua na lift, vile vile sote tunajua ni standard ambayo iko kisheria kwamba lazima kue na sign board kwa contruction site yeyote..... lakini hakuna mahali inasema ni lazima u post picha ya signboard mtandaoni iwe mjengo kamili!
Kwa taarifa yako, tukija huko Kenya tunakuja na Private transport, sio public transport. Wewe hata Namanga hujawahi fika.Hatufiki wewe na nani? Taja sehemu zile ulizoo tembelea nikuulize swali., nyambaff!nyie ni wale masikini munaingia, na uwezo wenyu dhaifu hauwezi tembea ama kufika kila eneo, ni shighuli na kupotea, hauna hela, pesa ya Kenya inameza hiyo ya madafu mbaya
Taja hizo sehemu.....
Unaweza kuleta jengo au site tofauti na hilo jengo, sign board ndio yenye kuthibitisha kwamba ndio jengo husika.Na kwenye tovuti, kila kitu ambacho kiko kwa sign board utakipata!
Nawajua watanzania, hua mnatafuta njia ndogo ndogo za kukwepa, ukiletewa picha ya jumba unataka kutumia signboard kama kisingizio cha kutokubali kwamba hilo jengo lina exist! Kwahivyo utasusia hapo kwa sign board na usipoletewa utasema umeshinda mada 🙄 hizo ndo zenu
Ninaomba source ili nione credibility ya hiyo taarifa, ni jukumu lako kuthibitisha kile unachokisema.Prove me wrong Mr. Google.., usiseme nimepika
Na tovuti pia inaweza kukuelezea hayo yoteUnaweza kuleta jengo au site tofauti na hilo jengo, sign board ndio yenye kuthibitisha kwamba ndio jengo husika.
hawezi bro hata siku moja 😂😂😂 atajizungusha tu hapaNinaomba source ili nione credibility ya hiyo taarifa, ni jukumu lako kuthibitisha kile unachokisema.
Hamutulishi kabisaa, wacha kujitekenya mzeeReady to feed hunger stricken Kunyans...





, hamna uwezo wa kulisha nchi nyingine nyie, eti muwape bure bure, mko ovyo mnaeza kufa na umasikini, Sisi wajanja tunanunua pale marikiti kutoka kwa Lorry za Uganda na Tz tuna repackage and sell behind our car boots huu wakati wa covid19, mtaani watu wengi wamekua mama mboga na kufaidika zaidi ya hao wakulima wenyu. 



niambie kwamba hawa ni waongo😂😂👇👇Hamutulishi kabisaa, wacha kujitekenya mzee, hamna uwezo wa kulisha nchi nyingine nyie, eti muwape bure bure, mko ovyo mnaeza kufa na umasikini, Sisi wajanja tunanunua pale marikiti kutoka kwa Lorry za Uganda na Tz tuna repackage and sell behind our car boots huu wakati wa covid19, mtaani watu wengi wamekua mama mboga na kufaidika zaidi ya hao wakulima wenyu.
Soko kando ya barabara. Mkenya ni mjanja na wakujituma, nyie mpo mpo tu.
View attachment 1461618