Student accomodation - I think its for daystar university
![]()
![]()

Likipya wanaume wengi kuliko wanawake. Mbaya kwa mtazamo
Sisi tunasema Dodoma university is the biggest University sio the best university. Ukilinganisha University of Dar es Salaam na Dodoma;Nani kapinga, University is measured by its value on matters academics licha ya infrastructure., hayo mengine ni muhimu lakini they come after., ama hauelewi wewe? Ndio maana Dodoma cannot be mentioned on the same sentence na Makerere, Ibadan, UoN, KU, Dar es Salaam etc.,
😂😂😂😂😂😂😂miradi mingine tukiwaomba signboard hamuonyeshi, mnakwama wap?![]()
sasa kama munakosea jinsia hio idadi mutaiweza kweli😂😂😂Likipya wanaume wengi kuliko wanawake. Mbaya kwa mtazamo
lazma niwepo bro kwa ajili ya kuwanyoosha usijal hapa mpaka 2025 Mungu atuweke haiNow back to your speciality, umesahau kusema Dar baby!
,
Vipicha vije kwa wingi Ichoboy01, usitoke jf nitaboeka sana![]()
yani kenyata alone anaeza miliko ardhi kubwa kias cha kuweka wakenya million 20 hvi nyinyi mulirogwa na nani???😂😂😂 yani tena ur so confortable with that what about raila vo kuhusu jamii yote ya politicians 😂😂😂😂😂. ukubaliane na ukwei kwamba ardhi ya kujenga imeshikwa na wachache sana hasa politiciansDunia nzima serekali zinatoa economic stimulus programs sababu biashara zita collapse, sasa na unafik unaleta hio taarifa kana kwamba ni special case kwa Kenya tu..... Hata serekali yenu hapo Tanzania iko na foreign exchange reserves ambazo zinaweza ku support inchi kwa miezi sita tu, baada ya hapo kama hakuna uzalishaji wowote uchumi mzima wa Tanzania uta collapse!
Alafu Kenyatta family land inaweza kutosheleza watu 20Million ambayo ni nusu ya population ya Kenya, ikiwa kila mtu atagawanyiwa 1/8th of an acer lakini si eti kenyatta family land ni nusu ya Kenya... Tafakari hayo kidogoo kabla uanze kuropokwa!
--------------------------
Kenyatta family land-half a million acres- can supply 4 million families with an eighth of a plot. If each family has an average of 5 members per family that’s 20 million Kenyans out of 30 million Kenyans.
The Kenyatta Family Land Enough To Settle 20 Million Kenyans
------------------------------
Kenyatta familly land ni 500,000 acres.
500,000 acers ni sawa na 2023 square kilometers
View attachment 1461529
Kenya yote, ardhi ni 580,367 sq.km
View attachment 1461530
Kwahivyo Kenyatta Family inamiliki ardhi asilimia:
2023/580367 * 100 = 0.35 % ya Kenya
View attachment 1461531
Hili jambo nishawahi kuwaonyesha hapa JF, lakini hua mnajifanya hamuelewi, Kesho nitakuona ndani ya mada nyengine ukirudia hayo hayo ya sijui Kenyatta anamiliki ardhi yote Kenya.. blah blah Kuna karibia 70% ya ardhi Kenya haiishi watu wanake ni eneo kame mmno watu wamekukimbia!
university imejengwa juzi tu serious na bado ujenzi wake unajengwa mpaka leo hii tunavoongea mm na ww huwez fananisha ranking na universitu kama UDSM au KU ambazo zina miaka 50 na zaidi 😂😂😂 tulieni sindano ziingie kwanzaWhat is its global ranking? Africa ranking? East Africa???.,poor and erroneous public relations
![]()
Yosef Festo njoo bro😂😂Naelewa Mkuu....
Kwa hili tumewapiga TKO
tena mtu yuko confortable kusikia kenyatta alone anamiliki ardhi yakuhifadhi wakenya million 20 tena anakenua kabisa 😂😂😂Yani mda mwingine nikisoma comment zako utafikiri ni mad men.. ivi watu walio takiwa wawe n hasira n serikali yao ni Tz au kunya ...mara kumi sisi tunapongeza mema yanayo fanyika...nyie mnapongeza kuibiwa kila siku kazi kulialia mitandaoni kama wanywa gongo ...wenzenu wanapika mawe mara hakuna umeme nchi zima mara mikopo kwa kila kitu , wenzenu wanalia uko tweeter ....ila ukija jamiforum utazani kenya ni panafraha km Tz kumbe nimambug yamejaa uku kujifarij...jaman wa Tz tuendele kuwafariji mana hawa jama nchi yao ni km neti inamatundu kila mahali lakini wanashindwa wafanyaje mana ile ni nchi yao, tuendele kuwa confort hawa watu mana nibala mara nzige, mikopo,mafuriko japo walituchek kipind cha lile daraj kuchukuliwa n mafuriko, njaa, kipindupind, ukosefu wa maji kama haya matatizo yangekuwa miradi kenya mngetisha sana soo endeleni kujifarij cyo vibaya![]()
hzi hesabu za dukani bro 😂😂😂😂Dunia nzima serekali zinatoa economic stimulus programs sababu biashara zita collapse, sasa na unafik unaleta hio taarifa kana kwamba ni special case kwa Kenya tu..... Hata serekali yenu hapo Tanzania iko na foreign exchange reserves ambazo zinaweza ku support inchi kwa miezi sita tu, baada ya hapo kama hakuna uzalishaji wowote uchumi mzima wa Tanzania uta collapse!
Alafu Kenyatta family land inaweza kutosheleza watu 20Million ambayo ni nusu ya population ya Kenya, ikiwa kila mtu atagawanyiwa 1/8th of an acer lakini si eti kenyatta family land ni nusu ya Kenya... Tafakari hayo kidogoo kabla uanze kuropokwa!
--------------------------
Kenyatta family land-half a million acres- can supply 4 million families with an eighth of a plot. If each family has an average of 5 members per family that’s 20 million Kenyans out of 30 million Kenyans.
The Kenyatta Family Land Enough To Settle 20 Million Kenyans
------------------------------
Kenyatta familly land ni 500,000 acres.
500,000 acers ni sawa na 2023 square kilometers
View attachment 1461529
Kenya yote, ardhi ni 580,367 sq.km
View attachment 1461530
Kwahivyo Kenyatta Family inamiliki ardhi asilimia:
2023/580367 * 100 = 0.35 % ya Kenya
View attachment 1461531
Hili jambo nishawahi kuwaonyesha hapa JF, lakini hua mnajifanya hamuelewi, Kesho nitakuona ndani ya mada nyengine ukirudia hayo hayo ya sijui Kenyatta anamiliki ardhi yote Kenya.. blah blah Kuna karibia 70% ya ardhi Kenya haiishi watu wanake ni eneo kame mmno watu wamekukimbia!
wewe hushangai au its normal😂😂😂 binaadamu mmoja anamiliki ardhi yakuweka wakenya million 20 alaf uko hapa unakenua hahaha hapo hatujagusa politicians wengine20 million kenyans ni robo ya Kenya? Ama 30 million Tanzanians ni nusu ya Tz? (Talking landwise; which is the context of your argument), understand figures of speech wewe zuzu., kumbe ni shule haukuenda vizuri![]()
sio mambo ya kukua usitudanganye hapa munanunua nyumba wakat u have no job munanunua na ndoto au😂😂😂 unemployment rate kenya ni kubwa africa nzima sasa munanunua na nn aua mawe nyi pangeni kwenye bedsitter hali ikiwa ngumu unarudi slums za nguruwe maisha yanasongaNow you are talking, tuko tofauti nakubali, sio zile selected propaganda za kakako desperate blind patriot Ichoboy01, analazimisha Kenya ikue kama anavyo dhania yeye![]()
Capitalist state, menye nguvu mpishawewe hushangai au its normalbinaadamu mmoja anamiliki ardhi yakuweka wakenya million 20 alaf uko hapa unakenua hahaha hapo hatujagusa politicians wengine



, hilo si jipya., kuna watu wana thousands of acres of land, na wana uwezo wa ku manage..,basi hamutakua na ndoto ya kumiliki ardhi wala nyumba mpaka yesu ashuke mark my words😂😂😂😂😂Capitalist state, menye nguvu mpisha, hilo si jipya., kuna watu wana thousands of acres of land, na wana uwezo wa ku manage..,