Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Masikini kapata matako yanalia mbwata., Tanzania imekua nyuma kwa muda mrefu, sasa jua limeanza kuchomoza wanadhani ndio basi, ni hao tu wamefanya mambo hayo., "it is only my mother who knows how to cook best" mentality. Watembele majirani na kuonja za kwao pia
Hawa jamaa hua hawaoni mbali kabisa, yani tunafaa tuipe pongezi CCM, hii psycological warfare CCM imewafanyia hawa watanzania ni kutoka dunia nyengine, Jamaa wakijenga ka hospitali kamoja kapya unaona wanajitokeza na za "we have the best hospitals in Africa" wakati utakuta hata hio hospitali haijaaanza kufanya kazi au imefanya ka surgery kamoja tu.. Wakijenga university mpya kama vile dodoma, "We have the best, biggest most modern university" wakati hata university haijawai chapisha scholarly article yeyote ya utafiti ilio kubalika ulimwenguni....
 
nyinyi mumejenga hospita ngap ukwel ni kwamba nyinyi hamutaki nchi zingine ziendelee mumataka nyinyi tu jambo haliwezekani😂😂😂 mukichomwa sindano tulieni ziingie vyema usisahau tanzanania maendeleo yameanza within 10 yrs only🤩🤩
 
Hawa jamaa hua hawaoni mbali kabisa, yani tunafaa tuipe pongezi CCM, hii psycological warfare CCM imewafanyia hawa watanzania ni kutoka dunia nyengine, Jamaa wakijenga ka hospitali kamoja kapya unaona wanajitokeza na za "we have the best hospitals in Africa" wakati utakuta hata hio hospitali haijaaanza kufanya kazi au imefanya ka surgery kamoja tu.. Wakijenga university mpya kama vile dodoma, "We have the best, biggest most modern university" wakati hata university haijawai chapisha scholarly article yeyote ya utafiti ilio kubalika ulimwenguni....
sasa dodoma university munaiweza nyinyi kwann musikubali ukweli😂😂😂
 
Wewe unaangalia majengo short wireuniversity ni uwezo wa kufanya research na kuchapisha scholarly publications in reputable professional bodies for references, thus adding to knowledge, unaelewa hilo kweli? Dodoma wana publications ngapi? How many researches has it carried out through its scholars? Majengo ata primary schools wanazo wewe zuzu
sasa dodoma university munaiweza nyinyi kwann musikubali ukweli
 
Selected perspective developed by google in your head, umekwama sehemu kama zile za Tandale
Fikra zako zina ku betray.,
hahaha maisha niliyaona kenya sijawah ona maisha ya kinyama sehemu yoyote
 
Tofauti na Tanzania kila mahali ni Nyumbani inatemegea mapenzi yako binafsi na hela yako mzee.. Huku hatubaguani unaweza zikwa mahali ambako hukuzaliwa kwa mapenzi yako, Now you see the different
Now you are talking, tuko tofauti nakubali, sio zile selected propaganda za kakako desperate blind patriot Ichoboy01, analazimisha Kenya ikue kama anavyo dhania yeye
 
Yani mda mwingine nikisoma comment zako utafikiri ni mad men.. ivi watu walio takiwa wawe n hasira n serikali yao ni Tz au kunya ...mara kumi sisi tunapongeza mema yanayo fanyika...nyie mnapongeza kuibiwa kila siku kazi kulialia mitandaoni kama wanywa gongo ...wenzenu wanapika mawe mara hakuna umeme nchi zima mara mikopo kwa kila kitu , wenzenu wanalia uko tweeter ....ila ukija jamiforum utazani kenya ni panafraha km Tz kumbe nimambug yamejaa uku kujifarij...jaman wa Tz tuendele kuwafariji mana hawa jama nchi yao ni km neti inamatundu kila mahali lakini wanashindwa wafanyaje mana ile ni nchi yao, tuendele kuwa confort hawa watu mana nibala mara nzige, mikopo,mafuriko japo walituchek kipind cha lile daraj kuchukuliwa n mafuriko, njaa, kipindupind, ukosefu wa maji kama haya matatizo yangekuwa miradi kenya mngetisha sana soo endeleni kujifarij cyo vibaya
Hawa jamaa hua hawaoni mbali kabisa, yani tunafaa tuipe pongezi CCM, hii psycological warfare CCM imewafanyia hawa watanzania ni kutoka dunia nyengine, Jamaa wakijenga ka hospitali kamoja kapya unaona wanajitokeza na za "we have the best hospitals in Africa" wakati utakuta hata hio hospitali haijaaanza kufanya kazi au imefanya ka surgery kamoja tu.. Wakijenga university mpya kama vile dodoma, "We have the best, biggest most modern university" wakati hata university haijawai chapisha scholarly article yeyote ya utafiti ilio kubalika ulimwenguni....
 
alaf anakwambia wanahela ya kunua nyumba 😂😂😂😂👇👇👇👇

wakat kenyatta pekee anamiliki ardhi robo ya kenya 👇👇👇

The Kenyatta Family Land Enough To Settle 20 Million Kenyans

Dunia nzima serekali zinatoa economic stimulus programs sababu biashara zita collapse, sasa na unafik unaleta hio taarifa kana kwamba ni special case kwa Kenya tu..... Hata serekali yenu hapo Tanzania iko na foreign exchange reserves ambazo zinaweza ku support inchi kwa miezi sita tu, baada ya hapo kama hakuna uzalishaji wowote uchumi mzima wa Tanzania uta collapse!

Alafu Kenyatta family land inaweza kutosheleza watu 20Million ambayo ni nusu ya population ya Kenya, ikiwa kila mtu atagawanyiwa 1/8th of an acer lakini si eti kenyatta family land ni nusu ya Kenya... Tafakari hayo kidogoo kabla uanze kuropokwa!

--------------------------
Kenyatta family land-half a million acres- can supply 4 million families with an eighth of a plot. If each family has an average of 5 members per family that’s 20 million Kenyans out of 30 million Kenyans.
The Kenyatta Family Land Enough To Settle 20 Million Kenyans
------------------------------

Kenyatta familly land ni 500,000 acres.

500,000 acers ni sawa na 2023 square kilometers

1590664443428.png

Kenya yote, ardhi ni 580,367 sq.km

1590664523781.png

Kwahivyo Kenyatta Family inamiliki ardhi asilimia:

2023/580367 * 100 = 0.35 % ya Kenya

1590664705629.png

Hili jambo nishawahi kuwaonyesha hapa JF, lakini hua mnajifanya hamuelewi, Kesho nitakuona ndani ya mada nyengine ukirudia hayo hayo ya sijui Kenyatta anamiliki ardhi yote Kenya.. blah blah Kuna karibia 70% ya ardhi Kenya haiishi watu wanake ni eneo kame mmno watu wamekukimbia!
 
Yani mda mwingine nikisoma comment zako utafikiri ni mad men.. ivi watu walio takiwa wawe n hasira n serikali yao ni Tz au kunya ...mara kumi sisi tunapongeza mema yanayo fanyika...nyie mnapongeza kuibiwa kila siku kazi kulialia mitandaoni kama wanywa gongo ...wenzenu wanapika mawe mara hakuna umeme nchi zima mara mikopo kwa kila kitu , wenzenu wanalia uko tweeter ....ila ukija jamiforum utazani kenya ni panafraha km Tz kumbe nimambug yamejaa uku kujifarij...jaman wa Tz tuendele kuwafariji mana hawa jama nchi yao ni km neti inamatundu kila mahali lakini wanashindwa wafanyaje mana ile ni nchi yao, tuendele kuwa confort hawa watu mana nibala mara nzige, mikopo,mafuriko japo walituchek kipind cha lile daraj kuchukuliwa n mafuriko, njaa, kipindupind, ukosefu wa maji kama haya matatizo yangekuwa miradi kenya mngetisha sana soo endeleni kujifarij cyo vibaya
Hii ni Kwasababu hamjui yale mabaya yaliomo.
CCM regime thrives on propaganda, yaani wamekamata akili za watanzania kama vile North Korea na China., ndio maana wanakandamiza viombo vya habari wasitangaze ukweli. Tanzania kwa sasa ni kama ile Kenya chini ya chama tawala cha KANU, media ilikua KBC pekee Kenya yote, NTV na KTN walirusha matangazo yao Nairobi pekee, radio zilikua regulated, editors walikua warned na kutishiwa sana, kama ilivyo Tanzania, mtu akisema ukweli wanasema hana uzalendo. Kibaki alijaribu kulegeza na ku allow media freedom; tukaanza kuona maovu na ufisadi wa serikali., la sivyo taarifa ilikua tu yale Rais Moi alikua anafanya., na kuficha uchafu. Nyie mko gizani totoroflyovers na brt zimewafumba macho to see the bigger picture, ndio maana licha ya haya yote wengi wenyu bado ni masikini tu... sie tunaonyesha na kuandamana, hatujaridhika na serikali yetu kabisaaa!
 
Wewe unaangalia majengo short wireuniversity ni uwezo wa kufanya research na kuchapisha scholarly publications in reputable professional bodies for references, thus adding to knowledge, unaelewa hilo kweli? Dodoma wana publications ngapi? How many researches has it carried out through its scholars? Majengo ata primary schools wanazo wewe zuzu
Hahahaha, tatizo lenu ni hilo, ninyi mnataka kila kitu kiwe ni kwa mujibu wa mnavyotaka.

University lazima iwe na miundombinu, yaani majengo, vifaa vya kufundishia, wanafunzi na waalimu, mambo hayo ndio yanayoifanya kuwa ' big or small University'.

Hayo ya research na Publications yanaifanya University kuitwa 'Best university'.

Biggest = Quantity
Best = Quality
 
Nani kapinga, University is measured by its value on matters academics licha ya infrastructure., hayo mengine ni muhimu lakini they come after., ama hauelewi wewe? Ndio maana Dodoma cannot be mentioned on the same sentence na Makerere, Ibadan, UoN, KU, Dar es Salaam etc.,
Hahahaha, tatizo lenu ni hilo, ninyi mnataka kila kitu kiwe ni kwa mujibu wa mnavyotaka.

University lazima iwe na miundombinu, yaani majengo, vifaa vya kufundishia, wanafunzi na waalimu, mambo hayo ndio yanayoifanya kuwa ' big or small University'.

Hayo ya research na Publications yanaifanya University kuitwa 'Best university'.

Biggest = Quantity
Best = Quality
 
Yani mda mwingine nikisoma comment zako utafikiri ni mad men.. ivi watu walio takiwa wawe n hasira n serikali yao ni Tz au kunya ...mara kumi sisi tunapongeza mema yanayo fanyika...nyie mnapongeza kuibiwa kila siku kazi kulialia mitandaoni kama wanywa gongo ...wenzenu wanapika mawe mara hakuna umeme nchi zima mara mikopo kwa kila kitu , wenzenu wanalia uko tweeter ....ila ukija jamiforum utazani kenya ni panafraha km Tz kumbe nimambug yamejaa uku kujifarij...jaman wa Tz tuendele kuwafariji mana hawa jama nchi yao ni km neti inamatundu kila mahali lakini wanashindwa wafanyaje mana ile ni nchi yao, tuendele kuwa confort hawa watu mana nibala mara nzige, mikopo,mafuriko japo walituchek kipind cha lile daraj kuchukuliwa n mafuriko, njaa, kipindupind, ukosefu wa maji kama haya matatizo yangekuwa miradi kenya mngetisha sana soo endeleni kujifarij cyo vibaya
Si nimetoka kusema tu sasa hivi, Angalia vile uko ndani ya mtego, CCM zombie hawezi jua hali yake kamili, unatudadisia kana kwamba Tanzania nchi ya maziwa na asali, Nyani halioni kundule... Vyombo vya habari Kenya siku zote viko huru,vitatafuta habari kote bila woga wala kuweweseka, wakati vyombo vya haabari Tz ni mdomo wa serekali kazi yake kuripoti ni nini serekali imesema... Ingekua ni serekali ya Kenya imeacha kutangaza hesabu za corona nakwambia bado tungeijua hesabu kamili manake vyombo vya habari Kenya vinge track kila mtu ambae ametibiwa corona.....

1590665526216.png

1590665733517.png
 
Back
Top Bottom