tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Good sanaGreat wall housing Project, Hii ishaanza kutumika phase 1 na 2, phase 3 ndo bado inajengwa
![]()
Pia hawa wamejengewa kabisa hadi Mall inaitwa signature Mall na wako na mpaka shule hapo hapo

Na hivi unajua real estate developers wanashindwa kujaza pengo la demand za nyumba haswaa nyumba za middle class?na hapa wachambuzi walisema wengi sana hawakuhesabiwa 😂😂😂👇👇👇
Growing Nairobi population an indicator of more opportunities - Sonko | Nairobi City County
View attachment 1460968
Kaitisha kikao cha baraza la mawaziri tayari! Nadhani kwa ajili ya hili..Yah na kwenye sekta hiyo JPM hajawahi niangusha we tusubiri utasikia, tatizo walivyo wajinga tukifanya cc utawasikia tu serikali yao.
usinambie ile simple math imekushinda 😂😂Wale wa wivu na unafik wandelee kumwaga povu
Na hivi unajua real estate developers wanashindwa kujaza pengo la demand za nyumba haswaa nyumba za middle class?
Kenya has a housing deficit of 2 million units, a leading investment company in the country, Cytonn investments says in its latest market report.
According to the company, the housing demand in the country has been growing at a rate of 200,000 units per annum.
Statistics at the National Housing Corporation indicates that the country can only supply 50,000 units per annum.
Developers fail to keep up with middle income housing demand
deficit of renting au😂😂😂😂Wale wa wivu na unafik wandelee kumwaga povu
Na hivi unajua real estate developers wanashindwa kujaza pengo la demand za nyumba haswaa nyumba za middle class?
Kenya has a housing deficit of 2 million units, a leading investment company in the country, Cytonn investments says in its latest market report.
According to the company, the housing demand in the country has been growing at a rate of 200,000 units per annum.
Statistics at the National Housing Corporation indicates that the country can only supply 50,000 units per annum.
Developers fail to keep up with middle income housing demand
thanks for render😂😂😂😂Wale wa wivu na unafik wandelee kumwaga povu
View attachment 1460978
Umiliki wa Nyumba unnaanzia Ksh 600,000 au ukipenda $5,605
Project ya Kwanza ni park road estate 1,300 units
![]()

Hey guys, been away kidogo na nimeona majirani wakiniquote left right and center. Anyway, leteni hizo feelings sasa I deal with them![]()
![]()

Tz tunadeficit ya 3m unitsWale wa wivu na unafik wandelee kumwaga povu
Na hivi unajua real estate developers wanashindwa kujaza pengo la demand za nyumba haswaa nyumba za middle class?
Kenya has a housing deficit of 2 million units, a leading investment company in the country, Cytonn investments says in its latest market report.
According to the company, the housing demand in the country has been growing at a rate of 200,000 units per annum.
Statistics at the National Housing Corporation indicates that the country can only supply 50,000 units per annum.
Developers fail to keep up with middle income housing demand
Kafrican unasemaje kuhusu hilo Giant 👆Dar es Salaam View attachment 1460876
Nairobi metropolitan region[edit]Kwa mara nyengine nitakwambia tena, Hio populatin unayotaja ni population inayohesabu hadi vitongoji vya Nairobi, Nairobi yenyewe ni 3 Million pekee ndo wanaishi, Usiku watu wanarudi vitongoji vya Nairobi huko ndo wanalala, kwahivyo hio hesabu yako ni ya kujitengenezea
View attachment 1460913
| Area | County | Area (km2) | Population census 2017 | Cities/towns/municipalities in the Counties |
|---|---|---|---|---|
| Core Nairobi | Nairobi County | 696 | 4,397,073 | Nairobi |
| Northern Metro | Kiambu County | 2,449.2 | 2,417,735 | Kiambu, Thika, Limuru, Ruiru, Karuri, Kikuyu, Ruaka, Kahawa and Githunguri |
| North Eastern Metro | Murang'a County | 2,325.8 | 1,056,640 | Gatanga, Kandara, Kenol/Kabati, Murang'a |
| Southern Metro | Kajiado County | 21,292.7 | 1,107,296 | Kajiado, Olkejuado, Bissil, Ngong, Kitengela, Kiserian, Ongata Rongai |
| Eastern Metro | Machakos County | 5,952.9 | 1,421,932 | Kangundo-Tala, Machakos, Athi River |
| Totals | Nairobi Metro | 32,715.5 | 10,411,220 |
Hata kwa akili ya mtoto wa kindergarten tu unashindwa kureason kwa nini dar ni kubwa mara tatu ya Nairobi! Dar ni kubwa kwa sababu watu wana uwezo wa kununua ardhi na kujenga nyumba tofauti na Nairobi ambapo ardhi kubwa imeshikiliwa na watu wachache na hivyo mtu wa hali ya chini ni ngumu kununua ardhi na kujenga ndio maana wengi wanaishia kwenye slums siyo kwamba hao watu wanapenda kuishi kwenye mazingira hayo. Dar hata mtu wa kipato cha kawaida anaweza kudunduliza fedha na akanununua ardhi kwa sababu fursa na haki ya kununua kila mtu anayo coz ardhi ni mali ya serikali/nchi.Hebu nipe hesabu ya wanaomiliki ardhi Dar, tuanzie na hapo tu ndo tujue nyinyi si wanafik
kachanganyikiwa huyo😂😂😂😂Nairobi metropolitan region[edit]
![]()
Nairobi County (red) surrounding Nairobi Metro (green)
Nairobi is found within the Greater Nairobi Metropolitan region, which consists of 5 out of 47 counties in Kenya, which generates about 60% of the entire nation's GDP.[13][14] The counties are:
Source: NairobiMetro/ Kenya Census 2019
Area County Area (km2) Population
census 2017Cities/towns/municipalities in the Counties Core Nairobi Nairobi County 696 4,397,073Nairobi Northern Metro Kiambu County 2,449.2 2,417,735Kiambu, Thika, Limuru, Ruiru, Karuri, Kikuyu, Ruaka, Kahawa and Githunguri North Eastern Metro Murang'a County 2,325.8 1,056,640Gatanga, Kandara, Kenol/Kabati, Murang'a Southern Metro Kajiado County 21,292.7 1,107,296Kajiado, Olkejuado, Bissil, Ngong, Kitengela, Kiserian, Ongata Rongai Eastern Metro Machakos County 5,952.9 1,421,932Kangundo-Tala, Machakos, Athi River Totals Nairobi Metro 32,715.5 10,411,220
Hivi ndo vitu tunakosa Dar...Great wall housing Project, Hii ishaanza kutumika phase 1 na 2, phase 3 ndo bado inajengwa
![]()
Pia hawa wamejengewa kabisa hadi Mall inaitwa signature Mall na wako na mpaka shule hapo hapo
![]()
![]()
![]()
😀 Kama kawaida yetu, vitu vya ukwelihahahahahhaaView attachment 1460756
bro kila mtu ana ndoto ya nyumba yakeHivi ndo vitu tunakosa Dar...
projects kama hizi ndo zinabidi zizagae Dar yote yaan pembezoni sio kukimbilia individual houses of which bado hazileti taswira nzuri zikiwa pamoja
eti Dar ni kubwa kwasababu watu wana uwezo wa kununua ardhi, Kwahivyo Nairobi ni ndogo kwasababu watu hawana uwezo wa kuiliki ardhi 😂😂😂😂😂😂😂 we rudi shule ya chekechea 😂😂😂😂Hata kwa akili ya mtoto wa kindergarten tu unashindwa kureason kwa nini dar ni kubwa mara tatu ya Nairobi! Dar ni kubwa kwa sababu watu wana uwezo wa kununua ardhi na kujenga nyumba tofauti na Nairobi ambapo ardhi kubwa imeshikiliwa na watu wachache na hivyo mtu wa hali ya chini ni ngumu kununua ardhi na kujenga ndio maana wengi wanaishia kwenye slums siyo kwamba hao watu wanapenda kuishi kwenye mazingira hayo. Dar hata mtu wa kipato cha kawaida anaweza kudunduliza fedha na akanununua ardhi kwa sababu fursa na haki ya kununua kila mtu anayo coz ardhi ni mali ya serikali/nchi.
Sera na sheria za umilki wa ardhi katika nchi yenu ni mbaya sana na za kibepari kupita kiasi hilo lazima ukubali.