Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila muwe mnapiga picha ktk eneo kubwa bila kuyatenga mengineView attachment 1461674
Kama hapa
images - 2020-05-28T184939.536.jpeg
 
Watanzania wenzangu hamjawahi kuniangisha

Hivi vitasa mlivyo toa humu leo ni balaa

Hiyo tunasema mtoto akililia wembe mpe
wanakwambia wana middle income wengi huku unemployment rate iko over 40% inaongoza africa sasa sijui chakula kinashuka kutoka mbinguni kama vile kondoo waisrael😂😂😂
 
alaf bado unemployment inakwenda juu wanakwambia wana middle income wengi😂😂😂😂😂

 
Back
Top Bottom