kadagala1
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,941
- 6,213
Hio Shekilango kuna mtu aliniambia kuwa ilitokana na neno "Check the angle" ila siaminiSidhani kama Shekilango na Kariakoo ni sahihi!
Hio Shekilango kuna mtu aliniambia kuwa ilitokana na neno "Check the angle" ila siaminiSidhani kama Shekilango na Kariakoo ni sahihi!
Carrier corps kulikuwa na kambi ya askari wabeba mzigo wakati wa vita kuu ya piliTasahihishe kidogo carier call ni sehemu walipokusanyikia vibarua wabeba mizigo ya wazungu kwenda bara.
Hasa Wanyamwezi na Wasukuma.
Hata Nrb kuna sehemu kama hiyo!!
Huyo Shekilango alikuwa ni mwenyeji au mzaliwa wa mkoa wa Tanga. Si SHEHE kama unavyodhani. Naomba uzifanyie utafiti taarifa zako kabla ya kudanganya watu.Namba 2 kiboko
Namba 6 si kweli, si kweli kabisa, hii barabara haikuwa maarufu kivile na huyu Waziri hakupatia ajali katika hiyo barabara (uzi wa huyu Waziri upo humu), baada ya kufa ndio wakaamua kuipa jina la Shekilango hiyo barabara kama kumbukumbu yake1.Magomeni-enzi hizo kulikua na miti mingi watu wakawa wanafata magome ya miti pakaitwa magomeni
2.ILALA-kutokana na makaburi ya pale karume kila siku watu wakienda kuzika wanaimba LAILA HA ILALA ikawa ilala
3.UBUNGO- kutoka na matunda ya mabungo kuwa mengi eneo hilo ikawa ubungo
4.kariakoo- magari ya kubebea mizigo enzi hizo yaliyokua yanaleta bidhaa sokoni kariakoo yalikua yanaitwa Carrie cobs -ikawa karia koo
5.MAGOMENI USALAMA.-Kutokana na kituo cha polisi na nyumba ya rais nyerere maeneo yale pakawa sehemu salama
6.SHEKILANGO-kutokana na ajili iliyotokea barabara hiyo miaka hiyo ikapoteza maisha ya waziri fulani aliyekuwa anaitwa sheikh kilango
7.KAWE-Kutokana na ng'ombe wengi kupita njia ya kawe kwenda Tanganyika packers njia hiyo ikaitwa cow ways ikawa kawe
8.kijitonyama-nyama zilizotoka tanganyika packers zilikua zinauzwa kwa mnada maeneo hayo ikawa kijito cha nyama(kijito nyama)
9.Msasani-Musa Hasani
10.MIKOCHENI-michael chen
11.Posta- ofisi kubwa za shirika la posta zilizopo pale
Ongeza majina kadhaa tuzidi kupata elimu juu ya asili ya majina ya maeneo mbalimbali
Hapana ni jina la mtu tena alikuwa Waziri katika Serikali ya Nyerere alipenda kuvaa miwani yule bwana. Nimeisahau wizara ila yeye namkumbuka!Hio Shekilango kuna mtu aliniambia kuwa ilitokana na neno "Check the angle" ila siamini
Hiyo iko sawa kabisa.Carrier corps kulikuwa na kambi ya askari wabeba mzigo wakati wa vita kuu ya pili
Namba sita yule Mh alikuwa Anaitwa SHEKILANGO na sio Sheikh Kilango! Yule bwana alikuwa mtu wa Tanga km alivo SHELUKINDO, SHEMDOE, SHEHANI1.Magomeni-enzi hizo kulikua na miti mingi watu wakawa wanafata magome ya miti pakaitwa magomeni
2.ILALA-kutokana na makaburi ya pale karume kila siku watu wakienda kuzika wanaimba LAILA HA ILALA ikawa ilala
3.UBUNGO- kutoka na matunda ya mabungo kuwa mengi eneo hilo ikawa ubungo
4.kariakoo- magari ya kubebea mizigo enzi hizo yaliyokua yanaleta bidhaa sokoni kariakoo yalikua yanaitwa Carrie cobs -ikawa karia koo
5.MAGOMENI USALAMA.-Kutokana na kituo cha polisi na nyumba ya rais nyerere maeneo yale pakawa sehemu salama
6.SHEKILANGO-kutokana na ajili iliyotokea barabara hiyo miaka hiyo ikapoteza maisha ya waziri fulani aliyekuwa anaitwa sheikh kilango
7.KAWE-Kutokana na ng'ombe wengi kupita njia ya kawe kwenda Tanganyika packers njia hiyo ikaitwa cow ways ikawa kawe
8.kijitonyama-nyama zilizotoka tanganyika packers zilikua zinauzwa kwa mnada maeneo hayo ikawa kijito cha nyama(kijito nyama)
9.Msasani-Musa Hasani
10.MIKOCHENI-michael chen
11.Posta- ofisi kubwa za shirika la posta zilizopo pale
Ongeza majina kadhaa tuzidi kupata elimu juu ya asili ya majina ya maeneo mbalimbali
Ahsante. Umeweka kumbukumbu sawaNamba 6. Waziri aliitwa Shekilango alikuwa Msambaa wa Korogwe
Unaongea na mimi au unaongea na cm?Huyo Shekilango alikuwa ni mwenyeji au mzaliwa wa mkoa wa Tanga. Si SHEHE kama unavyodhani. Naomba uzifanyie utafiti taarifa zako kabla ya kudanganya watu.
Kizazi cha waliomuona Waziri Shekilango alipopata ajali bado tupo.
HAPANA ila tafsiri ya mwanzo ndio sahihi Bw KimeiMengine umepatia mengine unapotosha. Kibosho haina mana ya kibo show kama unavyosema. Kibosho inatokana na Jina Kiwoso (Kioso) mkazi wa mwanzo kuishi eneo hili. Alitokea ukambani baade alianzisha utawala wake hapa.wageni Waliokuja baadae walishindwa kutamka Kiwoso wakawa Wana paisa Kibosho
Nimekuelewa mkuu Kimei nashukuru kwa ufafanuzi. Wakatokea watawala wakubwa zaidi wakaform Kingdoms Kubwa , kama Mangi Marrawit, Horombo, Marialle, Sina, Rongoma, Renguo (Rengwa) Mandara etc. Ningekushauri sikumoja ufunge safari ya kiutalii,uende uchaggani ukafanye re search Wazee huko watasaidia ku prove ninachokwambia.
shekhan ni jina la kiarabu sio kisambaaNamba sita yule Mh alikuwa Anaitwa SHEKILANGO na sio Sheikh Kilango! Yule bwana alikuwa mtu wa Tanga km alivo SHELUKINDO, SHEMDOE, SHEHANI