09 Dec, 2019: Maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

Msamaha wa Rais JPM kwà wafungwa, Kiteto waachiwa 21, wamshukuru Rais, waahidi kuwa watu wema

DC Kiteto awataka wawe waadilifu akisema ndani ya miaka 4 Kiteto ni shwari wasiwe chanzo cha uvunjifu wa Àmani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale sungusungu waliokuwa wanafanya maonyesho pale kirumba Mimi nimeona fursa ndani yao,
Kwa watu makini kabisa wale watu takribani 1200 na ushee wanaweza kutumika kutengeneza bonge la movie la kiafrika,mithili ya movie za mazombi au dead walker.
Sijui wadau iyo fursa mmeiona VP, kwa maana ile stail yao ya kutembea wakati wakiimba na comerfregy zao zilivyokuwa daaa akika niliwafurahiaa sana.
 
Rais Magufuli atoa msamaha wa kihitoria wa wafungwa 5,33!.
Huu ni msamaha mkubwa kabisa kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania tangu tupate uhuru.

Kiukweli rais Magufuli atabarikiwa sana. Hata kama rais Magufuli ana makosa yake madogo madogo ya kibinaadamu,
Ila alipomalizia ameharibu kusema msamaha huu umetolewa na Mungu ambapo sasa connotation yeye ni mungu!.
P
Mayalla maana yake njaa. Njaa mbaya sana inaweza kuathiri hata uwezo wa kufikiri mayalla uwezo wako wakufikiri umeathiriwa na njaa yako.

-
 
Back
Top Bottom