Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,997
- 103,382
Kama umepata wivu wafungwa kuhojiwa na kupigwa camera
Nawewe fanya kosa utafungwa siku ukitoka camera zitakuja
Watu wanalazimisha kuonyesha wana roho nzuri. Ila wamesahau chema chajiuza.
Kama umepata wivu wafungwa kuhojiwa na kupigwa camera
Nawewe fanya kosa utafungwa siku ukitoka camera zitakuja
... why now? Hiyo ndio hoja. Tangu enzi za mkoloni utaratibu wa kusamehe wafungwa upo; kwanini kamera na media sasa?
Siku hizi wabeba kamera wamekuwa wengi na nchi imekuwa na uhaba wa matukio ya kurekodi... why now? Hiyo ndio hoja. Tangu enzi za mkoloni utaratibu wa kusamehe wafungwa upo; kwanini kamera na media sasa?
Kuchangia mada kama hizi hapa siku hizi inakuwa ngumu sana.Watu wanalazimisha kuonyesha wana roho nzuri. Ila wamesahau chema chajiuza.
Ni kweli nimeliona hiloAlafu kila gereza kaandaliwa mfungwa wakusema, kwamba kura yao/zao mwakani no kwa jiwe.
jiwe ni mwepesi sana ! hivi hana washauri ?Alafu kila gereza kaandaliwa mfungwa wakusema, kwamba kura yao/zao mwakani ni kwa jiwe.
Kuna la kushangaza hapo? Awamu ya kwanza kulikuwa na ndege, uliona serikali nzima ikiacha shughuli nyingine na kwenda kushangaa ndege? Ni sina ya watawala na mapenzi yao.Ni kawaida kwa Rais wa Tanzania kutoa misamaha mbalimbali kwa wafungwa hasa wakati wa kusherekea siku yetu ya Uhuru. Hii imekuwa ikifanywa kwa miaka mingi toka wakati wa utawala wa serikali ya awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere. Mara nyingi jambo hili la wafungwa wanapotoka jela hufanywa kimya kimya bila ya wananchi na vyombo vya habari kualikwa. Kulikoni, naona mambo yamekuwa tofauti kidogo mwaka huu, kamera zimeelekezwa kwenye kila lango la gereza kutuonyesha waliosamehewa.
Tunajua kuna wafungwa wengine ambao walifungwa kimakosa, je serikali inatumia fursa hii pia kufanya marekebisho ya sheria mbalimbali kandamizi ambazo zinaweza kusababisha hata wasio na hatia kufungwa jela.