zanzibar

  1. J

    JamiiForums Tanzania ACT wazalendo ni imara Zanzibar huku Tanganyika afadhali ya Chadema!

    Zitto Kabwe amesema wanaoibeza ACT wazalendo kushiriki uchaguzi mdogo Kigoma ni Washamba. Mimi nadhani Zitto Kabwe ndio mshamba kwa sababu anadhani ACT wazalendo ya Zanzibar ndio hii ya Tanganyika. Chadema ni bora zaidi mara 10 kuliko ACT wazalendo kwa siasa za Tanganyika. Zitto Kabwe ana...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh. Hussein Ali Mwinyi

    Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mimi kama kijana wako imenipitia tafakuri ambayo nimeona nikushauri kwayo. Inawezekana mada hii ikazuwa mjadala ambao ukawa na matokeo hasi kwako kama mtu au kwa taasisi ya Urais, hiyo siyo nia yangu mkuu na kwa kuwa wewe ni mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

    Kabla ya kutoka bungeni baadhi ya wabunge wa UKAWA jana, Professor Lipumba aliweka wazi aliyoyaongea kanisani waziri mmoja wa Serikali ya Muungano. Lipumba alisema kuna waziri kaenda kuhutubia kanisani kuwa "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam". Jana...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mahujaji Kupata Chanjo ya Corona

    Mabibi na mabwana inatia moyo sana tunapokuwa na serikali sikivu kama za awamu hii. Madhali haya mambo ni hiari ya mtu, kwanini tupangiane? Wewe hutaki chanjo? Si ubakie bila kuchanjwa? Kwani pilipili usizozila zikuwashe wewe vipi? https://dailynews.co.tz/news/2021-05-14609eaf9137c04.aspx...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi: Baba yangu alinipeleka Zanzibar ili nikajifunze dini (Q'uran) ili niwe Sheikh maarufu, nilitokea Mkuranga

    Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze Dini ya Kiislamu na aweze kuja kuwa Sheikh maarufu. Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya Kiislamu. Mzee Mwinyi anasema...
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali

    Rais Hussein Mwinyi amemteua Mshenga Haidar kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO). Vilevile amemteua Nassor Ameir kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF). Shariff Ali anakuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji (ZIPA) huku Suleiman Hamis...
  7. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Afanya Teuzi za Wakurugenzi wa Wizara ya Uchumi

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amefanya teuzi za wakurugenzi katika Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi pamoja na Taasisi zilizo chini yake Amemteua Dkt. Salum S. Hamed kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uvuvi, Dkt. Makame O. Makame kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uhifadhi wa Maeneo Baharini na...
  8. JamiiForums Tanzania Kama serikali ya Zanzibar lazima iwepo, basi kuirudisha Tanganyika hakuepukiki

    Baada ya Ikulu zote nchini Kisiwandui, Magogoni na Chamwino kukaliwa na Watanzania visiwani ndiyo nikaona umuhimu wa kuwa na serikali tatu au moja tu. Serikali tatu itasaidia kutunza siri na nyaraka za serikali ya Zanzibar na siri na nyaraka za serikali ya Tanganyika. Serikali moja inasaidia...
  9. JamiiForums Tanzania Fatuma Karume: Zanzibar inaidai Tanzania bara 4.6 trillion

    Fatuma Karume amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaidai Serikali ya Jamhuri ya Muungano kiasi cha pesa cha trilioni 4.6 kutokana na kupokonywa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo Fatuma Karume ambaye mara kwa mara hujimwambafai kukulia Ikulu ya Zanzibar na hivyo kuwa anafahamu siri...
  10. JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia gari yenye usajili wa Zanzibar, Tanzania Bara?

    Wandugu, Nina gari Zanzibar, nataka kuja nalo bara, na niweze kulitumia kwa miezi michache. Swali langu: je, ni process gani zinatakiwa kufuatwa? Kama kuna mtu yeyote amewahi kupata changamoto kama hii naomba aniambie alitatuaje.
  11. JamiiForums Tanzania Ni wakati wetu sasa Zanzibar kufaidika (MAZAGA)

    Tunashukuru kwa kutupatia pesa za Muungano nusu kwa nusu na Tanzania. Ubarikiwe sana na tunaomba uendelee kubaki madarakani kwa kipindi kirefu. Kuna mambo mengine pia tunataka. Utupatie magari ya mwendo kasi, Train ya SGR iweze kuzunguka miji yote. Pia utujengee madaraja kama ya Ubungo na...
  12. JamiiForums Tanzania Tukio la Mtanzania kufariki Ethiopia: Kama kungekuwa na ubalozi wa Zanzibar huko labda ingesaidia

    Wengi watashangazwa na na mada ya hapo juu. Taratibu fuatilia Tare 21/04/2021 siku ya juma tano, Dada yangu Fatma Said alifariki dunia Nchini Ethiopia akitokea Dubai kuja Zanzibar (Tanzania). Akiwa ndani ya ndege 'Fly Dubai' aliumwa ghafla na kuilazimisha ndege hiyo kutua kwa dharura nchini...
  13. JamiiForums Tanzania Ibara ya 1 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania insema wazi kuwa Tanzania ni dola iliyo huru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili

    Watanzania wengi wanachanganya mambo na kujikuta wakikengeuka na kupotoka. Ibara ya 1 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni dola iliyohuru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili. Ibara ya 33 (1) imeweka wazi kabisa mkuu wa hii dola na mkuu wa majeshi ni rais wa JMT. Ibara...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena CCM waliiweka rehani Zanzibar Oktoba, 2020. Mara hii ilikuwa too much

    Ilikuwa ni Zanzibar tena kwenye hesabu kali za kuvurugwa na kuvurugika. Mara hii hesabu zilikuwa kali kuhakikisha kinatumika kivuli cha uchaguzi ili kuivuruga Zanzibar na mwelekeo wao wa kudai haki kwenye Muungano na usawa. Kazi ya CCM kwenye hili haijawahi kuwa na makosa tokea kuundwa kwake...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Zanzibar kuahidiwa Meli nne za Uvuvi, kwanini pia wasipewe ndege?

    Tumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki Tanganyika na nne zitapelekwa Zanzibar, nadhani watapewa shirika la meli la Zanzibar. Sasa vipi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi hapandi ndege za Serikali?

    Kwenye safari zake zote za kwende dar ama dodoma amekuwa akipanda ndege za flightlink badala ya ndege za serikali ni kwanini?
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Zanzibar ndio ina mambo yasiyo ya Muungano na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mambo yote ni ya Muungano

    Kwa sababu Tanganyika iliondolewa kwenye uso wa ramani ya dunia basi kile kinachoitwa " mambo yasiyo ya Muungano" kipo Zanzibar pekee na vinavyobaki vyote ni vya muungano. Ndio maana Prof Mbarawa alihudumu katika wizara ya ujenzi na baadaye maji ambazo na kule nchini kwao Zanzibar zipo...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna Mgongano wa Katiba ya Zanzibar na ya Muungano, ufumbuzi wake tutake tusitake ni katiba mpya!

    Kwa sasa inaonekana kama kila kitu kiko shwari katika muungano wetu lakini Ukweli ni kuwa kuna ufa mkubwa sana ambao ni hatari kwa muungano na nchi kiujumla. Ukweli wenyewe ni kwamba Katiba mbili, yaani ya Muungano na ya Zanzibar (toleo la mwaka 2010)vinakinzana na hivyo kupelekea mkanganyiko...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina nguvu, angalia walivyozimeza CUF na ACT pia Chadema haijawahi kupata mbunge!

    Unapoizungumzia Zanzibar usiangalie udogo wake kijiografia au idadi ya watu bali tazama maarifa waliyo nayo vichwani mwao. Tanganyika ni kubwa na ina raia wengi lakini ndiko walikojazana walugaluga, washamba wa madaraka na vinara wa ufisadi wa rasilimali za nchi. Hata hivyo Mungu ni mwema kila...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Aloyce Nyanda: Nimeongea na DC Kasesela alichomaanisha ni kumtaka kijana akae chini hakumtusi, Zanzibar wanasema "kaa kitako"

    Mtangazaji wa tv nguli nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Aloyce Nyanda amesema DC Kasesela wa Iringa alitafsiriwa vibaya na hakuwa na nia ya kutukana. Nyanda amesema baada ya kuiona ile clip aliwasiliana na DC Kasesela ndipo akaelezwa tukio zima lilivyotokea. Nyanda anasema watu wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…