zanzibar

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi: Baba yangu alinipeleka Zanzibar ili nikajifunze dini (Q'uran) ili niwe Sheikh maarufu, nilitokea Mkuranga

    Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze Dini ya Kiislamu na aweze kuja kuwa Sheikh maarufu. Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya Kiislamu. Mzee Mwinyi anasema...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali

    Rais Hussein Mwinyi amemteua Mshenga Haidar kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO). Vilevile amemteua Nassor Ameir kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF). Shariff Ali anakuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji (ZIPA) huku Suleiman Hamis...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Afanya Teuzi za Wakurugenzi wa Wizara ya Uchumi

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amefanya teuzi za wakurugenzi katika Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi pamoja na Taasisi zilizo chini yake Amemteua Dkt. Salum S. Hamed kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uvuvi, Dkt. Makame O. Makame kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uhifadhi wa Maeneo Baharini na...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kama serikali ya Zanzibar lazima iwepo, basi kuirudisha Tanganyika hakuepukiki

    Baada ya Ikulu zote nchini Kisiwandui, Magogoni na Chamwino kukaliwa na Watanzania visiwani ndiyo nikaona umuhimu wa kuwa na serikali tatu au moja tu. Serikali tatu itasaidia kutunza siri na nyaraka za serikali ya Zanzibar na siri na nyaraka za serikali ya Tanganyika. Serikali moja inasaidia...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume: Zanzibar inaidai Tanzania bara 4.6 trillion

    Fatuma Karume amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaidai Serikali ya Jamhuri ya Muungano kiasi cha pesa cha trilioni 4.6 kutokana na kupokonywa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo Fatuma Karume ambaye mara kwa mara hujimwambafai kukulia Ikulu ya Zanzibar na hivyo kuwa anafahamu siri...
  6. hp4510

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia gari yenye usajili wa Zanzibar, Tanzania Bara?

    Wandugu, Nina gari Zanzibar, nataka kuja nalo bara, na niweze kulitumia kwa miezi michache. Swali langu: je, ni process gani zinatakiwa kufuatwa? Kama kuna mtu yeyote amewahi kupata changamoto kama hii naomba aniambie alitatuaje.
  7. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wetu sasa Zanzibar kufaidika (MAZAGA)

    Tunashukuru kwa kutupatia pesa za Muungano nusu kwa nusu na Tanzania. Ubarikiwe sana na tunaomba uendelee kubaki madarakani kwa kipindi kirefu. Kuna mambo mengine pia tunataka. Utupatie magari ya mwendo kasi, Train ya SGR iweze kuzunguka miji yote. Pia utujengee madaraja kama ya Ubungo na...
  8. battawi

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mtanzania kufariki Ethiopia: Kama kungekuwa na ubalozi wa Zanzibar huko labda ingesaidia

    Wengi watashangazwa na na mada ya hapo juu. Taratibu fuatilia Tare 21/04/2021 siku ya juma tano, Dada yangu Fatma Said alifariki dunia Nchini Ethiopia akitokea Dubai kuja Zanzibar (Tanzania). Akiwa ndani ya ndege 'Fly Dubai' aliumwa ghafla na kuilazimisha ndege hiyo kutua kwa dharura nchini...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ibara ya 1 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania insema wazi kuwa Tanzania ni dola iliyo huru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili

    Watanzania wengi wanachanganya mambo na kujikuta wakikengeuka na kupotoka. Ibara ya 1 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni dola iliyohuru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili. Ibara ya 33 (1) imeweka wazi kabisa mkuu wa hii dola na mkuu wa majeshi ni rais wa JMT. Ibara...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena CCM waliiweka rehani Zanzibar Oktoba, 2020. Mara hii ilikuwa too much

    Ilikuwa ni Zanzibar tena kwenye hesabu kali za kuvurugwa na kuvurugika. Mara hii hesabu zilikuwa kali kuhakikisha kinatumika kivuli cha uchaguzi ili kuivuruga Zanzibar na mwelekeo wao wa kudai haki kwenye Muungano na usawa. Kazi ya CCM kwenye hili haijawahi kuwa na makosa tokea kuundwa kwake...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Zanzibar kuahidiwa Meli nne za Uvuvi, kwanini pia wasipewe ndege?

    Tumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki Tanganyika na nne zitapelekwa Zanzibar, nadhani watapewa shirika la meli la Zanzibar. Sasa vipi...
  12. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi hapandi ndege za Serikali?

    Kwenye safari zake zote za kwende dar ama dodoma amekuwa akipanda ndege za flightlink badala ya ndege za serikali ni kwanini?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Zanzibar ndio ina mambo yasiyo ya Muungano na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mambo yote ni ya Muungano

    Kwa sababu Tanganyika iliondolewa kwenye uso wa ramani ya dunia basi kile kinachoitwa " mambo yasiyo ya Muungano" kipo Zanzibar pekee na vinavyobaki vyote ni vya muungano. Ndio maana Prof Mbarawa alihudumu katika wizara ya ujenzi na baadaye maji ambazo na kule nchini kwao Zanzibar zipo...
  14. Gamba la Nyoka

    JamiiForums Tanzania Kuna Mgongano wa Katiba ya Zanzibar na ya Muungano, ufumbuzi wake tutake tusitake ni katiba mpya!

    Kwa sasa inaonekana kama kila kitu kiko shwari katika muungano wetu lakini Ukweli ni kuwa kuna ufa mkubwa sana ambao ni hatari kwa muungano na nchi kiujumla. Ukweli wenyewe ni kwamba Katiba mbili, yaani ya Muungano na ya Zanzibar (toleo la mwaka 2010)vinakinzana na hivyo kupelekea mkanganyiko...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina nguvu, angalia walivyozimeza CUF na ACT pia Chadema haijawahi kupata mbunge!

    Unapoizungumzia Zanzibar usiangalie udogo wake kijiografia au idadi ya watu bali tazama maarifa waliyo nayo vichwani mwao. Tanganyika ni kubwa na ina raia wengi lakini ndiko walikojazana walugaluga, washamba wa madaraka na vinara wa ufisadi wa rasilimali za nchi. Hata hivyo Mungu ni mwema kila...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Aloyce Nyanda: Nimeongea na DC Kasesela alichomaanisha ni kumtaka kijana akae chini hakumtusi, Zanzibar wanasema "kaa kitako"

    Mtangazaji wa tv nguli nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Aloyce Nyanda amesema DC Kasesela wa Iringa alitafsiriwa vibaya na hakuwa na nia ya kutukana. Nyanda amesema baada ya kuiona ile clip aliwasiliana na DC Kasesela ndipo akaelezwa tukio zima lilivyotokea. Nyanda anasema watu wote...
  17. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Muda umefika sasa Tanzania na Zanzibar kuungana

    Habari wadau..! Msema kweli ni mpenzi wa Mungu licha ya ka degree kangu nilichonacho na kukalili vizuri Civics na History na kupata A bado Muungano sija uelewa. Binafsi naona kama Tanganyika na Zanzibar hazijaungana bali zina mashirikiano katika baadhi ya mambo. Nashauri sasa Tanzania (sio...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Zanzibar inachangia nini kwenye Serikali ya Muungano? Isije ikawa wanatumia Kodi za Bara

    Watu tunataka Elimu mchango ambao Zanzibar inatoa kwenye Serikali ya Muungano. Naona kama Tunaumia sana sisi wa Bara. Kuubeba Muungano. Mfano nataka kuoa. Nimeandaa Harusi baadaye nikaamua kutofanya sherehe. Je zile pesa nagawa pia kwa bibi harusi? Ndicho ambacho alichofanya Samia. Yaani pesa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

    Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi. Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais. Kwenye hotuba zake nyingi. Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo...
  20. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwa na kombe la muungano (April 26) kwa timu za taifa za bara (Tanganyika) na visiwani (Zanzibar) kwa wachezaji wa ligi za ndani tu?

    Mambo vp JamiiForums Sasa tunalo kombe la mapinduzi kwa vilabu kutoka Tanganyika na Zanzibar, kwanini tushindwe kuwa na kombe la muungano (April 26) mechi moja tu kwa timu za taifa za bara (Tanganyika) na visiwani (Zanzibar) kwa wachezaji wa ligi za ndani tu? Lilianza mwaka 1982 na kufa mwaka...
Back
Top Bottom