Dodoma!
Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili...
Hili ni swali muhimu sana kwa mustakabari wa muungano wetu. Maana ni miaka 57 toka tumeungana lakini inasemekana articles of union ya awali haijawahi kuwekwa hadharani.
Mbali ya hilo inasadikiwa kuwa haikupelekwa kwenye baraza la wawakilishi ili iweze kujadiliwa na kuridhiwa kama ilivyokuwa...
Hongera sana sana Serikali ya Dr. Husein Mwinyi kuonyesha njia ya utendaji haki, Haki sawa kwa wote ni baada ya polisi kumpiga na kumtesa vibaya sana mwandishi kutoka Tanzania mainland wa gazeti la wananchi anaefanyia shughuli zake Zanzibar.
Serikali kupitia Mawaziri wake wawili wa habari na...
Kama Wazenji hapa wapo au humu wamo napenda wanifikishie Raisi wa Zanzibar Dr. Husein Bin Ali Bin Husein el Mwinyi ya kuwa sasa ni aibu kwa matunda ya Zanzibar, ulitafunalo lina ndudu aka funza.
Hili sio la Raisi ni la Wizara ya Kilimo na waziri husika wa Zanzibar hapa Tanganyika sijawahi kula...
Makamu wa kwanza wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud, amewataka wananchi wa mkoa wa kaskazini Unguja kujenga umoja na mshikamano ili kutoa fursa kwa serikali kupambana katika kuleta maendeleo.
Makamu wa kwanza ameyasema hayo mara baada ya kukamilisha ziara yake ya kutembelea...
Jukumu letu kubwa ni kuwa bora leo zaidi ya tulivyokuwa jana.
Njia pekee ya kuwa bora ni kujifunza kupitia usomaji wa vitabu.
Vipo vitabu vya aina nyingi ambavyo vinaweza kukupa maarifa mbalimbali. Lakini vitabu vya maendeleo binafsi (personal development) vinakupa maarifa, mbinu na hamasa ya...
Zanzibar tuliaminishwa watu awapigi mpunga ila nimefuatilia madudu yanayoibuliwa na Rais aliyepo nikabaini binadamu hasa waliosoma wanatumia vyema taaluma zao kufanya ubadhirifu kuliko kuwatumikia wananchi. Baada ya tumbuatumbu kuwa kali wazee wameanza kumlalamikia Rais Mwinyi kwamba anafukua...
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulitokea tarehe 26 Aprili 1964 ukawa mwanzo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hadi tarehe ile kulikuwa na mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambayo yaliingia mkataba wa muungano mnamo mwaka 1964 na kuanzishwa dola la...
Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi.
Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
Zanzibar ndio imekuwa ikiamua Rais wa muungano awe nani
Mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana kuwa taifa moja la Tanzania. Swala likaja nani awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania? Nyerere hakutaka kujikweza akaona amwambie Rais Karume kuwa awe yeye Karume. Karume akakataa katakata...
Job Summary: The role holder is responsible for overall leadership of the branch to achieve growth, profitability and customer service excellence whilst ensuring implementation of an effective risk management framework through efficient utilization of resources.
Job Details:
Key...
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Kanali Azana Hassan Msingiri kuwa Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo(KMKM). Kanali Makame Abdallah Daima ameteuliwa kuwa Kamishna Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU)
Kanali Rashid Mzee Abdallah ameteuliwa kuwa...
Hongera Mh Rais Samia Suluhu kwa kutuongezea msamiati kwenye lugha yetu.
Katika kongamano na viongozi wa dini Rais Samia ametumia neno la kiswahili ambalo ni adimu kulisikia mitaani ingawa ni neno la kiswahili kutoka asili ya kusini mwa Zanzibar.
demka Taz. demnga.
demnga V cheza ngoma kwa...
ZANZIBAR :- WAZIRI JAFO ARIDHISHWA MIRADI YA MUUNGANO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amefanya ziara ya kikazi ya kukagua miradi inayotekelezwa pande mbili za Muungano visiwani Zanzibar na kuonesha kuridhishwa na utekelezaji wake.
Akiwa...
Kuna hoja nimekuta watu wanaongea, ni kuhusu kile ambacho mama amesema waziri wa fedha akakae na mwenzake wajadili na kusuluhisha katika kero za muungano. Ninaupenda sana Muungano,ninauunga mkono. lakini, nilijiuliza kitu kimoja, mimi kama mtu wa bara sitaki tupigwe pia kama wazenji wasivyopenda...
Kwa jina la JMT.
Sijashuhidia hili ila miaka mingi nimekuwa nasikia kuwa kodi huko visiwa vya Zanzibar iko chini sana. Zamani ndugu yangu mmoja alikuwa anafuata vitu huko. Juzi kati kuna jamaa yangu kanunua TV huko. Hata magari nasikia kodi ipo chini sana.
Napendekeza kodi za Bara ziwe sawa na...
Ndugu, wakati umefika Sasa wa Kubadilisha katiba ya Zanzibar Kuondosha ukomo wa Urais kwa upande wa Zanzibar. Nashauri Rais aliyopo Sasa aendelee kuingoza Zanzibar hata kipindi chake Cha miaka kumi ikiisha Kwa uwezo wa Mungu. Sote tunashuhudia siku chake tu amefanya Mambo makubwa sana. Na hii...
Rais Ali H. Mwinyi kama unavyojua Zanzibar ni nchi ndani ya Muungano wa Tanzania lakini kwenye masuala ya afya kila upande una wizara yake. Sasa kwa kuwa wakazi wengi (Majority) yao tunaoishi Zanzibar na Pemba ni Waislamu na huu ni Mwezi Mtukufu Wa Ramadhan.
Ombi letu kwako ni kuwa Wazinzibari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.