Mwalimu wa Mathematics anahitajika Zanzibar

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
12,405
2,000
Kwa mara nyingine nawaletea tena fursa hii adhimu.

Tunahitaji mwalimu wa somo la Mathematics (preferably male) ambae atafundisha primary school iliyopo Zanzibar.

Shule ina mazingira mazuri sana ya utendaji kazi.

Working hours:
8 hours per day
Number of students in the class: Not more than 24 students
Internet connection: Available throughout school compound
Working days: Monday- Friday
Meals: Breakfast provided every day
Teaching tools: White board makers, white board, Bluetooth mini speakers, I-Pads, Computers, etc etc
Sessions per week: Not more than 18 sessions per week
Salary: Competitive salary

Kwa wanaohisi wana vigezo, watume CV zao na certificates zao kupitia PM yangu hapa jukwaani na watakaopitishwa watatafutwa rasmi.
 
JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Jan 22, 2014
506
250
Kwa mara nyingine nawaletea tena fursa hii adhimu.

Tunahitaji mwalimu wa somo la Mathematics (preferably male) ambae atafundisha primary school iliyopo Zanzibar.

Shule ina mazingira mazuri sana ya utendaji kazi.

Working hours: 8 hours per day
Number of students in the class: Not more than 24 students
Internet connection: Available throughout school compound
Working days: Monday- Friday
Meals: Breakfast provided every day
Teaching tools: White board makers, white board, Bluetooth mini speakers, I-Pads, Computers, etc etc
Sessions per week: Not more than 18 sessions per week
Salary: Competitive salary

Kwa wanaohisi wana vigezo, watume CV zao na certificates zao kupitia PM yangu hapa jukwaani na watakaopitishwa watatafutwa rasmi.
Ahsante kwa taarifa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom