MSICHANA WA KAZI KABAKWA NA MZEE WA MIAKA 74 AMBAYE NI BOSS WAKE MKAZI WA BUBU, ZANZIBAR, POLISI WADAIWA KUPOTEZA KESI!
Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi aombwa Kuingilia kati sheria ifuate mkondo
Bubu, Zanzibar.
Mzee Sadalla Juma Sadalla mwenye umri wa miaka 74 mkazi wa Bubu, Zanzibar...
Nimehisi nijaribu kuanzisha huu uzi kwa ajili ya kupeana support ya baadhi ya changamoto. Kwa wale wote wanaoishi Zanzibar au wanaopanga kwenda kuishi Zanzibar, Au kwa wale wanaotaka kwenda kwa ajili ya matembezi na menginayo.
Hii thread tutasaidiana kwa ajili kuelekezana mambo tofauti ikiwemo...
Na Gaspary Charles
WAKULIMA wa mwani kisiwani Pemba wameiomba serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kuingilia kati upatikanaji wa soko la zao hilo ili kuwanusuru na hali ngumu ya maisha wanayokabiliana nayo kutokana na wanunuzi kusitisha ununuaji zao hilo.
Hayo yamebainishwa na wanakikindi cha...
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui alisema afya sio jambo la muungano ila kwa suala la chanjo inabidi wafanye kazi kama #jamhuri kwa kuwa mashirika ya kimataifa yanatambua #Tanzania Bara na #Zanzibar kama nchi moja, kwa hivyo hawawezi kupata chanjo kwa kutengwa.
My Take: Bado naona...
Hivi masuala ya anga ni ya Muungano?
Zanzibar hawawezi anzisha shirika Lao la ndege??
Hatuwezi rekebisha wakawa na shirika lao la ndege?
Binafsi naona kama Utalii sio suala la Muungano basi na masuala ya biashara ya ndege na anga itenganishwe..ibaki kwenye ulinzi Tu...
Zanzibar ikiwa na...
Unguja. Makamu wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali itaendelea kuwahudumia majeruhi waliopata ajali katika basi la kampuni ya Classic mkoani Shinyanga.
Ajali hiyo ilitokea Juni 2, 2021 katika kijiji cha Buyubi kata ya Didia mkoani Shinyanga baada ya dereva wa basi hilo...
Wizara ya Afya ya Zanzibar imetangaza watu kutoka nchi tisa ambazo tayari zimethibitisha kuwa na maambukizi ya virusi vipya watalazimika kufanyiwa vipimo vya haraka kabla ya kuingia Zanzibar
Nchi zilizotajwa ni India, Uganda, Marekani, Uingereza, Peru, DR Congo, Afrika Kusini, Ufilipino na Brazil
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya wa serikali ya Mapinduzi , Mh Nassoro Mazrui , lengo ni kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu
Bado haijafahamika kama wageni kutoka Tanganyika nao watahusishwa au la .
Chanzo : ITV
====
WANAOINGIA ZANZIBAR SHURTI CHETI CHANJO YA COVID-19...
Nawasalimu nyote na napenda kuulizia nina gari yangu ambayo nilikuwa naitumia huku Kwa wazee wa Madrasa na natarajia sasa kurudi nyumbani bara. Je ukiachana na malipo ya kawaida ambayo ni salio la Kodi, nalazimika pia kupitia mlolongo wa ukaguzi chini ya TRA?
Kama ndivo nijipange make nimeona...
Ikumbukwe kwamba Kabla ya Heri James kuwa Mwenyekiti wa UVCCM nafasi hiyo ilishikwa na Hamad Masauni, japo baadaye aling'olewa kwa kashfa ya kufoji umri, baada yake akaja Sadifa, ambaye rekodi yake ya lugha chafu sidhani kama itakuja kuvunjwa. Hawa wote walitoka Zanzibar.
Sasa swali langu ni...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Ndg. Ali Mohamed Shein leo Juni 19, 2021 ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kiswandui
Kikao hicho kilihudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Hussein Ali H...
Sheikh Farid: Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kiufupi tunashukuru sisi tumeachiwa lakini huu ni mwanzo mwema ya busara ya marais wetu, Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania, Amiri Jeshi mkuu, mama Samia Suluhu. Wamefanya busara kubwa sana kuondoa hii hali ya mtanziko ya muda mrefu sana wa hii Kesi...
Bismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
SHEIKH MSELEM SHEIKH FARID WAKO NYUMBANI ZANZIBAR
Masheikh zetu wawili wako majumbani kwao na familia. Tutaendelea kukupeni taarifa awamu kwa awamu.
Lengo ni kutoa taarifa za kweli na zilizozingatia mambo yote muhimu.
Aidha viongozi wa...
Ukinunua gari Zanzibar utalipa Kodi na ukifika Tanganyika utalipa tena kubwa tu, na sio gari tu fridge, TV, Simu n.k
Ni hivi ni rahisi kuingiza vitu Zanzibar kutoka nje hasa falme za Kiarabu lakini si rahisi kuvitoa Zanzibar kuviingiza bara.
Tuendeleee na mazungumzo au tuachane nayo?
Mh Rais, Bwana asifiwe!
Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya na sisi Watanzania tunaendele kukuombea uendelee kuwa na afya njema. Mh Rais wewe umeonesha wazi ni mpenda haki na ni wazi umeonesha unataka muungano ulio imara kabisa bila kujali chochote umehakikisha Wazanzibari wanapata nafasi...
Taarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT Wazalendo.
Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar
Nitajaribu kuweka video kama itakubali...
Wanasema mzaha mzaha hutumbua usaha, kwa mujibu wa katiba yetu, mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ni jambo la muungano, hii ni pamoja na misaada pamoja na mikopo kutoka nje ya nchi. (Katiba ya JMT ibara ya 4 nyongeza ya kwanza)
Lakini tangu awamu ya sita ya rais wetu Samia Suluhu ishike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.