zanzibar

  1. M

    JamiiForums Tanzania India kujenga Chuo Kikuu Kizimkazi Zanzibar

    India inaanzisha Kampasi yenye hadhi ya juu ya Chuo cha Teknolojia (IIT) Madras, Zanzibar inayotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Ni Kampasi ya kwanza ya Chuo hicho nje ya India.
  2. JamiiForums Tanzania Tony Blair, angel of Darkness yuko Zanzibar!

    Daily News 6 Oct. Pg3 Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu. Sioni ujasiri wa kumkaribisha nchini kwetu ilhali ana mikono ya damu ya wananchi wasio na hatia. Rais Mwinyi chonde chonde...
  3. JamiiForums Tanzania Zanzibar kuna fursa nyingi ila umaskini umetamalaki

    Kwa masikitiko makubwa pamoja na fursa zilizopo Zanzibar hususani utalii wa fukwe na Mali kale. Umaskini umetamalaki. Wengi wa wananchi wanaishi katika Hali mbali kiuchumi. Ukihesabu ndege zinazotua ABEID AMANI KARUME INTERNATIONAL AIRPORT na hotel za kitalii zilizopo Zanzibar. Usingetarajia...
  4. JamiiForums Tanzania Kitanda na godoro vinauzwa Zanzibar

    Wakuu habari ya muda huu Vyote vipo katika hali nzuri. Ukitaka kukagua Vipo Kikwajuni. Bei ya jumla ni laki tano na elfu hamsini. Godoro pekee bei ni laki moja na themanini alfu. Kitanda pekee bei ni laki 3 na elfu hamsini. Sababu ya kuuza:Anahamia bara mwenye navyo. NB;Mimi sio vyangu isipokuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Mtanganyika kufungua duka Zanzibar

    Wakuu nikitaka kufungua duka Zenji na mie naishi Bara kuna utaratibu wa kufuata au naweza tu jichanganya nao nikafungua nikaendela na business. Nataka kuweka branch Zanzibar lakini nature ya biashara yangu ni duka kubwa kama shopping center hivi.
  6. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu bei za vifaa vya kielectroniki Zanzibar pamoja na gharama za usafiri

    "Hivi ni kweli Zanzibar ina Unafuu wa vifaa vya Kielectroniki? Na vipi kuhusu gharama za kusafirisha bidhaa?" Ni swali ambalo wengi wamekua wakijiuliza kuhusu unafuu wa bidhaa pamoja na gharama za usafirishaji wa vifaa vya Kielectroniki kutoka Zanzibar kwenda Tanzania Bara. Kwa hili, Naomba...
  7. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe Zanzibar, ndiyo Hotuba bora ya muda wote

    Upo Msemo wa kiswahili unasema hivi, Nanukuu " kizuri kula na nduguzo" mwisho wa kunukuu. Ukisikiliza Hotuba ya Freeman Mbowe , aliyoitoa kwenye ile siku ya Wazee ya kidunia iliyofanyika Zanzibar juzi , ile iliyoandaliwa na Bazecha, basi haraka sana utagundua kwamba uongozi ni Karama halisi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Zanzibar bila Tanganyika

    Zanzibar imejaa fursa lukuki 1. UTALII 2. GESI 3. MAFUTA 4. KARAFUU 5. MWANI Ila ndio koti la Muungano linatubana. i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika, ii. Pesa inaliwa Tanganyika. iii. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
  9. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani

    Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka atua Kizimkazi Zanzibar ili kusikiliza kero, manyanayaso na uonevu wa serikali ya CCM chini ya ras Samia.

  11. JamiiForums Tanzania Msaada kwa watu wazanzibar au wale ambao washawai kwenda Zanzibar na ni wenyeji

    Ishu yangu ni hii naomba kwa anaejua hawa jamaa wanaouza baskeli ambao ni Meridian bit tech limited je ni kweli wapo Zanzibar? na wanafanya hii biashara ya baskeli tafadhalini Sana kwa anaejua anijuze nipate kujua asante Swala langu ni hilo Tu wakuu
  12. JamiiForums Tanzania KERO Responded Kero hii ya foleni Bandarini kwa abiria wanaotokea Zanzibar itaisha lini?

    Mamlaka husika piteni hapo Bandarini abiria wanaotoka Zanzibar wanakutana na kero ya kukaa kwenye foleni kwa muda mrefu sana hadi inakera. Hali hii imekuwa ikitokea mara nyingi lakini nimeona niseme ili kama ujumbe huu utawafikia mamlaka basi wabadilishe mbinu na ikiwezekana wachukue hatua...
  13. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Freeman Mbowe ashiriki Kikao cha Faragha cha Wakuu wa Vyama vya siasa

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba; Mwamba wa Siasa za Tanzania, ambaye anatajwa kuushikilia Mustakabhali wa Tanzania kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto, Freeman Mbowe, amehudhuria mkutano wa Faragha wa Wakuu wa Vyama vya Siasa unaofanyika Nchini Zanzibar. Taarifa zinaonyesha kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Aliyemuelewa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar atusaidie na sisi kuelewa

    Mara zote wadau wa siasa wamehoji malengo na dhamira halisi ya ACT WAZALENDO kwenye siasa za Tanzania , mpaka sasa bado majibu yanatafutwa . Sasa tunaomba aliyemuelewa kiongozi wao huyu atusaidie kuelewesha wengine Mkubwa huyo amedai kwamba Wawekezaji Waje nchini Tanzania , maana hali ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini kutoka bara kuwa kiongozi Zanzibar ni ngumu tofauti na kutoka Zanzibar na kuwa kiongozi bara?

    WanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Inasikitisha: Tazama hali ya miundombinu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Picha ya kwanza chumba cha wahudumu picha ya pili Wodi ya wagonjwa Pia Soma = Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA iende kuwekeza nguvu Zanzibar

    Hakuna wakati muafaka Kama huu kwa chama Cha CHADEMA kwenda kuwekeza nguvu Zanzibar. Sababu zangu kwa ombi Hilo ni zifuatazo. 1. Kwanza, Kwa Sasa harakati za kisiasa Zanzibar zimepoa baada ya Maalim seif Kuondoka duniani. Hivyo kwa Sasa upinzani Zanzibar hauna political figure kama ilivyokuwa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Eti Tanzania Vs Zanzibar inahusu😕😕😕

    Hivi huu mfananisho una tija gani? Yani mnataka Tanzania ikubali mkataba mbovu wa uwekezaji kwa sababu Zanzibar wamewekeza🤷🤷🤷 Nchi ya watu zaidi ya million 60 iige yanayofanywa kwenye kisiwa cha watu milioni 1? Hii ni aibu
  19. JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Zanzibar, naombeni muongozo tafadhali

    Heshima yenu wakuu. Niko Zanzibar kwa siku kadhaa sasa na nimekuja kwaajili ya kutafuta ridhiki. Naomba tips/muongozo kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata kazi/kibarua na itapendeza zaidi malipo yakiwa ni kwa siku maana sina makazi. Lengo langu ni kuwa na kazi mbili; moja ya kuifanya asubuhi...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Mwekezaji wa Bandari kapewa miaka 5 tu na watareview mkataba, Bara kajifunzeni hata huko

    Inaumiza sana, Mwekezaji wa kuendesha bandari ya Zanzibar kapewa miaka mitano tu ya kuendesha bandari. Mwekezaji huyo kutoka ufaransa ataendesha bandari kwa miaka mitano tu na mkataba utaangaliwa upya kama kafikia malengo ataongezewa muda na kama hajafikia malengo atapewa mwekezaji mwingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…