Naomba wale walioko Zanzibar watueleze hali ya upatikanaji wa Mafuta upande huo na ikiwezekana watupe na bei kwa lita Moja , tulinganishe na Tanganyika ambaye ni Mshirika wao wa Muungano.
Natanguliza Shukrani.
Mama anaezungumza kwa niaba ya Wakristo wa Kanisa la Anglikana Zanzibar (Kanisa mama), anasema hawataki tena kuchukua maelekezo kutoka Dodoma au kwa Askofu Mkuu Dkt. Maimbo Mndolwa ! Anasema ni vyema sasa wakawa na utaratibu kama wa ndugu zao Waislam wa Zanzibar ambao taasisi yao haipokei...
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA Zanzibar), Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jumuiya ya Waandishi wa Habari za Maendeleo Zanzibar (WAHAMAZA), pamoja na Klabu ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC), zikishirikiana na Kamati ya Wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO)...
KUMEKUWA na uhaba wa wa kifaa cha uchunguzi wa Virusi Vya UKIMWI ( HIV Kits) katika vituo vya afya vya serikali Zanzibar jambo ambalo limepelekea huduma ya upimaji wa Virusi Vya UKIMWI kusita.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika ziara iliyofanywa na Chama cha waandishi wa Habari Wanawake...
Japo Zanziba ni sehemu ya Tanzania, inafahamika kuwa asilimia kubwa ya wakazi wake ni Waislamu. Na inafahamika kuwa nguruwe, au MBUZI KATOLIKI kama inavyoitwa na baadhi ya watu, ni wanyama haramu kwa Waislamu.
Lakini unajua hiyo mboga inapatikana hata Zanzibar? Kwa ambaye hajawahi kufika huko...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu dogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.
https://www.youtube.com/watch?v=H04h3n8tXyA
===
Rais Samia amewakumbusha viongozi walioapa kuishi kiapo chao pia. Kwa wateule wapya, amewataka...
Heshima yenu wakuu.
After a long while of unsuccessfully seeking for a job in Dar, nataka nijivike mabomu na niende Zanzibar kutafuta kazi/kibarua.
Kwa anaefahamu, kuna fursa za manual labour maeneo gani ndani ya Zanzibar?
Stay blessed.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara Wilaya ya Kusini Unguja tarehe 29 Agosti, 2023 visiwani Zanzibar.
https://www.youtube.com/live/LlyEZLuVGeU?si=3tvUhyO8r-RMSUIO
Rais Samia amezindua madarasa Mapya 6 Buyuni Shule ya Msingi pamoja na kuzindua holi la...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Paje, wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi, linalofanyika Paje mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein...
Unguja. Wakati wanyamapori hususani simba na chui wakivushwa kwa mara ya kwanza kwenda kisiwani Zanzibar katika maonyesho ya tamasha la Kizimkazi, Ofisa Utalii kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa), Lusajo Nsweve, akisemani mpango katika kutanga utalii.
Wanyama hao ambao...
Habari zenu wana jamvi.
Nisiwachose sana.
Ni hivi, sauti yangu ya ndani inanishuhudia nioe mwanamke wa kizanzibari..
Kuhusu dini Mimi ni Mkristo mwenye vinasaba vya uislamu. Nipo tayari kusilimu wakati wowote ule. Kwanza I am not even a church going person.
Ukristo wangu ni ukristo wenye...
Kama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar, Hayati Karume anaanza kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na kulazimisha kuitafuta laana yake ambayo huenda ikawagharimu Wazanzibari?
Jaji George Joseph Kazi ameteuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ataapishwa tarehe 28 Agosti, 2023 saa 8 Mchana Ikulu Zanzibar na wajumbe wa Tume hiyo. Uteuzi wake unaanza leo 24 Agosti, 2023...
Nimekuwa nikuvutiwa na utendaji kazi wa Tabia Mwita ambaye ni Waziri wa Michezo katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Nilikuwa sijui kama majina ya bara siku hizi yamejaa huko visiwani?
Khadija Abbas Rashid (74) miongoni mwa walioshiriki kuchanganya udongo wa iliyokuwa Tanganyika na Zanzibar amefariki dunia jana Jumanne Agosti 23, 2023 nyumbani kwake Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano ambapo wametoa...
Dar es Salaam, Agosti 23, 2023 – Katika Mkutano wa kujadili demokrasia ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Hamad M. Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF na Waziri wa zamani wa Miundombinu na Mawasiliano, amezungumzia hatua zilizofikiwa katika kufanikisha mazingira bora...
Enzi za utawala wa Mwinyi miaka ya 80, mwanasiasa machachari Joseph Mtikila alikuwa akimuita Rais Mwinyi ni ‘TX’ kutoka Zanzibar na aliwahi kumwambia arudi mwenyewe Zanzibar kabla hajarudishwa kwenye jeneza, hii ilikuwa kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Jangwani kwa waliokuwepo wakati huo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.
Rais wa...
Ufike wakati mtushawishi Kwa hoja hasa Kwa watu wa kawaida kabisa kwamba huu muungano umewanufaisha vipi au umekupa hasara Gani wewe binafsi. Binafsi Mimi muungano huu umenisaidia sana kutimiza ndoto yangu. Wakati Tanganyika singeweza kusajiliwa kuendesha biashara yangu nikaenda Zanzibar ambako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.