zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar inafaa kuwa Makao Makuu ya Nchi

    Kutokana na mazingira na historia ya Zanzibar. Inastahili kuwa Makao Makuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  2. JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Changuu, Zanzibar: Sehemu nzuri ya kutalii na kubarizi

    Habari ya muda huu wakuu.. Leo nitatoa dodoso dogo linalozungumzia histori,na maelezo ya vivutio mbalimbali vinavyopatikana kisiwa kidogo kilivhopo maili 4 kutoka unguja. Kisiwa hiki kinaitwa Changuu au Prisona au kisiwa Cha Kobe. Kisiwa Cha prisona kilianza kujulikana hivyo, kuanzia mwanzoni...
  3. JamiiForums Tanzania Jengo limeanguka Zanzibar, mtu mmoja ajeruhiwa, wengine 15 wameokolewa

    Jengo la PBZ lililopo Forodhani limeanguka, inadaiwa kulikuwa na watu kadhaa ndani ya jengo hilo lakini bado hakuna taarifa rasmi juu ya chanzo cha tukio hilo na madhara yaliyojitokeza.Jengo la PBZ lililopo Forodhani limeanguka, inadaiwa kulikuwa na watu kadhaa ndani ya jengo hilo lakini bado...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi Zanzibar waipasua CCM

    Waraka alioutoa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12 2024 umetajwa kuigawa CCM huku wazalendo wakimuunga mkono na wale wa mrengo wa upigaji wakiupinga kwa gharama kubwa. Pia Soma: - Luhaga Mpina: Serikali inaingia Mikataba Mibovu na ya Siri...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kwenye michezo Zanzibar liwe Taifa huru

    Habari za kazi wadau.nimeona guinea bissau, equatorial guinea na Guinea afcon nikaona si kwa ubaya wale mlandege tungewaona pale afcon wakiiiwakilisha ardhi ya zenji. Sasa wanafeli wapi??Kumbuka Mimi mtanganyika wa huku ushirombo.
  6. JamiiForums Tanzania Pamoja na Simba kupeleka kikosi cha kwanza Zanzibar katika mashindano yasiyopewa uzito bado imeshindwaa kutwaa ubingwa

    Pamoja na kupania na kukamia mno katika michuano ambayo timu zingine makini iliyachukulia kama sehemu ya kupima baadhi ya sajili zake huku zikipeleka vikosi B na kujàribu baadhi ya wachezaji wa u20 kwa ajili ya kutunza nguvu ya vikosi vya kwanza kwa mashindano makubwa na kuepuka majeraha kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Zanzibar wamejua sehemu wa kuweka nguvu wapate Pesa kwa miaka mingi ijayo. Tanzania Bara bado tumelala

    Kama muumini mkubwa wa kutumia akili vizuri ili kupata maendeleo makubwa napenda kumpongeza sana Rais wa Zanzibar kwa anavyoitengeneza Zanzibar iwe na uchumi mkubwa unaojitegemea miaka ya mbeleni. Rasilimali kubwa inayompa maendeleo ya kweli mwanadamu ni akili. Rasilimali si madini, si...
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji kwenda Zanzibar kupiga mishe za vibarua

    Wakuu habari zenu, Nimekuwa nikitafuta mishe yoyote ya kupiga hapa mjini bongo bila mafanikio yoyote yale, awali nilikuwa napiga mishe za saidia fundi. Ubaya wa hizi mishe hapa bongo ni utapata leo Kisha utakaa sana mpaka upate kazi nyingine. Angalau zile za kuweka Kambi mpaka miezi miwili huko...
  9. JamiiForums Tanzania Mshikamano: Watanganyika Wajazana Zanzibar kushiriki Sherehe za Mapinduzi Matukufu

    . Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zingali zikiendelea huko visiwani , ambapo sherehe hizo kabambe zimefanyika kwenye Uwanja wa Aman, Gwaride Maalum na Hotoba za viongozi zimesikika . Jambo kubwa la kufurahisha ni uwepo wa Watanganyika wengi kuliko wakati wowote tangu sherehe hizo...
  10. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Tuyaenzi kwa 4R za Rais Samia?, JMT Tuitendee Haki Zanzibar?, Tuwatendee Haki Wazanzibari? Mshindi Halali Apewe?

    Wanabodi, Kwanza nijiunge na Watanzania wenzangu, kumpongeza Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Zanzibar, Dr, Husein Mwinyi, kwa Zanzibar kutimiza miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, huku waliopindua wakiyaenzi na kuyaita Mapinduzi Matukufu, huku waliopinduliwa wakisema Mapinduzi...
  11. JamiiForums Tanzania Voices From Within: Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said atafurahi zaidi kama atarudi Zanzibar. Rais Samia, Rais Mwinyi, sameheni, utabarikiwa sana!

    Wanabodi, Baada ya kuisoma hii story hapa chini, nimeisikia sauti ya ndani yangu, the voices from within ikiniambia huyu Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said, ambaye alizaliwa tarehe 16 Septemba 1929 na kuwa Sultan wa Zanzibar baada ya kifo cha babake, Abdullah Bin Khalifa mwezi Julai 1963, sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar kweli ni nchi!

    Leo kule uwamja wa amani ulipigwa kwanza mwimbo wa taifa wa Zanzibar ukafuatia ule wa Africa Mashariki. Katiba ya Zanzibar iko wazi, kwa nini huku Tanganyika tunajin'gata vidole?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba "out" za Zanzibar ni rahisi kuliko Bara?

    Kwa msiofahamu hapa Zanzibar bar hazijatapakaa mitaani kama huko bara. Vileo vinauzwa kwenye kambi za jeshi na kwenye mesi za polisi. Mitaani hutaona bia. Huku Zanzibar hakuna pahala wanaouza kitimoto. Na pia hakuna guest house. Sasa basi, wakati huko bara, asilimia kubwa ya appointments huwa...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar sherehe zipo. Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyia sherehe hakuna. Huu siyo upofushaji?

    Nchi mbalimbali duniani huona fahari sana kukumbuka siku za kuzaliwa mataifa yao. Neno kuzaliwa nimemaanisha siku ya kupata uhuru. Nimeangalia majuzi hapa kwa jirani zetu Kenya, walisherehekea siku yao ya Uhuru kwa kishindo wakiwa pamoja na Rais wao Dr. Ruto. Nchi nyingi hasa zilizojikomboa...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Zanzibar yanaendelea, sasa hufanyika kila baada ya miaka mitano

    Mapinduzi ya mwaka 1964 yaliiondoa serikali halali na kuisimika serikali ya Mapinduzi. Watu waliuliwa wengi wakati na baada ya mapinduzi. Baada ya mapinduzi tulitegemea kuona demokrasia ikitawala ili kupata viongozi waliopatikana kwa ridhaa ya wananchi. Bahati mbaya sana kikundi cha watu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar lakini ukweli namna Kassim Hanga alivyouwawa hauwekwi wazi

    Mpaka leo Dunia nzima haijapata ukweli kama alipigwa risasi au kutumbukizwa baharini. Hanga alikubalika sana kwa uwezo wake wa kudadavua mambo na kuwa na ushawishi mkubwa ndio maana Mzee Karume alimchukia. Hii ni kwa mujibu wa mzee Aman Than Kwa nini CCM hawaweki ukweli huu?
  17. JamiiForums Tanzania Yanini kusherehekea siku ambayo maelfu ya watu wasio na silaha wala hatia waliuliwa Zanzibar (12/01/1964)

    Historia huwa inapitia msururu mrefu wa matukio.Yapo matukio ambayo mwanzoni huenekana ni sehemu ya historia nzuri lakini kadri muda unavyokwenda watu hujutia historia hiyo na hatimae kuamua kubadili hisia. Matukio ya aina hiyo ni kama yale ya utumwa barani Amerika na ukoloni uliofanywa na...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar haioni kwamba inawajibika kuwafanyia kitu watu wa Field Marshall John Okello?

    Mapinduzi ya Zanzibar yaliendeshwa na bwana John Okello. Hili halina ubishi. Mapinduzi yalianza saa tisa za usiku yakiongozwa na Okello na watu mia kadhaa wakiwa na silaha za jadi. Walivamia vituo vya polisi na huko ndiko walikopata bunduki. Kufika saa moja asubuhi Okello akatangaza redioni...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Tuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar Milele na Milele!

    Tuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 1964 Milele na Milele. Zanzibar ndio alama yetu pekee tunayoitegemea hapa Visiwani. CCM oyee. NB: Karibuni katika sherehe ya kusherehekea miaka 60 ya kumfurusha Sultani.
  20. JamiiForums Tanzania TANAPA yawasili visiwani Zanzibar kunadi vivutio na fursa za uwekezaji

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) wamewasili Visiwani Zanzibar kushiriki kwa mara ya kwanza Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yaliyofunguliwa tarehe 10.01.2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussen Ali Mwinyi eneo la Dimani - Fumba Zanzibar ili kunadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…