Wanabodi,
Mwaka Huu 2026 JF Inatimiza Miaka 20!, tangu uwepo wake, tangu enzi zile za JamboForums.
Pia soma Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?
Pia unaweza kujikumbusha Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...
Natoa wito, kwanza...
Polisi wa jimbo nchini Nigeria Jumanne wamewashtaki aliyekuwa Waziri wa Sheria, Abubakar Malami, pamoja na mwanawe Abdulaziz, kwa makosa matano yanayohusiana na ugaidi na umiliki wa silaha, miezi kadhaa baada ya taasisi ya kudhibiti uhalifu wa kifedha kuwafungulia mashtaka ya utakatishaji wa...
NCHI MOJA MATAMKO KIBAOOO KILA WAZIRI AKIJA ANABADILI SERA
je nyie hamuoni mnageuka MIUNGU WATU?
Ridhwani tuambie je umemaanisha wanaonza kazi yaani First appointment ndio hawaruhusiwi kubadili vituo au kuhama au unamaanisha WOOTE hata wa zamani katika.maeneo yao?
Nakukumbusha tu kupitia Bunge...
Changamoto hii inasababishwa na nini?
Kiss FM
RFA
CLOUD FM
CAPITAL RADIO
RADIO ONE
TBC 1 N.K
Hizi ni moja ya radio zilizosikika vizuri sana iwe kwenye simu au radio yenyewe.
Radio zibgine kama wasafi fm, na chipukizi zote hazisikiki vizuri ukiwa kwenye gari au ukiwa na simu au radio kuna...
Aliyekuwa Waziri wa Rasilimali za Mafuta wa Nigeria, Diezani Alison-Madueke, amefikishwa mahakamani jijini London akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa zenye thamani ya mamilioni ya pauni kwa njia ya fedha taslimu, mali za kifahari na matumizi ya majengo ya gharama kubwa kutoka kwa...
Magari mengi yenye gearbox za 4at ni yamiaka zaidi ya 15 iliyopita
Magari ya CVT ni ya kisasa zaidi na yanatumia mafuta kidogo
Lakini unawakuta watu wapo radhi kununua gari yenye 4at yenye gharama kubwa zaidi kuzidi yenye cvt.
Kwanini watanzania wanaogopa CVT ?
1: Kuruhusu mgeni alale na mtoto wako mdogo chumba au kitanda kimoja
2: Kuwabania vikali mabinti katika mikusanyiko ya kila siku ya maisha, hii imetengeneza vijana wengi machapati mikoa ya pwani
3: Ubinafsi na ukoloni wa baba katika uendeshaji na ushirikishaji wa mali zake
4: Kuwachezea...
Achana na Sekenke ya sasa hivi iliyochongwa, kuna ile ya zamani ambayo haikuwa na lami. Mara ya kwanza napita pale 2006 kwanza tukashushwa kwenye gari wakabaki wazee, watoto na wagonjwa, bus likaanza kukata mlima. Kwakweli ilikuwa hali ya kutisha.
Router zenye uwezo mkubwa bei yake ipo juu sana. Sasa nikaanza kufanya research ya kama PC ikiwa na Windows OS ya kawaida kama inaweza kufanya kazi kama Router. Nilihangaika mpaka kuja kupata majibu kuwa kama unataka kutumia PC yako kama Router basi inabidi usasishe (install) OS ambayo ni...
Kwa mauwaji yale. Tanzania haiwszi kuwa kama zamani.
Ushauri wangu kwa wale Lumumba Buku 7, acheni kupoteza muda wenu.
Huwezi kuua watu namna ile halafu ukadhani maisha yataendelea tu kama kawaida. Haiwezekani.
Hata vitabu tulivosoma au majarida yalikuwa yanatuonesha kwamba ni mama watu wa miaka kuanzia 35 huko.
Ila sasahivi wajane ni vibinti vya umri mdogo kabisa yaani vingine hata 18 havina kabisaa.
Matapeli wa kidini, wanajimu na waganga wanajua kucheza na matukio.
Mbasi
Kwa muda fulani alikuwepo Mbasi aliyedai kuwa sawa na Kyala (kwa ukuu). Alijifunua kupitia kwa kaimu wake hasa sehemu za Lufilyo chini ya milima ya Ukinga.
Hata kabla ya Wamisionari wa Berlin kufika kule, yule kaimu...
Zamani wakati nakuwa nilikuwa nikisikia kutapikiwa chapati hiyo siku nitafanya yote kwa umakini kuhakikisha simkeri bimkubwa maana kaka zangu wasingenielewa, lakini siku hizi chapati zimeshuka hadhi kila mahali zapatikana. Dar hadi kwenye vituo vya dalalada zinapikwa, sijui kama watu bado...
Siku hizi bongo naona watu wengi wameingiwa ugonjwa wa kupenda jezi za Zamani na zinatamba sana , viwandani wanazitengeneza kwa material ya kisasa kiasi ambacho zitatoka Bomba sana .
Mfano jezi ya Man U sharp zipo kila kona , Arsenal JVC za njano , Barcelona , Liverpool, Man city nk.
Brazil...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.