zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Zamani tuliamini Albino hawazikwi wanapoteaga kumbe wanatekwa, ni nani aliendesha huo mtandao kwa usiri mkubwa kwa muda mrefu ?

    Hapo zamani kwa miaka mingi tuliaminishwa kwamba Albino hafi anapotea. Kumbe nyuma ya pazia wanatekwa wakihusoshwa zaidi na imani za kishirikina wakiwa kama sehemu za kafara. Ni kwa muda mrefu sana haya yaliendelea, ni nani au kina nani walikuwa waendeshaji wa huu mtandao ?
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa Marekani Donald Trump amefariki?

    Wakuu Hivi mmepita huko X hivi karibuni Duru zinasema kuwa Donald Trump amefariki japo hakuna confirmation kutoka kwenye sources ambazo ni rasmi. Kwanza hajaonekana kwa siku takriban mbili na pia hii weekend yote hana any official meeting au schedule, kitu ambacho sio cha kawaida Lakini...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Spika wa zamani wa Ukraine auwawa kwa kupigwa risasi

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kimataifa/aliyekuwa-spika-bunge-la-ukraine-auawa-kwa-kupigwa-risasi-5173452
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ni nani anayeweza kusamehewa makosa yake ya zamani kwa kuanza kufuata sheria leo??

    Matendo ya zamani yanabaki ni makosa mbele za Mkono wa sheria hata kama ukiamua kuanza kufuata sheria leo. Kwa kusema hivyo kumbe mtu yeyote akiamua kuanza kuishi kwa kufuata sheria leo, makosa aliyoyafanya jana bado yanamhukumu. Ndio maana watu huomba msamaha kwanza ili wapate kusamehewa...
  5. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna taarifa kuwa mfadhili mkuu wa kigogo2014 kwasasa kigogo media katika mtabdao wa x zamani tweeter ni yule mwandamizi wa kundi lile la mtandao.

    Hao watu wamejipanga siku nyingi kuandaa media mbalimbali endapo tu wanapoguswa maslahi yao hushambulia watu kwa kuwapa kashifa mbalimbali. Kwa sasa media hii iliyopo huko x zamani tweeter kazi yake kubwa ni kusifia serikali na yeyote anayeonekana yupo kinyume na serikali hushambuliwa kwa matusi...
  6. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Kwenu Vodacom, mkiwa katika kipindi cha kutimiza miaka 25 tangu muanze kutoa huduma kuna tangazo la zamani naomba mtuonyeshe tena kama kumbukumbu.(TBT

    Habari wadau wa Chitchat Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom inatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania. Vodacom ilianza kutoa huduma zake rasmi tarehe 16/08/2000 kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa. Wakiwa katika mwaka wa shamrashamra hizo mimi nikiwa kama mteja na mdau wao...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini akamatwa kwa madai ya kupokea rushwa na kuingilia Chaguzi

    Mke wa aliyekua rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, amekamatwa baada ya Agosti 12, 2025 usiku mahakama kutoa hati ya kumtia mbaroni kufuatia tuhuma za ufisadi ambazo yeye amezikanusha, kwa mujibu wa mwendesha mashtaka maalum anayeongoza uchunguzi huo. Soma pia: Mke wa Rais wa zamani Korea...
  8. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hiyo Billion kumi 10 ametoa Jumanne kila kitu kinajulikana mchezo wa kumuita Abdallah , Dullah ulianza zamani

    Hiyo Billion 10 imetolewa na Jumanne Kaseja . Hii inaonesha wazi ni namna gani Jumanne Kaseja ameupania huu mchezo .
  9. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Picha za zamani za black and white huwa zinanipa huzuni nikizitazama

    Mara nyingi huwa naishia tu kuziangalia karibia lisaa tu nikitafakari sana 😢. Zinanipa hali fulani ya huzuni sio huzuni na sijawahi elewa ni kwa nini. Hata movies za Charlie chaplin hususani ile amecheza na kijana mdogo hivi ya black and white zinanipa huzuni sana.
  10. MulengaMulenga

    JamiiForums Tanzania Natafuta makanisa ya zamani katika jimbo la Arusha

    Je, kuna makanisa ya zamani au ya kihistoria katika jimbo la Arusha? Nilikuwa najiuliza kwanini katika majimbo mengi nchini Tanzania unakuta makanisa mengi ya zamani na mazuri ya Kanisa Katoliki, lakini katika jimbo la Arusha sijawahi kuona hata moja. Ninaposema makanisa ya zamani...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Chuki za Polepole kwa Samia kuwa rais zilianza zamani baada ya Magufuli kufariki

    Chuki ya Pole pole na genge lake inadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli. Cha kushangaza huyu anayejitambulisha kuwa ni mtetezi wa Katiba hakuwa...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Natamani kuona Nane Nane inakuwa sikukuu ya Wakulima kama zamani

    Y
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa Zamani Sumbawanga Aeshi Hilaly Adaiwa Kugonga Makusudi Gari la Sultan Seif Salehe

    Katika video inayosambaa katika mitandao ya kijamii, inadaiwa ni tukio lililofanywa na mbunge wa Sumbawanga aliyemaliza muda wake na mtia nia pia kupitia CCM, Aeshi Khalfan Hilaly, kwa kugonga makusudi gari la Sultan Seif Salehe.
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwanini MAISHA ya sasa yamepoteza ladha tofauti na zamani

    Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so tasteless. Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have...
  15. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump aamuru manowari za nyuklia kuwekwa tayari baada ya maoni ya rais wa zamani wa Urusi.

    Rais wa Marekani Donald Trump anasema ameamuru manowari mbili za nyuklia "kuwekwa katika maeneo yanayofaa" kujibu matamshi "ya uchochezi" ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev. Trump alisema alitenda hilo "ikiwa tu kauli hizi za kipumbavu na za uchochezi ni zaidi ya hayo. Maneno ni muhimu...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kweli nimekubali "SEX SELLS"

    Matangazo yenye taswira za ngono au binti kujiweka kuvutia matamanio ya ngono lazima yaruke na akili za watu, kuweka attention hapo na hata kuishia kununua bidhaa ambayo imetangazwa. Mara nyingine inatumika kama propaganda ya mamlaka ili kuwapunguzia scrutiny, ili kuwatoa watu katika jambo...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Palestina imeshatambuliwa na mataifa 147 zamani na haijasaidia chochote.Huu utambuzi wa nchi za Ulaya na Canada ni ujanja mwengine basi, wa maangamizi

    Tangu wiki hii kuanza na Ufaransa kutoa tamko la kuja kuitambua Palestina mwezi Septemba imekuwa ni habari kubwa bila sababu. Mataifa mengine matatu ambayo ni UK na Canada nayo yametia nia hiyo muda huo ambao kwa mwendo wa vifo vya njaa wapalestina watakuwa wamebaki wachache sana. Habari hizo...
  18. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Wanawake zamani VS. Wanawake Sasa

    1. Zamani : Mwanamke anakutana na mwanaume kakonda hana mwili, kimoyomoyo " huyu mwanaume hana mtu anayemtunza hadi ana dhoofu afya nipambane niolewe nae nimtunze hadi apendeze" Sasa : Mmmmhmn MUNGU aniepushe na hiki kikombe, mtu kakondeana kama mti wa dawa afu anajiamini kunitongoza, usikute...
  19. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Mpenzi Wako Wa Zamani kaja kukuomba msamaha Utamsamehe?

    Ex wako kaja kuomba radhi juu ya Yale yote aliyokufanyia je utakuwa tayari kumsamehe na kumfungulia ukurasa mpya Ata kama utakuwa umeoa/kuolewa?
  20. haszu

    JamiiForums Tanzania Zamani ilikuonesha mapenzi, unapiga picha unampa mtu anaweka kwenye album, akiiangalia anafurahi. Sasa hivi mnapeana nini?

    Ilikua ukipewa picha na mtu ni zawadi kubwa sana na ushahidi kua huyo mtu ni wako, je sasa hivi mnapeana nini ?
Back
Top Bottom