zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CEO Simba SC: Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi

    "Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi. Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi. Mmeachana, hakutaki, ameshaendelea na maisha mengine, bado...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake walio katika ndoa hukumbuka rafiki zao wa zamani na kutaka kulianzisha?

    Unakuta demu umekua nae mkiwa watoto au kusoma nae mpaka std 7, sometimes mmemaliza nae sekondari. Lakini mmepotezana miaka kibao zaidi ya 20. Akikutana na jamaa zenu anauliza ulipo na kutafuta contacts, akizipata ni usumbufu tupu kutaka game, mbaya zaidi wengi wameolewa na kuzalishwa. Tatizo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ladha ya Mpira wa Miguu ilikuwa zamani ; Sheria zimekuja kuharibu ladha!

    Watu wazima mtakumbuka! Mkutadha wa mpira wa miguu uligunduliwa huko China! Walikuwa wanacheza mpira wenye umbo kama la yai! Hakukuwa na magoli wala jezi kipindi hiko, watu walitambuana kwa ukoo! Kipindi hiko mpira ulichezwa kipindi cha mchana baada ya kula chakula cha mchana! Haukukuwa na...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Masuala ya kigeni Ethiopia auawa na Jeshi

    Jeshi la Ethiopia limetangaza kwamba limemuua waziri wa zamani wa mambo ya nje Seyoum Mesfin, mmoja wa wanachama waanzilishi wa chama Tigray People’s Liberation Front (TPLF). Bw.Seyum, ambaye alihudumu kama waziri wa mambo ya nje wa kutoka mwaka 1991 hadi 2010, aliuawa pamoja na wanachama...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Burnout wimbo uliobamba na kuuza sana miaka ya 80 vijana wa zamani tukutane hapa

    Miaka inaenda sana jamani. Huu wimbo unarudisha kumbukumbu nyuma. Ni burnout ya Sipho 'Hotstix' Mabuse South Africa. Ulitawala sana miaka ya themanini. Watu walikuwa na furaha sana ulipochezwa maredioni licha ya ukandamizaji wa utawa wa makaburu. Huyo mdada wa katikati anayecheza kwa furaha...
  6. ommytk

    JamiiForums Tanzania Walevi wa siku hizi wastaarabu kuliko zamani

    Wadau, Aisee naona walevi wa siku hizi wamestaarabika kuliko wa zamani aisee sijui walevi wa zamani walikuwa wanatumia vilevi gani, yaani Siku kama ya leo mtaaani ni vurugu mpaka wazee wanapigana. Wengine wameangusha magari. Siku hizi hakuna kabisa hayo, sijui pombe za zamani zilikuwa kali...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Zamani nilikuwa nikihisi kuwapa vijana nyadhifa za juu kutasukuma maendeleo kwa kasi, kumbe nilijidanganya

    Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi. Lakini mpaka sasaivi nikiangalia mifano ya hawa vijana waliopo naona...
  8. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kugawa mali/vitu vyako vya zamani kwa ndugu, jamaa au rafiki?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; UTANGULIZI ===== Ndugu zangu, umasikini ni kitu kibaya sana. Umasikini unakatisha uhai wa watu wengi wangali wadogo sana kwa sababu tu wameshindwa kumudu gharama za matibabu. Umasikini ndio chanzo cha...
  9. Wakuacha

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina mkosi wapenzi wangu wa zamani wote wameolewa

    Habari zenu wakuu, Kiukweli mi nakosa raha kabisa nashindwa kuelewa yaani wapenzi wangu wote ambao nimeshawahi kuwa nao wote wameolewa. Sina X hata mmoja ambaye yuko single na wanaolewa kwa ndoa na sherehe kubwa, nipo nawaza sijui na mkosi gani mimi. Huu ni mkosi gani au lifanyio langu huwa...
Back
Top Bottom