Siku hizi bongo naona watu wengi wameingiwa ugonjwa wa kupenda jezi za Zamani na zinatamba sana , viwandani wanazitengeneza kwa material ya kisasa kiasi ambacho zitatoka Bomba sana .
Mfano jezi ya Man U sharp zipo kila kona , Arsenal JVC za njano , Barcelona , Liverpool, Man city nk.
Brazil...
Miaka ya nyuma watu wengi walikuwa wajashtuka kuwa hiki chama kilianza michezo ya uhalifu tokea zamani.
Kipindi cha kampeni kulikuwa kuna matokeo ya fujo na kuweka hofu watu wasiende kwenye mikutano ya vyama pinzani.
Ilikuwa hivi CCM ilikuwa ikiandaa vijana wenye silahaa za kawaida na...
Kwa haya matukio na wakizidi kutawala kwa mkono wa chuma.
Najaribu kuwaza kwa jinsi wanavyofanya matendo ya ovyo wakijichia jina la AMANI.
Kibaya zaidi hawa somi alama za nyakati kuwa vipofu wanaokula nao wamewashika kwenye steji ngumu na watakuja kutoa maamuzi hatari.
Jeshi la Polisi lingependa kueleza kuwa, kuna hii picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza.
Hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo kama kuna ambao...
Huyo aliyesema kuwa ikulu ilikuwa madrassa zamani mara baada ya kujengwa na wajerumani. Kama waingereza walitumia kuwapo watu kufundishia watoto "Ilim Duniya na Ilim Akhera" kuna shida gani? Hiyo ni historia ya nchi yetu....Siyo jambo la ajabu! Waingereza waliitoa nyumba ya Governor kufundishia...
Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!.
NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
Tatizo kubwa ambalo linatajwa na wachambuzi wengi ni kwamba baadhi ya viongozi wa CCM bado wanafikiria kuwa siasa ya leo ni sawa na siasa ya miaka ya zamani—wakati taarifa ilikuwa haba, mitandao haikuwepo, na vijana hawakuwa wengi kwenye maamuzi.
Leo dunia imebadilika:
Vijana wana uelewa...
Mzee huyu ni marehemu. Alifanya kazi na mwalimu Nyerere.
Alisema kila suala linalohusu kiongozi ni special branch. Ilikuwa ikimpatia rais taarifa za mtu yoyote anayefaa kuwa kiongozi.
Leo hii hakuna special branch. Kuna Tiss. Sidhani kama wanafanya kama enzi za Nyerere.
Wangekuwa wanafanya...
Tundu Lissu utata aliuanza tangu zamani akiwa Shuleni, tujitahidi kumvumilia, ni mtu anayejikuta ameumbwa hivyo
Yeye mwenyewe haelewi kwanini yuko hivyo kwasababu ni mambo ya uumbaji
Watu wa aina hii tunao katika familia zetu hata katika ndoa zao basi wapenzi wao wanapata tabu sana kila wakati...
Zamani bongo ukinunua vyakula kwa jumla kwa nia ya kubana matumizi watu wanashangaa na kukuuliza unanunua vyote hivyo kwani Tanzania kuna vita?
Baada ya tarehe 29October mambo yamebadilika sana na hasa sasa hivi tunapoelekea 9D watu watanunua na kuhifadhi vyakula kwa wingi na jumla hasa Unga...
Katika kongamano la African Renaissance lililofanyika Lukenya University nchini Kenya, Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama, alitoa kauli yenye mguso akisema “hamtambui Rais Samia Suluhu Hassan kama kiongozi halali wa Tanzania.” Alieleza kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 ulitawaliwa na vitisho, vifo...
Wadau habari.
Muziki wa hiphop wa sasa umebadilika sana.Lakini kwa sisi wenye kumbukumbu za zamani hebu tukumbushane.
1.Je unaikumbuka ngoma ya kwanza Unit aliimba Bugz Malone na D Rob.Bug alikuwa anachana kiingereza alafu D akapoga chorus ya Kiswahili iliyokuwa inaenda "kama hujui...
KAANDIKA: INFORMATION SMOKE SCREEN, hivyo
Baada ya kuingia CHATGPT...Nikapata tafakuri ya maneno hapo chini
Neno “information smoke screen” linamaanisha:
👉 “pazia la moshi la taarifa” au “upotoshaji wa taarifa” kwa Kiswahili.
Ni mbinu ya kuficha ukweli kwa kutoa taarifa nyingi za kupotosha...
Wana JF,
Kuna jambo linanitesa kichwani siku hizi: mapambano yasiyo rasmi kati ya kizazi cha zamani cha wanasiasa na kizazi kipya.
Tukiri ukweli:
Kizazi cha zamani cha wanasiasa (waliobeba urithi wa siasa za chama kimoja, mapinduzi, na siasa za ujamaa) kimejikita kwenye mfumo wa heshima...
Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amezuiliwa chini ya 'Sheria ya Ugaidi' leo, kwa klipu aliyoirusha hewani saa chache kabla kwenye chaneli yake ya YouTube ambapo alisema:
"Israeli itafutwa kabla ya Palestina kuwa, na kama unavyojua, ni matakwa yangu na matumaini yangu."wachochezi...
Kwa wale tuliozaliwa na kukulia Arusha na Manyara lazima wengi wetu tunaijua au kuisikia shule ya msingi Manyara Ranch ilivyokuwa enzi hizo. Miaka ya 90 nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi hiyo shule ilikuwa kama vile shule maalum ya watoto watukutu... ikumbukwe shule ilikuwa porini makuyuni...
Hii benki ilikimbia na pesa za watu kadhaa...vikiwemo vijisenti vyangu....
Nikaomba ushauri kqa mwanasheria fefenge kwamba tuishtaki benki kuu kwa manake wao ndio the last resort...
Yule mwanaaheria akaniambia achana na hayo mambo kwamba Mungu atanilupa.
Alisema haya baada ya kupata uhakika...
Wakuu kwema…
Tuwape elimu ndogo vijana wa sasa kuhusu namna baadhi ya huduma zamani ilibidi upange foleni kwa kufika ofisi husika ili uhudumiwe.
1. Luku
Ili upate huduma ya kununua umeme (luku) ilikuwa lazma ufike kwenye ofisi za Tanesco. Baadae wakaongeza huduma kwenye baadhi ya vituo vya...
Hii vita ya Russia vs Ukraine kuna muda hata siipatii majibu. Urusi alikuwa na makoloni mengi chini ya mwavuli wa Sovieti ikiwemo czech, Belarus, Slovenia na Ukraine ikiwemo n.k . Sasa imekuwaje hata baada ya Muungano huo kuvunjika na kila nchi kuwa huru ila bado mrusi anaitamani tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.