zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. min -me

    JamiiForums Tanzania Members wa zamani wanakamsemo kao kakuona JF forum imepoteza mvuto

    Members wa zamani wanakamsemo kao kakuona JF forum imepoteza mvuto ,kwa mada zilizopo sasa🤣🤣 Hahaha ngoja nifurahi kidogo nikishushia na funda la bia😅. Nimekuwepo humu toka 2012, kwa mara yangu ya kwanza , ila nakuta members wa 2015 ana laumu mchango wa JF wa gen z😅. Tofauti na...
  2. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Kwa Kariakoo ni duka gani naweza kupata jezi za zamani za clubs?

    Wakuu mambo niaje? Kwa hapa Kariakoo ni duka gani naweza kupata jezi za zamani za clubs za Uingereza kama hizi?
  3. baharia 1

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Uongozi/Tech Team: Rudisheni au Wekeni Hiari ya Kutumia App ya Zamani (Legacy API

    Habari zenu Wana Jukwaa na Uongozi wa JamiiForums, Tech Team Mimi ni mmoja wa wadau na watumiaji wa muda mrefu wa jukwaa hili. Lengo la kuleta uzi huu ni kutoa ombi rasmi na rejesho (feedback) kuhusu mabadiliko ya hivi karibuni kwenye mfumo wa App ya JamiiForums. Kwa siku chache zilizopita...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa mkusanyiko wa vitabu vya zamani

    Wadau nimeona nianzishe uzi kwaajili ya kumbukumbu zetu. Sisi tuliosoma miongo mitatu iliyopita mtakumbuka baadhi ya vitabu ambavyo vilikuwa na masimulizi ya kuvutia yaliyobeba ujumbe kwaajili ya kuibadilisha jamii. Binafsi nilipenda kusoma kitabu cha darasa la 4 kilichojaa hadithi za...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mcongoman na Kiungo wa Zamani wa Yanga Tonnombe Mukoko atapeliwa nyumba na mkewe mbongo

    Tonnombe Mukoko aliyewahi kukipiga na Yanga atapeliwa nyumba na mkewe mrembo wa kibongo ajulikanae kwa jina la Trish. Tonnombe Mukoko alimuoa huyo dada pisi Kali kipindi anacheza Yanga na ndoa yao ilifungwa Congo. Kiungo huyo alipokea offer ya kucheza Libya iliyomfanya awe mbali na mkewe...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kiungo wa zamani wa Yanga Tonnombe Mukoko atapeliwa nyumba na mwanamke wa kibongo

    Kiungo wa zamani wa Yanga kutoka Taifa la Congo Tonnombe Mukoko aliyekipiga Yanga kwa mafanikio makubwa atapeliwa nyumba na mkewe pisi Kali ambaye ni mbongo aitwae kwa Jina la Trish ambapo ndoa yao ilifungwa Congo. Akiongea na channel maarufu ya mambo ya umbea Mai Tv afunguka mengi Alisema...
  7. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

    Mimi nilipoteza ubikira wangu kwa kahaba... Inasikitisha sana lakini ndo ukweli wenyewe. Nakumbuka kipindi hicho tulipokuwa shule ya sekondari. Ikifika mida ya saa mbili usiku rafiki yangu mkubwa Ngaluli alikuwa akinichukua na kunipeleka sehemu ambayo makahaba huwa wanajiuza. Alikuwa ananipa...
  8. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Afrika, Tanzania tunahitaji watawala wa aina gani? - machifu na wafalme kama zamani ama (wanasiasa) maraisi na mawaziri kama siku hizi

    Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
  9. U

    JamiiForums Tanzania BILL CLINTON Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi lakini hawakutaka kuwa na nchi yao bali kuua Wayahudi!

    RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON ADAI KUWA Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi wa mto Jordani (West Bank) lakini kiuhalisia Wapalestina hawakutaka kabisa kuwa na nchi yao wenyewe bali walichokitaka ni kuendelea kuua wayahudi
  10. bahati93

    JamiiForums Tanzania Zamani raha hiace Tsh. 3800

    tuwahi kununua magari tusije shangaa passo bila mil 100 hupati.
  11. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi wasanii wa zamani wanawake hawapo?

    Nimeona wanaoenda mikoani ni wanaume tu ila wanawake kama Jide, RC, Ruby, Maua Sama, Zuhura mrisho wote siwaoni. Au mfumo dume? Sikilizeni hizi hapa https://open.spotify.com/track/5OZFKa8fuMNnyHwBnJIHAO?si=MBE-c6prR1WyKwXG3Z861Q&utm_source=copy-link...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mitume wa zamani ni Wayahudi, Wazungu na Muarabu mmoja tu?

  13. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hapo zamani za kale.........

    Hapo zamani za kale palikuwa na kijiji kimoja kizuri sanaa. Kijiji hicho kilikuwa na vitu vizuri kama dhahabu, gesi, maji safi na na mali nyingi msituni. Basi kiongozi mmoja mzalendo akapewa kazi ya kuongoza jahazi. Wakaenda vizuri kumbuka kabla ya hapo waliongozwa na watu kutoka katika...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad ana Mawasiliano na Mossad ya Israel!!

    HABARI MPYA: Mossad ilijaribu kumgeuza mmoja wa maadui wakubwa wa Israeli kuwa mali yake kubwa zaidi. Kulingana na New York Times, Israeli ilitumia miaka mingi kujaribu kumsajili Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad kama mali ya kijasusi, ikiwa na mpango wa kusaidia kuangusha utawala wa...
  15. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Zamani: Hii cable ya kihindi ilitaka kuuwa mtu

    Nimepita mitandaoni huko nikaona hii Cable ya umeme , nikakumbuka miaka ya 2000. Kuna siku nilitoa hii Cable kwa nje nikachomeka mashine ya kunyolea. Sasa wakati nasubiri katokea mtoto wa jirani na msumari wa nchi 6. (Misumari tulikuwa tunatumia kucheza mchezo unaitwa domeka) Mnachora jedwali...
  16. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Binti wa zamani

    Toka nimeingia humu sikuwahi kufikiria nitapenda mtu, sikuwahi kufikiria Nitakuwa drawn kwa ID ya mtu maana nilikuwa najua maandishi haya reflect physical beauty... Kumbe I was wrong, sikujua how maandishi ya mtu hurelfect maisha halisi ya mtu husika hasa subconsciously... Ndipo nilipo kuja...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Amesikika mtu akisema "tuliona wengi wa polisi wetu wana vitambi ikabidi tuwabadilishie uniform, zile za zamani zilionyesha sana vitambi vyao"

    Nimecheka sana, baada ya kusikia sababu za polisi kubadilishiwa uniform toka zile za zamani. Kumbe sababu ilikuwa kuficha vitambi! Hizi za sasa mashati sio yale ya kuchomekea, na hivyo kutoonyesha vitambi vyao. Huu ni ubunifu mzuri sana wa serikali. Funika kombe.
  18. Ramsy Dalai Lama

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Kumbukumbu: Wazee wa miaka ya 70, 80, na 90 tukutane hapa kushusha picha za vitu vyetu vya zamani na ku share story ya vitu hivi

    Habari za muda huu wana-JamiiForums, Kuna wakati unakaa na kutafakari jinsi maisha yalivyobadilika kwa kasi sana hasa kwa sisi tuliobahatika kuzaliwa na kukulia katika miaka ya 1970, 1980, na 1990. Utoto wetu ulikuwa wa kipekee na ulitengenezwa na vitu rahisi sana lakini vyenye thamani kubwa...
  19. Street brain

    JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini now days hauwezi kuokota pesa kama zamani

    Mifaano batiri, uwezi okota pesa Kwa miaka yetu hii, nasababu sa7 za kuerezea, mwaka 1760 BARTER: ilikuwa Biashara ya mabadilishano example unang'ombe lakini unahitaji mahindi mnakubaliana mnabadilishana, (2) mwaka 1860 GOLD: wakagundua dhahabu wakawa wanaieyusha Na kutengeneza mapambo mbali...
  20. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi?

    Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima. Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi…
Back
Top Bottom