Maisha hayawezi kuwa kama zamani

Maisha hayawezi kuwa kama zamani

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,671
Reaction score
5,476
Kwa mauwaji yale. Tanzania haiwszi kuwa kama zamani.

Ushauri wangu kwa wale Lumumba Buku 7, acheni kupoteza muda wenu.

Huwezi kuua watu namna ile halafu ukadhani maisha yataendelea tu kama kawaida. Haiwezekani.
 
Maisha yanaendelea kama kawaida na siku zote maisha hayawezi kuwa kama zamani maisha ya leo siyo ya mwaka 2010.

Cha muhimu ni kuwa amani ya nchi hii italindwa kwa gharama yoyote zikitokea nyumbu hata laki 1 zikataka kuondoa amani na kuleta machafuko zitapigwa risasi zote.

Hakuna huruma kwa wahalifu.
 
Operamini ---Id Mbili.
Google-- ID Saba.
Uc Browser --- ID kumi.
Explorer --- ID Tano.
Wanakuja na utawaona live mamamake.
 
Maisha yanaendelea kama kawaida na siku zote maisha hayawezi kuwa kama zamani maisha ya leo siyo ya mwaka 2010.

Cha muhimu ni kuwa amani ya nchi hii italindwa kwa gharama yoyote zikitokea nyumbu hata laki 1 zikataka kuondoa amani na kuleta machafuko zitapigwa risasi zote.

Hakuna huruma kwa wahalifu.
mmmmh ,Dunia hadaa ulimwengu shujaa

Usimdharau Mamba kabla hujavuka mto

Ni vyema tukatoa kauli nzuri kwani hujui kesho yako

Jifunze kwa wagonjwa ambao nao walikuwa wanapiga kelele kama wewe leo wapo hoi kitandani hawakumbuki risasi bali wanatamani tu kuliona jua nje

Maisha ni fumbo kuna ajali,inaweza kukufanya ukae kwenye wheelchair maisha na ndugu wakakuchoka kukupeleka choo kila wakati

Mkuu ,Hapa JF kuna watu walikuwa kama wewe leo wapo chali hata hawana nguvu za kuandika kwani mikono haiwezi tena
 
Ngoja kuna majitu ya maccm yamefunguliwa ofs lumumba yatavamia huu uzi na kashfa kama zote jtu 1 lina id 20 yanalipwa per day kila jukwaa yapo na yanakuwa ya kwanza kujbu hayana kaz nyngn zaid ya hii, yapo pale lumumba yamepewa zle tablet fake walizogawiwa walimu si waliahidiwa laptop at last wakagawiwa tablet tena fake ndzo na hayo majtu yalizogawiwa yanakuja sasa.
 
Kwa mauwaji yale. Tanzania haiwszi kuwa kama zamani.

Ushauri wangu kwa wale Lumumba Buku 7, acheni kupoteza muda wenu.

Huwezi kuua watu namna ile halafu ukadhani maisha yataendelea tu kama kawaida. Haiwezekani.
wanaishi kwa kujificha kama digidigi kwenye mitandao wanajifariji ....damu italipwa kwa damu hata kama ni miaka 1000
 
Kwa mauwaji yale. Tanzania haiwszi kuwa kama zamani.

Ushauri wangu kwa wale Lumumba Buku 7, acheni kupoteza muda wenu.

Huwezi kuua watu namna ile halafu ukadhani maisha yataendelea tu kama kawaida. Haiwezekani.
1766440212718.jpg
 
Maisha yataendelea kama kawaida na panyaroad yyte akichomoza tu ataona 🔥 wakanyen ndugu zenu Tanzania si nchi ya vurugu
 
Back
Top Bottom