zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. Championship

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kukopi maandiko yaliyopo zaidi ya miaka 600 na kusema ni mafunuo yako mapya

    Kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana pale unapoona mtu anaweza kupata wafuasi wengi kwa kuwaeleza kwamba amekuja kwa kutumwa. Mtu huyo anakusanya yaliyoandikwa kwenye vitabu vilivyopo mjini halafu anakaa mahali anavikariri na kuongezea vichache kisha anasema hivi vyote ni vipya vimeshushwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Urusi imewaua wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 560 walipojaribu kuishambulia Kherson

    Aisee, hii ni kufuru sasa! Majeshi ya Ukraine yamejaribu kushambulia majeshi ya Urusi huko Kherson, matokeo yake Zelensky kapoteza wanajeshi zaidi ya 560, vifaru 26, armoured vehicles 32 na ndege mbili aina ya Su-25. =====
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mafuriko yaigharimu Pakistan zaidi ya Tsh. Trilioni 23

    Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mipango, #AhsanIqbal inasema makadirio ya awali yanaonesha mafuriko makubwa yaliyoikumba nchi hiyo, yamesababisha uharibifu wa karibu Tsh. Trilioni 23. Tayari Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetoa msaada wa Tsh. Trilioni 2.5 kwaajili ya kukabiliana na...
  4. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania BRELA mnatia aibu; kusajili jina la kampuni zaidi ya wiki mbili?

    Inasikitisha, zamani kusajili jina la biashara ilikuwa ni siku tatu za kazi lakini sasa hali imekuwa mbaya sana. Biashara majina yanachukua zaidi ya mwezi mmoja.
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 10 wauawa Mashariki mwa DR Congo

    Machafuko mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu kumi katika siku tatu, vyanzo vya kijeshi na vya eneo hilo vimesema Jumapili. Zaidi ya makundi ya wanamgambo 120 yamesambaa mashariki mwa DRC, na kuna mashambulizi ya mara kwa mara dhidi ya raia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapungufu ya mfumo wa Elimu ya Tanzania yalivyonifanya niteseke kwa zaidi ya miaka 7

    Inawezekana ikawa mfumo wa elimu Tanzania ni mzuri kwa wengine Ila kwangu mimi mfumo huu unamapungufu mengi Na ulinifanya niteseke kwa miaka 7 nikitafuta maisha. Nitasimulia Hadithi ya maisha yangu . Mimi nimezaliwa mkoa wa Kagera ,wilaya Ya Bukoba vijijini.Nimesoma Elimu ya msingi mwaka...
  7. Content

    JamiiForums Tanzania SoC02 TEHAMA ina athari hasi katika Jamii zaidi ya tunavyofikiri. Je, nini kifanyike?

    Tunapozungumzia maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na intanet bila shaka hutaacha kuzungumzia jukwaa linalotoa fursa za ajira, kujuajiri (yaani kuuza bidhaa au huduma kupitia internet), kurahisisha mawasiliano katika jamii zetu pamoja na kurahisisha upatikanaji wa taarifa...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani: Vanessa Bryant kulipwa zaidi ya Bilioni 37 na waliosambaza picha za ajali ya Mumewe

    Mahakama imeamuru Mjane wa Kobe Bryant kulipwa Tsh. 37,312,000,000 sawa na Dola za Marekani Milioni 16 baada ya kuthibitisha kuwa Maafisa wa Polisi na wa Zimamoto wa Kaunti ya Los Angeles walisambaza picha mbaya za ajali za nyota huyo wa NBA, na binti yake, pamoja na wahanga wengine katika...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Marekani kurudisha zaidi ya Tsh. Bilioni 53 zilizochukuliwa na Sani Abacha

    Zaidi ya Tsh. Bilioni 53 zilizochukuliwa na mtawala wa zamani wa kijeshi Sani Abacha, zitakabidhiwa kwa serikali ya Nigeria baada ya nchi hizo mbili kutia saini makubaliano. Balozi wa Marekani nchini humo, Mary Beth Leonard alisema pesa hizo zilikuwa kwenye akaunti za Uingereza lakini...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya kunitia ndani, kunipiga na kunitesa. Je, mwanasiasa aliye madarakani ana kipi kingine cha kunifanya?

    Wanasiasa mliopo madarakani msitutishe, kwani zaidi ya kunitesa, kunipiga na kunitia ndani huna kingine cha kunifanya. Ukishayafanya hayo nikirudi uraini nitakuwa Nitshill zaidi kwako na kwa wanao. Msitafute balaa kwenu ninyi binafsi na kwa vizazi vyenu kisa tu ulevi wa madaraka
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Marekani nchi tajiri ,lakini sensa yao inasema kuna masikini milioni 48!

    Marekani ni nchi tajiri na yenye maguvu. Lakini sensa yao iliyoendeshwa na Idara ya Cencus Bureu(kama sensa yetu) imeonyesha kuwa hii nchi ya watu karibia milioni 330, ina watu masikini kabisa kufikia milioni 48. Na kwa Marekani ukiwa masikini basi heri ya Tanzania. Masikini wa Marekani...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kupaa kwa gharama za maisha Uingereza 🇬🇧 🇬🇧 kwawasukuma wanawake wa UK 🇬🇧 🇬🇧 kufanya biashara ya ukahaba ili kupata kula yao

    Idadi ya wanawake wanaojiuza nchini Uingereza imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 30% kutokana na athari za matokeo ya Urusi kupunguza/kukata gesi yake na mafuta yake kwenda nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza. Wanawake hao wanasema wamelazimika kuingia kwenye kuuza nyeti zao kutokana na mfumuko wa...
  13. Paa

    JamiiForums Tanzania 😡 Ndani ya siku tatu nimekatwa zaidi ya 20,000 kwenye account ya NMB kama government levy. Tuamke, tunaibiwa

    Roho inaniuma sana, juzi nilichukua statement nikauta wamekata 11,000 kama government levy Baadaye nikapita JF nikakuta taarifa kua kuna tozo ya miamala ya kibenki tangu july Jana, nime withdraw kiasi cha pesa, then leo kupitia statement fupi nimegundua kuna 10,010 imekatwa tena kama...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu laki 8 hawajarudi kupata chanjo kamili ya COVID-19

    Takwimu za Wizara ya Afya zimeonesha kuwa watu 449,416 sawa na 26% ya watu milioni 1.71 waliotakiwa kurudi Julai 31,2022 kwa ajili ya dozi ya Pfizer hawakurudi, huku wengine 416,869 sawa na 24% waliotakiwa kurudia dozi ya pili ya Pfizer Agosti 14, 2022 hawakurudi Taarifa hiyo pia imeonesha...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Zaidi ya watu milioni 9.6 waliohamishwa katika maeneo maskini waanza maisha mapya

    INTRO: Katika vita dhidi ya umaskini, jumla ya watu maskini milioni 98.99 nchini China wameondolewa kwenye umaskini uliokithiri. Miongoni mwao, zaidi ya watu milioni 9.6 wameondolewa kwenye umaskini kupitia kuhamishwa kwenye maeneo maskini na kupelekwa maeneo yenye huduma zote. Utaratibu huu wa...
  16. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei adai kupata hasara ya zaidi ya Tsh Milioni 300 Jezi za Simba

    WAKATI wanachama na mashabiki wa Simba wakianza kusahau machungu ya pilikapilika za kugombea jezi mpya za klabu hiyo, mwenye dili na uzi za Simba, Fred Ngajiro ‘Vunjabei, amevunja ukimya na kufichua hasara ya kupoteza Dola 150,000 (zaidi ya Sh349 milioni). Vunjabei alisema hasara hiyo imetokana...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Tai 100 wafa kwa kudaiwa kula mzoga wenye sumu Afrika Kusini

    Walinzi waliokuwa kwenye doria katika Hifadhi ya Wanyamapori ya Kruger, wameripoti kugundua mzoga wa nyati, ambaye alionekana kuwekewa sumu, baada ya hapo walikuta Tai 100 na Fisi mmoja waliokufa kwa kuhisiwa kula mzoga huo Tai wengine 20 waligunduliwa katika eneo la tukio wakiwa katika hali...
  18. FourTwoNet

    JamiiForums Tanzania Kama huwezi kudeal na wanawake zaidi ya mmoja, pambana na huyo huyo!

    Wakuu!!! Akyanani...ata salamu haiji, naenda straight kwenye format ya leo. Kama unataka anzisha familia ya wife zaidi ya mmoja....wanaume naomba jamani kama wewe ni ule ukipewa kachumbari na mwanamke utie muhogo afu unapoteza fahamu za kiume....yani unasimp....unakuwa tena huna maamuzi na kila...
  19. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania

    Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania. Kuna ukweli hapa?
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Zaidi ya Waangalizi 18,000 kufuatilia Uchaguzi Mkuu Kenya

    Zaidi ya waangalizi 18,000 na mamia ya waandishi wa habari wa kimataifa wamewasili Nchini Kenya kufuatilia Uchaguzi huo, idadi hiyo imetajwa kama kiashiria cha namna Uchaguzi huo unavyotazamwa Duniani kote - Uchaguzi huo una wagombea 16,098, wanne wakiwania kiti cha Urais na idadi inayobaki...
Back
Top Bottom