zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi watumishi wa umma kumiliki simu mbili au zaidi kila moja ikiwa na thamani ya zaidi ya milion mbili?

    Mishahara ya watumishi wa Umma nimikubwa kiasi gani? Unatembelea ofisini kwa mtu unamiuta anasimu tatu smartphone zenye thamani ya si chini ya milioni mbili kila moja, unajiuliza haya mafedha wanayatoa wapi? Je, huu ni utajiri au nikukosa elimu ya matumizi za fedha? Inaweza kuwa tunashangaa V8...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Gari la zaidi ya milioni 400, na chaguzi za marudio zilizotokana na watu kuunga mkono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

    Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi? Jimbo...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mathayo Torongei anashikiliwa na Polisi kwa zaidi ya siku 7 bila kupelekwa Mahakamani, kinyume cha sheria

    Hii ndio taarifa iliyozagaa Mkoani Pwani baada ya Jeshi la Polisi Mkoani humo kumkamata kwa style ya kumteka Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mh Mathayo Torongei na kumnyima dhamana kwa zaidi ya siku 7 na kugoma kumpeleka Mahakamani , jambo ambalo ni kinyume cha sheria za nchi . Mpaka...
  4. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe huenda tukaona mengi zaidi ya Viti Maalum

    Katika pita pita zangu nikakutana na hii kauli ya Mbowe ambayo inachukuliwa kawaida sana ila ina kufikirisha ndani yake, huenda ikatoa majibu mengi kuhusu swala la Viti Maalum.
  5. mama D

    JamiiForums Tanzania Aliyekufa na kuzikwa zaidi ya miaka 20 iliyopita apatikana ila hawezi kuongea

    Nimekutana na hii habari. Mimi bado nina maswali mengi ===== Kijana aliyefariki tangu mwaka 1994 amepatikana na kukukutana tena na familia yake Mama yake amemtambua na kujiridhisha kuwa ni mwanaye baada ya kutambua baadhi ya maeneo ya mwili wake Kijana huyo hana uwezo wa kuzungumza kwa sasa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Modern Slavery watu zaidi ya milioni 40 ni wahanga

    Modern Slavery ambayo inajumuisha Forced Labour na Cheap labour. Umoja wa Mataifa (UN) umeandika katika ukurasa wake kuwa suala la utumwa sio suala la historia kwa kuwa utumwa unaendelea hadi sasa. Kwa takwimu walizotoa watu zaidi ya milioni 40 ni wahanga wa utumwa wa kisasa ambapo pia mtoto...
  7. masara

    JamiiForums Tanzania Vodacom(mitandao ya simu) wekani uchaguzi wa mteja kutumia mastervcard ipi kama kasajili zaidi ya moja

    za mda huu wadau, mimi ombi langu ni kwa mtandao wa voda pamoja na mitandao mingine ya simu, kwa sehemu yangu ninafurahia huduma ya mastercard zenu ila tatizo ni pale mtu anapokuwa amesajili mastercard zaidi ya moja kwenye laini ya simu moja lakini pale anapotaka kutumia card fulani hakuna...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe ndiye kiongozi pekee wa upinzani ambaye wabunge wake zaidi ya 20% walihamia CCM

    Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM. Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa. Hapo CHADEMA kuna biashara gani. Morrison funga hao Nigeria. Maendeleo hayana...
  9. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma meseji yenye maneno mengi (I.E zaidi ya 200) kwenye SMS App yangu

    Habari wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi au kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya hivyo ningependa tujuzane. Lengo langu ni niweze kutuma simulizi kwenye app ya ujumbe mfupi na sio...
  10. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma meseji yenye maneno mengi (ie. zaidi ya 200) kwenye SMS app yangu?

    Habarini wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi, hata kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya hivyo, naomba tujuzane manake nataka niwe natuma simulizi kwenye app ya ujumbe mfupi na sio...
  11. joto la jiwe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Waliokufa kwa maandamano waongezeka, Jeshi latoa tamko

    Idadi ya watu waliopoteza maisha katika maandamano na vurugu nchini Uganda wanaodai Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine aachiwe huru imeongezeka na kufikia 37, kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi nchini humo. Polisi walimkamata Bobi Wine Jumatano wiki hii katika mji wa Luuka...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Total yazidi kufanya mambo kwa ajili ya Watanzania! Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja; mteja ni mshirika

    Wanabodi, Mimi ni mdau wa Total, na haya ni mambo ya Total Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, akizungumza katika hafla ya kuzindua wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi...
  13. The Monk

    JamiiForums Tanzania Hamza Bendelladj "the smilling hacker"

    Mshukiwa mmoja wa udakuzi wa komputa ambaye anasakwa na idara ya ujasusi nchini Marekani, FBI, kuhusiana na madai ya kuiba mamilioni ya madola kutoka benki za Marekani, ili kufadhili maisha ya anasa, amekamatwa mjini Bangkok Thailand. Hamza Bendelladj baada ya kukamatwa na polisi mjini...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Sweden yapiga marufuku mikusanyiko yenye watu zaidi ya 8. Wananchi watakiwa kuacha kufanya sherehe na kwenda Gym

    The Swedish government on Monday moved to cut the size of public gatherings sharply as it sought to come to grips with a second wave of the pandemic that has seen record daily numbers of new cases and growing pressure on hospitals. Swedes are not sticking to coronavirus recommendations as well...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Unganeni kukikataa kikundi hiki kabla hakijakomaa zaidi ya hapa na kuwa kikundi cha hatari zaidi

    Huu sasa ndio muelekeo kwenye Taifa moja katika Bara fulani ambako kuna chama fulani cha siasa sasa kimebaki chama siasa jina tu, ila kiuhalisia chama hicho kimegeuka kikundi cha watu wachache kilichokamata serikali (dola) katika nchi hiyo, na kinaweza fanya lolote pasipo hofu utadhani nchi hiyo...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi ya kufaulu kimasomo tu

    Jinho Kim(PhD), Profesa Msaidizi katika Idara ya Sera ya Afya na Usimamizi Chuo Kikuu cha Korea anasema, kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi ya kufaulu kimasomo tu Utafiti ulihusisha washiriki karibu 20,000 (3,400 kati yao walihusisha...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanachama wa CHADEMA zaidi ya 350 wanashikiliwa Magerezani na kwenye vituo vya Polisi nchini Tanzania kwa sababu za Uchaguzi wa 2020

    Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi . Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa...
  18. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya 23 wafariki ndani ya saa 24 kwa Corona, Jumla ya waliokufa ni zaidi ya 1,200

    Poleni sana majirani, ila hii Corona imewaonyesha uwezo wenu na udhahifu wenu kama nchi katika kukabiliana na majanga, sasa ninadhani kwa wakenya wengi wanajua kwamba kwa kipindi kirefu walikua wanadanganywa na viongozi wao kuhusu uwezo wa Kenya ukilinganisha na majirani wake.
  19. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Nataka niamini kuwa wapo viongozi wa dini ndio wanashiriki zaidi kumshauri Mukulu zaidi ya 75%

    Habari za saa wajumbe wangu, Kuna ndoto ambayo nimeona na nikaamka usiku wa kuamkia jana kwamba viongozi wetu wa dini hasa hasa jamaa zetu wa Rome wanashiriki kumshauri mzee zaidi ya 75%. Si vibaya kupewa ushauri wa kiroho kutiwa moyo namna ya kuwahudumia watu wako, lakini je kuna ukweli na...
  20. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu alikuja CHADEMA ikiwa na wabunge zaidi ya 50, anaondoka, ikiwa na Mbunge 1

    CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu. Baada tu ya kuwaaminisha, kelele zikawa kila...
Back
Top Bottom