yapigwa kalenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Kesi ya Diwani wa CCM Handeni yapigwa kalenda

    Kesi ya Diwani wa Chanika wilayani Handeni, Tanga, Abdallah Chihumpu imeshindwa kuendelea baada ya hakimu anayeisikiliza kutokuwepo mahakamani. Diwani huyo anashitakiwa kwa kosa la kumdhalilisha mfanyabiashara, Stanley Lyakundi kuwa ameiba eneo la wazi la Shule ya Msingi Chanika. Shauri hilo...
  2. Suley2019

    Rufaa ya Pauline Gekul (Mbunge Babati Mjini) yapigwa kalenda

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara, imeahirisha rufaa ya jinai iliyokatwa na Hashim Ally dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul baada ya mjibu rufaa huyo kutopewa wito wa kuitwa mahakamani. Leo Jumatatu Machi 18,2024 Mahakama hiyo ilipanga kusikiliza rufaa hiyo namba 577/2024...
  3. BARD AI

    Kesi ya Makonda, Le Mutuz kupora Range Rover yapigwa kalenda

    Kesi ya tuhuma za uporaji wa gari aina ya Range Rover, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda na mmiliki wa blogu ya Lemutuz, William Malecela imepangwa kutajwa Desemba 8, 2022. Ni baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate kuwa kwenye majukumu mengine ya kikazi...
  4. JanguKamaJangu

    Shahidi kesi ya ‘Mfalme Zumaridi’ augua mahakamani, kesi yapigwa kalenda

    Kesi inayomkabili Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi na wenzake 83 imeshindwa kuendelea baada ya shahidi wa upande wa Jamhuri ambaye ni askari wa Jeshi la Polisi, Sajenti Evodius kuugua muda mfupi kabla ya kuanza kutoa ushahidi wake. Katika kesi hiyo ya jinai namba 12/2022 Mfalme Zumaridi na...
  5. JanguKamaJangu

    Kesi nyingine ya ‘Mfalme Zumaridi’ na wenzake 84 yapigwa kalenda hadi Mei 24, 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imeahirisha kesi namba 10 inayomkabili Diana Bundala maarufu kama 'Mfalme Zumaridi' na kesi namba 12 inayomkabili mhubiri huyo na wenzake 84 ili kupisha usikilizwaji wa shauri lingine la mauaji. Katika shauri namba 10, Mfalme Zumaridi anakabiliwa na...
  6. BigTall

    MTWARA: Kesi ya Askari 7 wanaotuhumiwa kwa mauaji yapigwa kalenda

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara, leo Aprii 5, 2022 imeahirisha tena kesi ya mauaji inayowakabili maafisa saba wa Polisi hadi itakapotajwa tena Aprili 19, 2022. Akiahirisha kesi hiyo, Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Mussa Essanju amesema upelelezi wa kesi hiyo namba 1/2022 haujakamilika. Amesema...
  7. John Haramba

    Mtwara: Kesi ya mauaji inayowakabili askari saba yapigwa kalenda, mshtakiwa aweka ‘POZI’ kupigwa picha

    "Mmeridhika?" ndivyo anavyosikika Ofisa Upelelezi (OC CID) Wilaya ya Mtwara, Gilbert Kalanje na mshtakiwa namba moja wa kesi ya mauaji inayowakabili maafisa saba wa Polisi mkoani Mtwara huku kesi hiyo ikiahirishwa. Kalanje na maofisa wenzake sita leo Jumanne Machi 8, 2022 wamefikishwa katika...
  8. The Sheriff

    Kesi ya viongozi wa CHADEMA yapigwa kalenda hadi Desemba 23, 2019

    Kesi Na. 112/2018 inayowakabili Viongozi wakuu wa CHADEMA na baadhi ya wabunge katika Mahakama ya Kisutu Dar es salaam, leo imeaihirishwa hadi Desemba 23/2019, saa 3 asubuhi, Shahidi wa 6 (D.W.9) Ester Bulaya (Mb) akitakiwa kupeleka hati yake ya kusafiria ndani ya saa 2 leo hii. Sababu nyingine...
Back
Top Bottom