Kesi ya viongozi wa CHADEMA yapigwa kalenda hadi Desemba 23, 2019

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
617
1,799
Kesi Na. 112/2018 inayowakabili Viongozi wakuu wa CHADEMA na baadhi ya wabunge katika Mahakama ya Kisutu Dar es salaam, leo imeaihirishwa hadi Desemba 23/2019, saa 3 asubuhi, Shahidi wa 6 (D.W.9) Ester Bulaya (Mb) akitakiwa kupeleka hati yake ya kusafiria ndani ya saa 2 leo hii.

Sababu nyingine ni Wakili wa upande wa utetezi Peter Kibatala kupata dharura ya kifamilia ambayo imepelekea kushindwa kufika Mahakamani leo.
 
Back
Top Bottom