The Land Rover Range Rover (generally known simply as the Range Rover) is a 4x4 motor car produced by Land Rover, a marque and sub-brand of Jaguar Land Rover. The Range Rover line was launched in 1970 by British Leyland and is now in its fifth generation.
Additional models have been launched under the Range Rover name, including the Range Rover Sport, Range Rover Evoque, and Range Rover Velar.
Kwa taarifa zilizopo hadharani, Prof. Assad hajawahi kumtaja wazi kwa jina waziri huyo katika nukuu inayosambazwa kuhusu waziri kijana anayemiliki magari matatu aina ya LC300, Range Rover na majengo ya apartments.
Kauli hiyo imekuwa ikizunguka zaidi kwenye mitandao ya kijamii na mijadala...
Ukiachana na eVoque au RR Sports, kuna hizi RR ndefu zikijilock vitasa havionekani na kwa nyuma zina taa ndefu kwenda chini.
Bwana izo ni RR 5th gen (2023+), bei ya moto kinoma. Used tu bila Mil 400 kuzipata ni mtihani.
Mjapan pekee anataka Mil 270+ na TRA nao wanataka Mil 180+
Na hapo...
Magari mapya ya VVIP aina ya Range Rover SUVs huja na teknolojia ya kisasa yenye ulinzi wa juu unaojumuisha ballistic protection ya B6+ hadi B7, vioo vinavyostahimili risasi, run-flat tires zinazoruhusu gari kuendelea na safari hata likipigwa risasi, kinga dhidi ya milipuko, pamoja na mfumo...
Ndugu Zangu Wanajukwaa!
Mimi si mtaalamu wa magari kabisa, nimeona Range Rover hizi nyeusi, ndefu katika misafara ya Rais Samia Suluhu Hassan hasa baada ya kuapishwa kwake.
Nimejaribu "ku-Google" (gugo huko!) na nimejifunza mambo machache. Ninaomba mnisaidie kufafanua kwa wale wenye ufahamu...
Jana nimeona Rais Samia akiondoka na magari aina ya Range Rover mara baada ya kiapo.
Wajuzi wa mambo mje mtujuze yale magari ni Range Rover aina gani na sifa zake ni zipi?
Raia mmoja wa Uingereza amechapisha kwenye kundi la Facebook kuhusu gari lake aina ya Range Rover lilipotea miezi kadhaa iliyopita, ambalo sasa limeonekana likiwa Tanzania kupitia kifaa cha GPS alichokuwa amekificha ndani ya gari.
Tafsiri kwa udhamini wa google
Gari langu liliibiwa kutoka...
Ukisoma vizuri hiyo taarifa inaonesha jamaa aliiebiwa hiyo Range Uk aliweka tracker wahuni wali dissable tracker ikaja kutuma notification tayari imeshaingia bongo na imeonekana kwa Cashmoney car dealer inauzwa. Hii mipira mikali mikali ya mwaka wa mbele kutoka UK na Sauzi imekua mingi sana...
Kununua gari ya Range Rover ya milioni 150 kwa mshahara wa laki tano (500,000 TZS) kwa mwezi ni jambo gumu sana bila vyanzo vya ziada vya kipato, kwa sababu gharama hiyo ni kubwa mno ukilinganisha na kipato chako cha sasa. Lakini kuna njia kadhaa ambazo unaweza kutumia kama unadhamiria kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.