Au baada ya kupata uongozi ambao walioupata kwa hila, ghiliba na kutweza utu wa wengine, je, katiba hiyo waliyoiita mbovu sana ya chadema, sasa imekua nzuri, haina matatizo na sio mbovu tena na haihitaji marekebisho?
Na mbona hakuna hata siku moja tangu hawa majamaa waropokaji wamekua viongozi...
My friends, ladies and gentleman,
Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea...
In fact,
sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
baada
binafsi
chadema
gani
hata
hukumu
kabla
kanda
kisiasa
kujiuzulu
kwasababu
lisu
mara
mbalimbali
mikoa
mwenyekiti
nafasi
nafasi zao
nchini
taifa
tundu
tundu lisu
ujumbe
viongoziviongoziwachademawake
wao
wengi
wilaya
zao
Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa bado tunaamini kwamba mazungumzo kati ya CHADEMA na Ria Samia ni tiba na suluhu kwa kesi ya LISSU na ni suluhu kwa mkwamo wa kisiasa nchini.Migogoro ya kisiasa
humalizwa kwa njia ya mazungumzo mezani na ndio namna pekee tu ya kumaliza mizozo duniani...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna watu wahatari na balaa linapokuja suala la pesa basi ni Viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unatakiwa uwaweke mbali na pesa ama harufu ya pesa basi ni viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unapaswa kutokuweka Imani yako linapokuja suala la pesa na harufu ya pesa...
Usaliti watajwa kua chanzo kikuu cha mtifuano huo unaonukia. Mashahidi wa Lisu kulengwa zaidi pamoja na baadhi ya viongozi wa kamati kuu.
Tayari migawanyiko na makundi yameanza kuibuka na kukigawa chama hata kabla ya hukumu, na yakituhumiana kuhujumu misimamo ya chadema, agenda za chadema...
Kwasababu haiwezekani kila kampeni ya kiuchumi, kijamii au kisiasa wanayoianzisha chadema lazima ikwame na kuyeyuka katika mazingira ambayo hayana maeleo. Mathalani, michango ya tonetone ya sasa imebuma na na hutasikia kikielezwa chochote, sawa sawa na tonetone ile ya awali iliyobuma kifudifudi...
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
=============
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Bila shaka vikao vya kumtafuta Mbadala wa Nchimbi anayempenda yeye Mama, haya nasubiri kuona nani kuketi kiti cha Nchimbi
===============
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya...
Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini.
Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu...
Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?
Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama Chadema ambao ni wazi watakua wasindikizaji tu kwenye kila uchaguzi
Una maoni gani kwenye suala...
KITUKO KILICHOTOKEA MAHAKAMANI.
Wakati Mkuu wa Gereza yaani BWANA JELA ambae ni Andrew Shabani Ntamamilo alipohojiwa na Mhe. Tundu Lissu kuhusu Kuwazuia kabisa Mawakili kama Vile Deogratias Mahinyila, Dickson Matata lakini pia viongozi wakuu wa Chama akiwemo John Heche, Makamu Mwenyekiti...
Tumeshuhudia viongozi wa chadema wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli?
Imagine watu wao wanafurahia vifo vya viongozi lakini viongozi wa chadema Wapo kimya tu hivi hii ni kawaida kweli kwa mtu mzima mwenye akili timamu nadhani hawapo sawa.
Imagine...
Hali ni mbaya sana, ukiwa kiongozi wa CHADEMA we tayari ni mfungwa/maiti mtalajiwa.
Vibaka wa jeshi la polisi wamekuwa wakivamia usiku wa manane, vunja milango na kuwateka viongozi wa Chadema.
Ila huu uhuni unaendelea coz watanzania wenyewe mmeubaliki.
Mtu anaekuja usiku na kuvunja mlango...
Mathalani,
Mwenyekiti wa chadema taifa ni mtoro kazini na hakuna maelezo yoyote ndani ya chama hicho juu ya utoro huo na kwamba yupo wapi mpaka sasa, na wala hakuna sababu za msingi zilizoelezwa dhidi ya utoro huo. Hii ikimaamisha, muungwana amekosa sifa za kikatiba kuendelea na wadhifa huo na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nipo Nafanya Maandalizi Mazito kwelikweli ya Kutoa video itakayoonyesha Mkusanyiko wa Kauli Tata na za kichochezi zilizokuwa zikitolewa na viongozi wa CHADEMA na wanaharakati kabla ,wakati na baada tu ya zoezi la uchaguzi kufanyika.
Ambazo kwa kiasi kikubwa zilionyesha...
Ni ushauri wangu na mawazo na maombi yangu. Kama itawezekana hiyo Septemba Mbowe asiwepo kwenye hicho kikao muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu. Ni naamini Mbowe bado ana chuki kubwa na viongozi wa CHADEMA wa sasa. Huyo mzee nawambia hashindwi kufanya figisufigisu kuvunja chama. Mkae nae...
Kama ameshindwa mwenyewe kutumia maarifa, nguvu, akili na bidii yake alio jaaliwa na Mungu kujikomboa kiuchumi yeye binafsi na familia yake,
na badala yake ana fisidi fedha za chama kujikomboa kiuchumi, je, mtu huyo anafaa kudanganyana watu kweli kua anaweza kuwakomboa kisiasa na kijamii?
Mtu...
Je,
hapa mange kimambi anachochea au anasuluhisha vita moto moto inayoendelea ndani ya uongozi wa Chadema taifa kwasasa? :1Head:
Suala la Maridhiano na CCM
Mange Kimambi anadai kuwa amepata taarifa kutoka kwa watu wa ndani ya Chadema kuwa kuna viongozi wameshafika bei na CCM ili kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.