MTWARA: Kesi ya Askari 7 wanaotuhumiwa kwa mauaji yapigwa kalenda

BigTall

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
422
1,049
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara, leo Aprii 5, 2022 imeahirisha tena kesi ya mauaji inayowakabili maafisa saba wa Polisi hadi itakapotajwa tena Aprili 19, 2022.

Akiahirisha kesi hiyo, Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Mussa Essanju amesema upelelezi wa kesi hiyo namba 1/2022 haujakamilika.

Amesema watuhumiwa walipopewa nafasi ya kujieleza wamedai kutokuwa na hoja yoyote ya kuiambia mahakama.

Kesi hiyo inawakabili maafisa saba wa polisi wakituhumiwa kumuua mfanyabiashara wa madini Musa Hamis Hamis (25) Januari 5, 2022.

Askari Mtwara.jpg

Chanzo: UFM
 
Namtafuta mke wa yule askar aliyemnyooshea nape bastola nimridh tu hkn namna hawatoki
 
Maana hata ile tume ya PM iliyofanya uchunguzi Tanga na Mtwara hatujapata matokeo yake Kuna kaharufu ka kutaka ku temper na haki ya marehemu
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara, leo Aprii 5, 2022 imeahirisha tena kesi ya mauaji inayowakabili maafisa saba wa Polisi hadi itakapotajwa tena Aprili 19, 2022.

Akiahirisha kesi hiyo, Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Mussa Essanju amesema upelelezi wa kesi hiyo namba 1/2022 haujakamilika.

Amesema watuhumiwa walipopewa nafasi ya kujieleza wamedai kutokuwa na hoja yoyote ya kuiambia mahakama.

Kesi hiyo inawakabili maafisa saba wa polisi wakituhumiwa kumuua mfanyabiashara wa madini Musa Hamis Hamis (25) Januari 5, 2022.

Chanzo: UFM
Mahabusu anapopelekwa mahakamani anapewa vitu vyake

Huoni kina mbowe, sabaya nk wanakuwa na vitabu vya kusoma
 
Back
Top Bottom