Dstv yangu huu ni mwezi wa 3 nakula maisha

Toka mwezi agosti mimi nalipa kifurushi cha bomba lakini napata chaneli za Compact plus kwa mwezi wa tatu mtawalia.

Sijawahi kufanya magumashi yoyote yale kwebye king'amuzi hiki, yaani mpaka nimeanza kuogopa.

Je, wanaweza kunichaji zaidi siku wakinishtukia?
Nikwamba ukilipia kifurushi chako kabla mda wake haujaisha wanakuupgrade kwenda Cha juu yake Cha ulicholipia
 
Back
Top Bottom