Natafuta kazi/ internship/kibarua chochote taaluma yangu accounting and finace+driving

Gabriel123

Member
Sep 22, 2021
6
1
Dear sir/madam
Natafuta naishi dar es salaam gongo la mboto natafuta kazi yeyote au kibarua cha kuendesha maisha

a) Nina umri miaka 24
b) Sijaoa
c) Taaluma yangu accounting & finance uzoefu wangu custormer cara na sales kwa miaka 3 pia nina uzoefu wa driving miaka 4

d) Nina uwezo wa kufanya kazi tofauti mbali na taaluma nilizonazo full time

Kwa taarifa/ msaada zaidi nitafute
No 0625643065/0767983119
 
Back
Top Bottom