yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    TBT: Ulipokea matokeo yako ya Form Four ukiwa wapi, na ilikuwaje?

    Mimi ilikuwa mwaka 20__. Nilikuwa zangu nyumbani nimetulia naperuzi tu. Ila nilifurahi sana. Yako yalikukutia wapi, na ilikuwaje?
  2. Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako

    Mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke. Kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilikufa kwa sababu ya wanawake, na kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilisonga na kufanikiwa kwa sababu ya wanawake. Mpaka leo sijaoa, sijaoa kwa sababu sijaona sababu ya kufanya hivyo kwanza. Naona ndoa...
  3. Ni kubwa jinga ila kitandani yako Vizuri sana, nifanyaje?

    Hivi ushawahi kuwa na mpenzi kubwa jinga akili haimo kichwani? Lakini kitandani yuko vizuri balaa? Niambie uliendelea nae kimahusiano au ulimbwaga?
  4. Zingatia haya kulinda afya yako ya mwili

    Kumekuwa na malalamiko humu ndani watu wanapoleta matatizo yao ya kimwili na baadhi ya watu kuanza kuleta mizaha. Mjadala wangu leo umebase sana kwenye magonjwa yasiyoambukiza kisukari, pressure, Kansa and the likes. Wakati tunakua huko kijijini hayo magonjwa walikuwa wanasema ni magonjwa ya...
  5. Epuka jambo hili kama gari yako imeibiwa masega(Catalytic converter)

    Jambo la kuepuka ni kuweka masega ya kuchomelea iwapo engine ya gari yako itakuwa na EGR. EGR huwa inarudisha kiasi fulani cha moshi kwenda mahali ambako mafuta yanaungua(combustion chamber), kwa ajili ya kupunguza joto(combustion temperature) hivyo kupunguza pia kutengenezwa kwa Nitrogen Oxide...
  6. Fr. Kitima na TEC mnalijua hili? Msaidieni huyu binti apate haki yake

    "Mdogo wangu anaitwa Teresia Rubeni Mrimi. Ana cheti chake Cha kidato Cha nne kinachoshikiliwa katika Shule aliyosomea iitwayo Mother Theresa of Calcutta Secondary School nayomilikiwa na Kanisa Catholic Jimbo la Same. Mwaka 2014 Fr. (Padre) Emmanuel Yatera alimtembelea Fr. Valentino Luvara...
  7. Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?

    Kwenye ulimwengu wa sasa kuna kipindi unachukua namba ya mtu na unashindwa kumsave kwa jina lake, sometimes husababishwa na majina kufanana au kutomfahamu vizuri aliekupa namba. Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?
  8. Kuteuliwa kwa Dkt. Nchimbi: Rais Samia sasa kunywa chai yako kwa raha zako

    Kuteuliwa kwa Dr. Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa chama ni turufu kubwa sana, chama kimerudi mikononi mwa wenyenacho, wenye uchungu nacho, ambao hawategemewi kuezua nyasi ili nyumba ivuje. Mtu mwenye tamaa ya kuiona Tanzania inaendelea kung'ara na kuwa kielelezo cha Amani na mshikamano, mtu ambaye...
  9. P

    Unakumbuka mtaji wa biashara yako uliupata wapi?

    Hellow lovers, Unakumbuka mtaji wa biashara yako ulipata wapi? Ilikuaje? Tuambie tujifunze.
  10. Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  11. PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN

    Maandamano ya Jumatano, Januari 2024, yataanza Saa 3:00 asubuhi. Yatahusisha njia mbili kuanzia Mbezi Mwisho (Stand) na Buguruni, na yataishia Ofisi za UN, barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam. Nakala za barua za taarifa ya Maandamano haya zimepelekwa kwa makamanda wote wa Polisi Wilaya...
  12. Ukitulia kabisa na ukaitumikisha vyema Akili yako kwa Taarifa hii hapa chini unaelewa nini?

    Wauguzi 1330 Wamefeli Mitihani yao Chanzo: Magazetini Leo Ushauri wangu tu GENTAMYCINE kama kuna Mtu kwa sasa anataka Kuwekeza katika Biashara ili apate Faida Kubwa sana awekeze katika Biashara ya Majeneza, Sanda na Uchimbaji wa Makaburi hutokuja Kujutia.. Na nawakumbushenu tu kuwa hata mwaka...
  13. Unalisha familia ya Demu, vipi kuhusu yako?

    Je unajua kuwa unapomtumia hela Demu wako anakula na familia yake? Wanaume naomba tubadilike aisee! Demu anapokuomba hela make sure kwanza unatuma kwa Bi Mkubwa wako kwenu. Kwa mfano Demu amekuomba 10,000 na wewe una 12,000 hakikisha unatuma 11,500 kwenu kwa Bi Mkubwa halafu Jero inayobaki...
  14. Tuwakumbuke kwa nyimbo

    Msurprise mtu yeyote kwa jina lake na nyimbo ( dedication ) ajue hisia zako kwake. Anaweza kua mtoto wako, mpenzi wako, adui yako, crush wako na zaidi… Mtaje kwa tag, jina moja au mawili, sehemu alipo, hata kama hayupo JF, huenda akaja kupata ujumbe wake Kutoka kwako. Warning!! zingatia...
  15. ukiweza ku balance hisia zako utafanikisha matamanio yako!

    hisia ndio mtihani mgumu sana kwenye maisha ya mwanadamu na hii kwangu mimi binafsi ndio inanipa tafsiri ya wanadamu kuwa hatuko kamili!. mtihani upo hapa sio tu kuzishinda hisia zako ndio utafaulu hapana bali ukiweza ku balance hisia zako ndio utafaulu!. kwa maana ukizishinda sana hisia...
  16. Unaweza kurudisha Muamala wa Fedha iliyotumwa kimakosa kwenye akaunti yako ukiwa umefulia mbaya?

    Chukulia umekata ringi balaa halafu mtu kajichanganya katuma fedha kwako iwe kwenye akaunti ya Benki au Simu halafu akaomba urudishe, utatuma hiyo hela?
  17. Mwanangu Makonda, umeichoka na kuikinai nafasi yako chamani?

    Jana nilikusikia na kukusikitikia sana. Jinsi unavyojikaanga kwa mafuta yako mwenyewe. Jinsi unavyoonesha kuchoka na kukinai nafasi uliyonayo kwasasa chamani. Pale ulipozungumzia kuhusu mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Ngoja nikusaidie kwakuwa nilikuwa kiongozi mwandamizi chamani kabla yako...
  18. Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? (Do you regret your marriage, and why?)

    Habari za wekend. Wanandoa nina swali kwenu Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? Wazungu wanasema Do you regret your marriage, and why?
  19. Vitu vya kuviondoa kwenye CV yako mwaka 2024 (Things to remove from your CV in 2024)

    1. Career Objective: Avoid starting your CV with a generic career objective that focuses on what you seek rather than highlighting your value to the role. You can include an objective if you are doing a career pivot or if you are a fresh graduate. 2. Personal Information: Omit details like home...
  20. Unapata shot ya stock kwenye biashara Yako? Nipe kazi niwe stock controller wako. Mungu ni mwema SITAKUANGUSHA

    Nina uzoefu wa miaka minne na nusu ambapo nilifanya katika moja ya depot ya kampuni ya Cocacola, hizi ambazo zinaitwa SSD. Nilikuwa chini ya kampuni Fulani ambayo mshahara wangu ulikuwa ukipitia kwenye hiyo kampuni. Nilifanya kazi Kwa miaka kadhaa na niliacha kazi Kwa amani kabisa pasipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…