yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kama una ndoto ya Kumiliki McLaren, ndoto yako inaweza kutimia. Wametengeneza McLaren Senna Cheap

    McLaren ni ndoto ya wapenzi wengi wa magari. Ila bei sio rafiki. Mfano, hii McLaren Senna inauzwa MSRP $1,000,000 ambayo ni kubwa sana. Sasa McLaren wametengeneza Sena 30 ambazo ni toy, zenye scale ya 1:8 ukicompare na original car. Hii itauzwa $21,000/= tu na ipo sokoni tayari tokea jana...
  2. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kwenye safari ya mafanikio ukishajua nyota yako inaandamwa jitahidi sana kudhibiti mhemko (emotion)

    Huu ndio hasa ushauri wangu kwa kaka yangu mkuu wa mkoa wa Arusha. Inaonesha wazi nyota yake ya mafanikio ni kali sana na inaandamwa na kila mwenye nia njema na nia mbaya. Kwa wasomaji wa biblia wataungana nami kwa kurejea matukio mbalimbali ya kuandamwa kwa watu wenye nyota za mafanikio...
  3. instagramer

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Kigamboni, Bashungwa nimeamua kushikilia shilingi yako

    Ndugu wanaBodi... Ni matumaini yangu mmemaliza salama majukumu yenu ya siku kwa uweza wa Mungu. Ila kwa wale wanaoingia nightshift basi ikawe Heri na watoke salama asubuhi. Lengo la Uzi huu ni kuelezea changamoto niliyokumbana nayo Leo pale Kigamboni. Nikiwa katika shughuli za Kila siku za...
  4. Mgm-

    JamiiForums Tanzania Usimuazime simu yako mtu usiyemfaham vizuri, Itakugharimu

    Iko hivii; Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details zozote juu yake). Sasa kuna siku akaazima smu yangu ampigie mtu nikasita nikamwambia mimi sina...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kodi kwa wafanyabiashara: Kodi ya VAT sio yako

    Wafanyabiashara waelewe ukikusanya kodi ya mauzo ya VAT ya 18% ni juu yako kuweka tax kwenye bei zetu. Ile kodi ya 18% sio pesa yako umechukuwa na kuwashikia serikali. Sasa msije kufikiri ile pesa ni pesa yako ni pesa unatakiwa uweke kwenye bei.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Peleka mshahara wako wa Kwanza kwa Baba yako sio mchungaji wako ubebe bataka zako

    https://www.instagram.com/reel/C6wky19Nd4U/?igsh=MXg1dDR5bWhzNno5bg==
  7. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Je, Wanaume mnapendelea 50/50 Au kutekeleza majukumu yako yote?

    Je, Wanaume mnapendelea 50/50 Au kutekeleza majukumu yako yote na sio kutegemea msaada kwa mwanamke?
  8. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Vunja Imani Hizi Potofu Sita (6) Kama Unataka Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yako.

    Rafiki yangu mpendwa, Kila mtu aliye hai, ambaye ana shughuli yoyote ya kumwingizia kipato, anao uwezo wa kujenga utajiri kwenye maisha yake. Ndiyo, nimesema kila mtu, hata wewe unayesoma hapa, bila ya kujali unaanzia wapi, uwezo wa kujenga utajiri tayari unao. Kama unashangaa huo uwezo uko...
  9. covid 19

    JamiiForums Tanzania Usione nakubembeleza sana ukahisi sina kazi za kufanya, ni mapenzi tu kuna siku nitachoka kuyakumbatia madhaifu yako

    Hii ndio kauli niliyoambiwa na wife wangu kipindi hiko nipo moto balaa michepuko kama yote sieliwi nawaza misabwanda tu. Hii kauli ilibadili maisha yangu sana. Nikawa mpolee na familia.. Wewe uliambiwa kauli gani na mwenza wako ukabadili maisha yako ya mahusiana?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Helkopta unaonekana siyo usafiri sahihi kwa viongozi wa kitaifa; nini maoni yako?

    Tumeshuhudia usafiri wa helkopta ukiondoa nafsi za viongozi mbalimbali hasa katika kampeni za kisiasa au operesheni mbalimbali zikiwemo za kijeshi. Ni usafiri ambao unafaha sana kuzunguka eneo kubwa kwa muda mfupi lakini ukumbana na changamoto kubwa ya hali ya hewa au hitilafu. Akili yangu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kevin Nashon fundi wa mpira nina zawadi yako nitafute

    Hapa nchini kama tukiacha majungu na unafiki kiungo Kevin Nashon hafanani na kiungo yoyote yule mkabaji, kwa wale walioangala semi final leo baina ya Yanga na Ihefu watakubaliana na mimi kuwa dogo huyu ni fundi hasa lakini haheshimiki, hana bahati. Mzamiru Yasin ambaye ni kiungo punda hakabi...
  12. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Ijue nguvu ya kuongea na Nafsi yako

    Hii ni kwa wale wote ambao kwa namna moja au nyingine hawajiamini,wanajiona hawana thamani,huenda wanajiona hawana umuhimu wowote katika jamii na wamekata tamaa. Nina habari nzuri kwako hicho sio kilema kwamba kitabakia hivyo siku zote au ni ugonjwa ambao utakuganda siku zote,,,jambo zuri ni...
  13. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Lissu ukiendelea kumshambulia mzanzibar kumbuka kushukuru, ni mzanzibar alijitojitolea kukodisha ndege kuokoa maisha yako

    Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake, lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa. Alijitolea mbunge na kada wa ccm...
  14. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kubadilisha maisha yako Daima??

    Wakuu nina swali?? LEO KATIKA PITA PITA ZANGU Nimekutana mtandao (Whatsapp status) na dogo mmoja tulikutana ofice moja hapa jijini wakat nasajili campuni yetu.Kwakua yeye alikua very educated kwene haya maswala niliomba namba yake awe ananisaidia maana wao ndo walikua wanamalizia usajili namm...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu kuu mama au dada zako wanamchukia mke wako japo kwa jicho la kiume ni ngumu kujua

    Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi. Sababu ni hizi 𝗪𝗶𝘃𝘂 Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza vyema mkeo, dada yako mama yako pengine aidha hana ndoa kabisa ama aliolewa akaachika ama yupo...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Epuka kuajiri makundi haya ya watu kwenye duka/ biashara yako

    1. kijana wa kuuza duka ambae kashinikizwa na wazazi/ ndugu, hawa mara nyingi wamekubali kazi kwa msukumo tu kishingo upande, ni ngumu kufanya kazi kwa kujitoa 2. Ndugu wa mke - hakikisha wanakaa mbali sana na biashara, ni watu wanaoweza kuvuruga biashara na hata ndoa yako. 3. Rafiki yako...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Mhashamu baba Askofu Mkuu Ruwa'ichi kwa jubilee yako ya miaka 25 ya Uaskofu

    Tumsifu Yesu Kristo. Mungu ni mwema kila wakati. Hongera sana Mhashamu Baba Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam kwa kutimiza miaka 25 ya Uaskofu. Binafsi nakufahamu kuanzia Jimbo la Mbulu na hata ulipoteuliwa na Baba Mtakatifu kuja kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Mwanza. Ulipokuwa hapa Mwanza...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nini haswa ndio hisani ya mwelekeo wa maisha yako?

    Je ni; 1: Juhudi, Maamuzi na Muda 2: Astrology (nyota kutokana na mwezi wa kuzaliwa) 3: Bahati (ngekewa) 4: Numerology (namba kutokana na siku uliozaliwa) 5: Mapenzi na Kibali cha Mungu 6: Baraka au Laana ya vizazi/ukoo wenu. 7: Ukubwa au udogo wa Nyota yako Karibuni
  19. V

    JamiiForums Tanzania Muda sio rafiki yako na hauhitaji mbwembwe

    Wakati nasoma sekondari pale Iyunga tech, Mbeya kuna mambo mengi niliyashuhudia ila leo nimekumbuka moja. Kama mnavyojua Mbeya ni baridi la kwenda hivyo kuoga ni mtiti. Kwa hiyo kuoga masela ilikuwa Kwa nadra kishenzi yaani ukiona mwanafunzi mwenzako anaoga unashangaa. Ila yote tupa kule Kuna...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Breakfast yako kuu kwa sasa ni ipi?

    Wengine kila asubuhi chai Mkate wengine hupendelea Viazi mviringo kila asubuhi na wengine kiporo cha wali. Mimi Kwa mazingira ninayokuwepo asubuh siwezi kukwepa Mihogo Kama mnavojua cassava Kwa sasa ndo ipo on chart bila kuchoka Maharage na Juice ya passion. Kwanini kwanza navikubali vitu hivo...
Back
Top Bottom