yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana kabla haujafungua biashara yako katafute kwanza kinasa wateja. Utanishukuru baadaye

    Mimi sio mchoyo nawasanua vijana. Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja. Mambo ya customer care, location, research, demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache...
  2. ubongofaida

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji Company Profile?

    Je, unatafuta mtaalam wa kuandaa Business/ Company profile mwenye uzoefu na ujuzi wa kuunda maelezo ya kuvutia na yenye ufanisi? mimi ndiye mtaalamu unayemhitaji. Ninaweza kukusaidia kuunda Business/Company profile bora itakayovuta wateja wapya, kuimarisha uhusiano na washirika wa biashara, na...
  3. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

    Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??. jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome Sana. Jua Kuna kitoto kina umia mtaani, kwa sababu ya ujinga na maamuzi yako ya kipuuzi. Una jiita...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ni vipengele gani vya kimkataba vinapaswa kuwekwa unapompa mtu asimamie biashara yako Ili upate faida?

    Habari za hapa waungwana naombeni niongezeeni maarifa ya uendeshaji mzuri wa kibiashara case study ni hizi biashara zangu. Nina jamaangu muaminifu sana kwenye maisha na ni mzawa wa hapa nilipo yeye ni fundi viatu sasa ana kijiwe chake sehemu nikaona ni center yaani tukiweka viatu vya mitumba...
  5. cacutee

    JamiiForums Tanzania Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

    Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi). Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka. Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unahitaji miaka mingapi ili ufanikiwe kupitia kazi yako?

    Haya nimejifunza mimi kupitia shughuli zangu na kuwaona pia wengine kwenye shughuli zao. Mafanikio ni mchakato na kila kazi ina njia zake kuna kazi zinamafanikio ya haraka na hata kupotea huja kwa haraka sana kupitia kazi zangu tatu ninazofanya nimejifunza haya. 1. Biashara, hii ni kazi ngumu...
  7. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

    SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe. Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili...
  8. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Mwanaume tambua thamani yako

    Kama huna kitu, huna thamani na huo ndo ukweli. Hasa kwa sisi wanaume thamani yetu inaambatana na mafanikio tuliyo yapata kwa juhudi na maarifa yetu. Vijana wengi tunapoteza valuable time kudiscuss vitu visivyo na manufaa, toka nje kapige kazi, hakuna kitu kitakuja kwa kukaa siku nzima uki...
  9. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Je unajua kwa gharama Nafuu Unaweza Kupata Vipuri (Accessories) kwa ajili ya Laptop/ Desktop yako?

    Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite.....! Habar Ndugu.... Hata Kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/ Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la Changamoto yako hiyo, Fuatana nasi leo..!! Je Unajua kuendelea kutumia Kifaa chako katika utaratibu...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu anayehitaji attention yako akiona humpi anaumia?

    Kumekua na kawaida kwa watu wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi kuleteana visa vya hapa na pale especially mmoja anapogundua kwamba mwenzake anampenda sana. Mwanamke au mwanaume anapogundua anapendwa sana na mwenzake basi ataanza kumfanyia visa kama vile kutojibu sms zake kwa wakati...
  11. BWANA WANGU

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumpunguza ndugu yako?

    Habari zenu wakuu, Ndugu sio kama marafiki, ndugu atuchagui ila tunajikuta wapo kwenye maisha yetu tu. Ndugu ni kiungo muhimu sana kwenye maisha ya kila mtu hasa pale anapokuwa chanya kwako. Kwa upande mwengine kuna ndugu hasi hawa sio supportive, full majungu, uchawi, ubinafsi na mambo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Acha kuponda starehe msaidie ndugu yako achomoke kwenye tanuru la umaskini

    Sometimes kuchomoko kwenye cycle ya umasikini inahitaji upate mtu wa kukushika mkono. Unfortunately waswahili hatuna ustaarabu wa kusaidiana tunadhani ukimsaidia mtu atakuzidi mafanikio Haya maisha ni kama yameamua kua serious hakuna huruma kwa maskini. You have to play so hard perpendicular...
  13. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kazi yako inapokuwa burudani yako!

    Haitakuchosha! Hautahitaji kusimamiwa! Matokeo yanaweza kuwa kama ya huyu Mchina!
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Singida FG Hussein Massanza tunasubiria Matokeo ya Taarifa yako kuwa kuna 'Hujuma' ilifanyika kabla hamjacheza na Yanga SC jana

    Baada ya Kuiangalia Video Clip yako iliyowekwa na Gazeti la Mtandao wa Mwanaspoti (ulipokuwa unazungumza) huku Body Language yako ikielezea mengi na Sura yako ikiwa Kali isivyo kawaida na kama ulivyozoeleka naamini kuna Jambo lililojificha lakini kama Siku PCCB (TAKUKURU) wakiamua waingie Kazini...
  15. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Badilisha screen yako ya kawaida kuwa smart screen bila ya remote!

    Maendeleo ya teknolojia yamekuwa na kasi kubwa sana katika miongo ya hivi karibuni. Moja ya mabadiliko makubwa ni kuingia kwa smart screens, ambazo zimefanywa kuwa na uwezo wa kuunganisha na vifaa mbalimbali vya kidijitali na kutoa uzoefu bora wa matumizi. Hata hivyo, kununua smart screen...
  16. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Tuoneshe asili/maana ya ID yako kwa video au picha, ya kwangu ni hii

    Naona watu wengi wananiuliza nini maana ya prakatatumba, huyu mwamba cabo snoop aliitisha sana na ule wimbo wake wa Windhoek, sijui ameishia wapi lakini mimi nimekua fans wake mkubwa miaka yote.
  17. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Washikilie wanaokujali

    Kuna watu, ambao wapo na wewe wakati wa raha na huwamkaribu nawe kwa manufaa yao, Kuna watu wapo na wewe, wakati wa shida na huja tu endapo utakua katika wakati mgumu, Kuna watu wapo na wewe sababu tu kuna vitu mnafanya pamoja, yaweza kuwa kazini, masomoni, au kwenye shughuli mbalimbali za...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Baba, tumia mapumziko Yako ya week-end kwa kukaa na wanao.

  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania 'Matege Ndani' Baba yako aliyeondoka 'Mazima' aliwashindwa 'Coast Mafias' je, Wewe uliye Mwepesi utawaweza?

    Halafu acha Kuwaamini hao Waandamizi wako Watatu wa Idarani na Mmoja ni Mstaafu kwani Wanakuponza utaumia.
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya kipaji na mapendeleo yako

    Kipaji Ni uwezo yaani watu wanakuwa na maslahi na kile ulichonacho wakati hamu ni mapendeleo ni hisia ama tamaa unayokuwa na shauku nayo juu ya kitu /jambo fulani linalokuvutia. Ili kukitambua kipaji chako lazima uwe makini kwenye shughuli za kila siku au matendo unayoyatenda Kila siku yapi...
Back
Top Bottom