Ukitulia kabisa na ukaitumikisha vyema Akili yako kwa Taarifa hii hapa chini unaelewa nini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,116
Wauguzi 1330 Wamefeli Mitihani yao

Chanzo: Magazetini Leo

Ushauri wangu tu GENTAMYCINE kama kuna Mtu kwa sasa anataka Kuwekeza katika Biashara ili apate Faida Kubwa sana awekeze katika Biashara ya Majeneza, Sanda na Uchimbaji wa Makaburi hutokuja Kujutia..

Na nawakumbushenu tu kuwa hata mwaka jana idadi Kubwa ya Wanafunzi wa Uuguzi Walifeli Mitihani yao kama hawa wa Mwaka huu na cha Kushangaza na Kusikitisha wengi Wao bado wapo Mahospitalini na Wengine wapo katika Maduka ya Dawa hivyo ni HATARI juu ya HATARI Kudadadeki.
 
Wakati mwingine Gentamycine nakuonaga umekengeuka ila only genius people can understand you.
Ni kama ilivyo kwa Albert Eistein hadi leo dunia haijamuelewa lakini fizikia yake inafanya kazi hadi leo na vyombo vinakwenda anga za mbali japo hakuna aliye prove theory yake ya time dilation hadi leo kimahesabu unaweza prove lakini practically huwezi.
Sasa wewe uko kundi hili ulichoandika hapa wenye akili fupi hawatakuelewa ila ni falsafa kubwa mno.
Acha tutibiwe na hao manesi tu ajabu tunapona japo wengine wamefeli
 
Back
Top Bottom