ukiweza ku balance hisia zako utafanikisha matamanio yako!

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,223
56,876
hisia ndio mtihani mgumu sana kwenye maisha ya mwanadamu na hii kwangu mimi binafsi ndio inanipa tafsiri ya wanadamu kuwa hatuko kamili!.
mtihani upo hapa sio tu kuzishinda hisia zako ndio utafaulu hapana bali ukiweza ku balance hisia zako ndio utafaulu!.
kwa maana ukizishinda sana hisia utapoteza radha ya maisha na ukizishindwa pia radha ya maisha itapotea!,so it's better to balance.

ukiona mapenzi hayana maana hautayafaidi maana kwako mitazamo ishagonga mwamba!,vilevile hata kazi unayoifanya ukipunguza hali nayo itakosa radha na ukizidisha pia utaharibu!!.
this world is very confusing! nafikiri kilichotufanya hivi kipo na madhumuni yake.. zaa lea mwanao na hakikisha mtihani mwengine anaoweza kuumudu ni kubalance hisia zake!.

niwatakie siku njema.
 
Hisia za nyeto za kijinga hazipoi zinakataa kubalansika zenyewe zinajizidisha tu Pumbavu sana aliyegundua idea ya pull
 
Tatitzo ni halmashauri za vichwa vyote viwili hazina mahusiano mazuri,,,, , hii inapelekea kichwa kimoja kinamzidi mwenzie kwenye maamuzi !
 
Kuishi kwangu kwingi nimekuja kufahami binadamu tuko tofauti sana. Kikubwa kinachotutofautisha ni Vision zetu au ita malengo au matamanio.

Ukisha set malengo yako unaweza kupanga vipaumbele vyako. Malengo haya ni lazima yatoke moyoni siyo ya kujifanyisha.
Mfano, lazima niwe na degree. Lazima niwe na biashara kubwa, yaani lazima niwe na nyumba nzuri, etc. Ukiwa na malengo...vipaumbele vyako vita jiset na utatimiza tu.
 
Back
Top Bottom