yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Unique Flower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada ndio unachukuliwa riziki zako

    WAtu wengi wanajua waganga wanasaidia . Ila waganga hawasaidii waganga wanachukua mazuri yako anampa mteja wake mwaminifu halafu wewe anakusaidia some how unaona afadhali ila ukija jua kachukua nini au umeloose nini? Unazimia . Saivi maisha ya watu wengi yamezorota kisa kwenda kwa waganga cha...
  2. Prophet of Nations

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuanza ujenzi wa nyumba yako Tanzania?

    Unahitaji kuwa na kiwanja hatua inayofata nikutuona sisi wataalamu wa uchoraji ramani zakisasa za nyumba ya ndoto yako kisha utapata vibali vya serikali na kuanza ujenzi wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi simu /whatsapp +255 717 040837 au 0767267664
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

    Kila mtu anajujua tabia zake, kama wewe ni mwanamke je uko tayari mtoto wako wa kiume aowe mwanamke mwenye tabia zako? Na wewe mwanaume uko tayari mtoto wako wa kike aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako?
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kunywa wine yako

    Unapoitia mdomoni unaiskilizia fleva yake unaivuta kama Kwa sekunde tano mdomoni kisha unaipitisha taratibu katika koo na kuisikilizia Ladha ya kipekee ya mvinyo. Kwanini tunajiumiza Kwa mabia na mapombe makali wakati kuna kinywaji Safi cha wine hata ukijipatia vi image vyako vitatu vya baridi...
  5. Zero Competition

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako akikukosea jitahidi usiwe wa kwanza kumtafuta ili kulinda heshima yako

    Wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi suala la kugombana ni kitu cha kawaida na mkiona mna zaidi ta miaka miwili au mitatu hamjawahi hata kugombana basi ujue kuna tatizo katika mahusiano yenu. Inawezekana kwakua unampenda sana mwenzako inafikia wakati hata mkigombana kwa kosa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna nguvu gani muda wa asubuhi? Ni kama ndio inaamua siku yako nzima itakuwaje

    Habari za mchana wakuu. Kama thread inavyojieleza hapo juu kwanini kama ukikwazika asubuhi basi siku yako nzima utashinda vibaya na mihasira yani siku itakuwa mbaya kweli. Leo asubuhi kabisa kuingia tu ofisini nimekutana na incidence kutoka Kwa staff mwenzangu, nilikwazika na kuumia sana...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mambo gani huwezi kufanya au kumwambia mama yako mzazi

    Kwa wale ambao mmepata neema ya kuwa na mama Mpaka sasa Hivi ni mambo gani haupo comfortable kabisa kuzungumza na mzazi wako labda itokee yeye aanzishe. Mimi binafsi yako mengi ila.:- 1.Siwezi kupiga picha na mama ya pamoja labda itokee bahati mbaya tumepiga ile ya familia pamoja ila sisi mimi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hongera Lema kwa kuiacha familia yako Canada maana Arusha sasa iko moto

    Arusha iko moto kama Mamelodi Sundowns, winga Gambo winga Makonda mshambuliaji mzee Sabaya. Kwa kweli nakushauri Lema rudi Canada ukale hela za bure huko, we unawaambia watu ubunge sio kazi kwako halafu hapo hapo unatangaza kugombea tena kama sio uchizi ni nini. Unawaambia watu huwezi kwenda...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Yako Wapi Sasa? Nilisema Paul Makonda (Bashite) ni Dekio tu Safari Imeanza

    Paul Makonda ni sikio la kufa lisilo na dawa, maisha ni haya haya Makonda atabaki kuwa ni Dekio tu, Hana hulka ya utulivu, Hana hulka ya staha na utii, Hana adabu, Hana heshima, Hana heshima ya umri. Hulka za kisukuma ni za kishamba sana, sasa mziki ndio umeanza taratibu ili Makonda ajue yeye...
  10. Laptop bei nafuu

    JamiiForums Tanzania Je unasumbuliwa na uchache wa Port kwenye laptop yako?

    Kama laptop au computer yako ina port chache bas hii USB HUB itakusaidia kusulisha tatizo lako kwa kuweza kuchomeka flash disk zaidi ya 8 kwa wakati mmoja. Utaipata kwa Tsh 25,000 tu Pigasimu 0687391033 WhatsApp 0652565597
  11. Zee la madawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu kaniambia "Mimi ni mzuri bwana nitaolewa na mwanaume wowote yule tena kwa mahari juu"

    Huyu mwanamke sasa anakoelekea nampiga chini kimya kimya na kumpotezea mazima japo nimetoa mahari kubwa aisee kwanza kwenye uchumba ndugu zake walikuwa waongo waongo sana just imagine mpaka leo sijawahi kuona call yoyote ile kutoka kwa mzazi wake wala ndugu yake yoyote yule je likitokea tatizo...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

    Hello Shalom! Naongea na wakomavu ambao wanahitaji chakula kigumu na si uji tena. Uhai wa Mkristo uko katika maombi, mkristo ambaye haombi huyo ni mkavu, aidha amekufa kiroho au anakaribia kufa kiroho. Hivyo ni wajibu wa kila mkristo kuhakikisha mito ya uzima ndani yake haikauki. Na kuifanya...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ufanye nini kwa waliokuwa wakikudharau, wakikucheka, wakikusanifu na kufurahia mapito yako maishani pale mwenyezi mungu akikubariki kuwazidi?

    Je, 1. Uwalipizie Kisasi? 2. Uwasamehe na ikibidi Uwasaidie baadhi yao? 3. Uwafanyie Kufuru ya Kimatumizi? 4. Kama ni Wanaume basi kwa Makusudi utembee / ulale na Wake zao? 5. Kama ni Wanawake basi Ulale nao ( Uwakaze ) bila Huruma? 6. Uwatambie kwa Kuwakera 7. Unyamaze, utumie muda wako mwingi...
  14. Mr Mjs

    JamiiForums Tanzania Je, ni zipi sababu za kupanda kwa bei ya .Com domain kwa Tanzania?

    Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu. Nikaanza kufanya research juu ya kampuni ambayo ningeweza kuitumia kwaajili ya kuhost website yangu.lakini nikajikuta nakwama kutokana na gharama...
  15. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume jikaze, acha kulegea, mtoto wa kiume halii! Tusipobadilika tutawapoteza!

    Mtoto wa kiume amekuwa akipitia changamoto nyingi tu katika jamii kama mtoto wa kike, ila unakuta wao kusema inakuwa vigumu kwa sababu wameaminishwa kuwa wao Kidume, Nguzo ya Familia, akilia anaambiwa jikaze mtoto wa kiume halii, akionesha kuumia anachekwa anaambiwa acha kulegea, mwisho siku...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nimeiona Meli Mpya ya Karne ya Mwaka 2024 -Mwanza, Jaribu kulinganisha na MV Victoria ya Miaka ya 1974 na utoe maoni yako

    Inawezekana mimi sio engeneer au mtaalamu wa Meli, ila juzijuzi nimebahatika kuiona Meli yetu mpya ziwa victoria ikifanyiwa marekebisho ya mwisho kutembea ziwani. Kwa muonekano wake tu wa nje, inawezekana ndani ikawa ni kali balaa (excuse of doubt).Bila kumung'unya maneno muonekano wake wa nje...
  17. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Laki Moja yako itakupa milioni 3 kwa miezi 3 tu

    Habari za wakati huu ndugu zangu humu !! Siku nyingine tena tumshukuru Mungu tumeamka wazima, tukiendelea na harakati za utafutaji ridhiki za halali. Leo nina habari njema kwa wale wenzangu ambao hawana kazi ila wana pa kuanzia. Nazungumza na yule mtu ambaye anasema hana mtaji wakati mkononi...
  18. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya connect simu yako na Computer/ laptop kwa kutumia Xender

    1. Washa hotspot yako ili uweze kuunga simu yako na computer/ laptop hii ni free haihitaji kuwa na data/ bando kwenye simu yako 2.ingia kwenye Xender yako gusa neno Connect to PC itakupeleka sehemu hii hapo picha ya pili kwa chini 3.Kuna number hapo kwenye steps 3 izo ni web address...
  19. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Shirika la reli lasema ruksa mwananchi kuwa na treni binafsi. Kazi kwako Gwajima, tuletee treni yako

    Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kadogosa, amesema kuwa "ni kweli tuna watu wana mabehewa yao na hii imeanza tangu miaka ya 80 na tuna mabehewa mengine kutoka Uganda na tupo kwenye mazungumzo, tunaruhusu kuwa na vichwa vya treni, TRC tunaruhusu mtu kuwa na Treni yake na mabehewa ya kwake, unapojenga...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ficha mafanikio yako

    -Umenunua ndinga mpya, kaa kimya -Umenunua nyumba mpya, kaa kimya -Umepata pisi mpya, kaa kimya -Amepata mimba, umepata kaa kimya -Umepata promotion, kaa kimya Watu wako wa karibu hawapendi maendeleo yako,Wanapenda kuona unateseka na kutaka msaada. Ficha mafanikio yako.
Back
Top Bottom