wote

  1. JamiiForums Tanzania FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

    Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023 Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni katika uwanja wa Baba Yara nchini Ghana. Je, wawakilishi hawa wa Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Ili niamini wewe ni Pisikali lazima utoe urembo wote uliouweka Mwilini mwako

    Kwema Wakuu! Yaani unanisonya na kunipandisha na kunishusha kisa hilo wigi lako. Unachekesha sana. Mimi najua unakipilipili kikali sana. Hiyo Makeup yako iliyokuchonga sura na kuyafanya macho yako kuwa makubwa ndio unaniringishia wakati najua jinsi ulivyo na pua pana kama nyanya chungu. Kama...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ni kwamasingle wote

    Ukiona ndoa ya mtu inaharibika? Inapumua na gesi halafu mmoja anajifanya ndio eti anaonewa . Halafu anakuja kwako eti nataka tuwe marafiki baadae tuoane tupate watoto aisee kimbia futi elfu moja . Atakuletea shida sana kabisa mpaka ujione umekuja kimakosa duniani. Kuwa tu na mtu wako mpya...
  4. JamiiForums Tanzania Sheria ya kumhudumia Mwanamke ifutwe, kwa sasa Ajira zinatolewa kwa Wote bila upendeleo

    SHERIA YA KUMHUDUMIA MWANAMKE IFUTWE, KWA SASA AJIRA ZINATOLEWA KWA WOTE BILA UPENDELEO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Sheria ya Mwanaume kumhudumia Mwanamke ifutwe. Sheria ya mke kuchukua mkopo kwa Jina la mumewe nayo ifutwe. Ni sheria zilizopitwa na wakati na zisizoendana na ulimwengu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa wakristu wote, imfikie hadi papa, wazo la kuboresha kiapo cha ndoa cha kikristu

    Mambo yanasonga na dunia inabadilika. Kama tuliweza kukaa na kujadili tunafanyeje kuhusu masuala ya ndoa na ubatizo wa watu wale, basi tunaweza kukaa na kujadili kuboresha mambo mbalimbali. Siamini kama maelekezo yote yanatoka top down tu. Naamini yanaweza pia kutoka down up. Maji yakapanda...
  6. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote huenda likawa ni kaburi la afya za Watanzania

    Muswada wa Bima ya afya kwa wote ulifanikiwa kupitishwa bungeni mwezi uliopita, na tayari umetiwa saini na Rais wa Tanzania kuwa sheria rasmi, hivyo mchakato wa kutengeneza kanuni na taratibu za ufanyaji kazi kabla ya kuanza kutekelezwa umeanza rasmi. Bahati mbaya sana watu wengi hawajui mifumo...
  7. JamiiForums Tanzania Ukichelewa kidogo mnakufa wote

    Roadlife. Mko safarini safari ya kwenda mbali mara unamuona dereva wako keshaanza hivi mara apige miayo au anajikunakuna mara katoa mkono nje mara kwenye kiti chake amekaa upande, yaani hatulii basi stuka mara moja mshauri apumzike, vinginevyo hamfiki mbali anawaletea matatizo na pengine...
  8. JamiiForums Tanzania Binadamu Mwenye Umri Mkubwa Kuliko Binadamu Wote Duniani ni Kane Tanaka, Mjapani Ana Umri wa Miaka 121, Atoa Siri ya Kuishi Umri Mkubwa

    Wanabodi This is C&P kutoka mtandao wa Quora. Story Time The Oldest Woman in the World Breaks Her Silence Before Her Death and Reveals Her Secret 2 years ago A video of a monk who was rumored to be 163 years old went viral a few days ago leaving people startled as a result some internet users...
  9. JamiiForums Tanzania Vita ya Chalamila dhidi ya madanguro Dar ina viashiria vya ubaguzi

    Ukahaba mkoani Dar es Salaam na nchi hii kwa ujumla unafanyika kila mahali, sio katika madanguro ya Mwananyamala tu. Ukahaba unafanyika katika Lodges, Hoteli kubwa, maofisini kwa watu, katika magari na hadi nyumbani kwa watu. Kwanini vita vya ukahaba hapa Dar vimelenga madanguro tu ya aina ya...
  10. JamiiForums Tanzania Netanyahu asema hamna chochote kitazuia mapigo, hata warejeshwe mateka wote

    Kwa kifupi, hili la kurejesha mateka ni namna tu ya kuwapa HAMAS fursa ya kupumua, ila mapumziko kamili ni akhera kule kwa mabikira, kipigo kiko pale pale. =================...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu, Bima ya Afya kwa wote itakwama

    Habari wana Bodi, Ninachokishuhudia katika mwenendo wa watendaji pamoja na hali ya sasa ya mfuko wa Bima yà Afya, inakatishà tamaa yà kwanini mfuko huu unawafanyia hivi wateja wake? Kabla sijaendelea naomba niweke jambo moja sawa.. watumishi wa umma Tanzania tambueni kuwa ninyi sio Miungu watu...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israel kachanganyikiwa asema watu wote wanaounga mkono Hamas wafe wote

    Wanaukumbi. WAZIRI WA ULINZI WA ISRAELI ANASEMA WATU WOTE WANAOUNGA MKONO HAMAS LAZIM WAFE WOTE. Alisema wafuasi wote wa Hamas wa Palestina duniani "wanapaswa kufa" hata wale wasio na silaha "waliovaa suti" Baada ya kipigo huko Gaza kila kiongozi wa Israel anasema lake kila mmoja...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna mganga wa kienyeji mkweli wote ni matapeli, kurogana hakupo, wajinga ndio waliwao

    Habari wadau. Hajua kuna watu wengi wanaamini wapo waganga wa kienyeji wa ukweli. Uhalisia waganga wa kienyeji wote ni matapeli. zama hizi za information era. ukienda kwa mganga wewe ni mjinga https://www.youtube.com/watch?v=3fk5Jq5sHhs&t=361s
  14. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wote waache shule na vyuo: Ushauri wa tahadhari

    Hii ni tahadhari nawapa, kwa wazazi na wanafunzi kwa ujumla. Ewe mzazi, usipoteze mamilioni kusomesha mtoto wako kwa uchungu na kwa jasho halafu akarudi nyumbani kukaanga chips na kuendesha bajaji. Ewe mzazi, usiuze ng'ombe zako, usiuze ardhi yako, usifilisi biashara zako kwa ajili ya kupeleka...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa wanasiasa wote waislam

    Naomba niwapa darasa kidogo waumini wenzangu wanaisiasa. Hatujakatazwa kushiriki ktk siasa wala kuwatumikia wananchi kwa njia ya kisiasa. Siasa ni moja ya kazi binaadam inampatia rizik zake. 1. Watoto kuwapa elimu ya shule na elimu ya dini. Wengi wenu tunawapa watoto elimu ya shule na kuwaacha...
  16. JamiiForums Tanzania Inashangaza sana Israel Mbonyi ndiye mwanaziki anayekimbiza kuliko wote Afriki Mashariki kwasasa na kuwaacha hadi wakina Diamond kwa views Youtube

    Israeli mbonyi ni mwanamuziki wa muziki wa injili kutoka Rwanda. Kijana huyu anaimba nyimbo zinachukua views wengi youtube tofauti na wanamuziki wengine wa afrika mashariki. Tumpe pongezi zake. Saivi ana nyimbo zinazobamba youtube ziitwazo ninasiri na Nitaamini. Wimbo wa ninasiri umetoka...
  17. S

    JamiiForums Tanzania CCM imekubali ife kuwabeba mawaziri hawa?

    CHAMA cha Mapinduzi ni chama makini chenye uwezo wa kubadilika kutokana na nyakati lakini kwa sasa wanachama wengi wanahoji ukimya wa kushindwa kuchukua hatua za kuwang'oa mawaziri hawa ili kukinusuru chama ni nini? Mawaziri wanaoongoza kulalamikiwa na wananchi ambao ni Wajumbe wa Halmashauri...
  18. JamiiForums Tanzania Kheri ya siku yako ya kuzaliwa kipenzi cha Wananchi 𝐆𝐒𝐌

    Leo tarehe 19.11.2023 siku hii inaitwa #GSMDay na Wananchi wote tunajumuika pamoja kusherekea siku hii maalum.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuamini kuwa aliyetuumba alituumba ili tumuabudu, bali alikuwa na malengo mengine na inawezekana viumbe hai wote kwake ni mifugo

    Mtanisamehe kwa mada hii inayoweza kuleta ukakasi ila hili ni Jukwaa huru. Tumekuwa tukiambiwa kuwa alietuweka hapa duniani alifanya hivyo ili tumuabudu. Binafsi hili swala kwangu linanifanya nikjiule maswali mengi sana; 1. Yaani alijichosa kisa tu kuabudiwa? Na kama ni kweli ili tumuabudui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…