Inashangaza sana Israel Mbonyi ndiye mwanaziki anayekimbiza kuliko wote Afriki Mashariki kwasasa na kuwaacha hadi wakina Diamond kwa views Youtube

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
5,721
7,446
Israeli mbonyi ni mwanamuziki wa muziki wa injili kutoka Rwanda. Kijana huyu anaimba nyimbo zinachukua views wengi youtube tofauti na wanamuziki wengine wa afrika mashariki.

Tumpe pongezi zake.

Saivi ana nyimbo zinazobamba youtube ziitwazo ninasiri na Nitaamini.

Wimbo wa ninasiri umetoka miezi minne iliyopita mpaka sasa unaviews Millioni 21, na wimbo wa nitaamini umetoka wiki mbili zilizopita mpaka sasa una views Millioni 3.2.


View: https://www.youtube.com/watch?v=v5nfmtFzvvk


View: https://www.youtube.com/watch?v=iwcjcSEmw60
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom