Maproducer bora wa muziki kwa wakati wote, achana na wa kizazi hiki

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
1,744
Wakati Bongo Fleva inakuwa, producers wengi walikuwa wakali na kila mmoja alikuwa na radha yake kwenye muziki, ukisikia ngoma mpya tu unajua huyu ni flani, kila mtu alikuwa na jina lake na hata wasanii wake, na kila mmoja alitengeneza msanii na kumfikisha kwenye peak.

Kwangu hwa ndio walikuwa wazalishaji bora wa muziki kwa kipindi hicho.

John Mahundi
Biz man
Roy-G2
P Funk Majani -Bongo Records
Producer Amba-AB Music room
Master Jay - MJ Record
John B - Grand Master
DX-Noizmekah
Daz Knawledge - Dab Muzik
Said Comorien
Steve White
Q the Don
Sam Timber - A2P Record
Kidbwoy - Tetemesha Record
Mika Mwamba

Hawa ndio walifanya mziki ukawa mziki mpaka sasa kuna watu wanatambulika, na producers wengine wametokea kwenye mikono ya hawa kama:
Nusder Pianist
Marco Chali

nk

Wewe ni producers gani wa zamani ulikuwa unamuaminia.
 
yule dogo wa fishcrap Lamar yupo wapi siku hizi?!
na hitmaker ya "sumu ya penzi"' Triss...
 
Baadhi ya ngoma walizo piga hao maproducer ni pamoja na.
1. Sister ya Gk
2. Tunakukumbuka ya Gk
3. Kamanda ya daznundaz
4.barua ya daznunda
5. Zari la mental ya prof jay
6.swahiba ya jebby na afande
7.kioo cha jamii ya afande sele
8.elimu dunia ya dazbaba
9.umbo namba nane ya daz baba na fid q.
10. She got agwan ya mangwea
11. Zeze ya top in dar
12. Mapoz ya mr blue.
13. perfume ya josline.

Nakumbuka hizo tu.

Pia nyimbo hizo kwa zamani zilionekana hazina maadili lakini maudhui yake ni makubwa na ukizisikia utaamini kwa sasa hakuna mziki.

Maoni yangu.
Wakati Bongo Fleva inakuwa, producers wengi walikuwa wakali na kila mmoja alikuwa na radha yake kwenye muziki, ukisikia ngoma mpya tu unajua huyu ni flani, kila mtu alikuwa na jina lake na hata wasanii wake, na kila mmoja alitengeneza msanii na kumfikisha kwenye peak.

Kwangu hwa ndio walikuwa wazalishaji bora wa muziki kwa kipindi hicho.

John Mahundi
Biz man
Roy-G2
P Funk Majani -Bongo Records
Producer Amba-AB Music room
Master Jay - MJ Record
John B - Grand Master
DX-Noizmekah
Daz Knawledge - Dab Muzik
Said Comorien
Steve White
Q the Don
Sam Timber - A2P Record
Kidbwoy - Tetemesha Record
Mika Mwamba

Hawa ndio walifanya mziki ukawa mziki mpaka sasa kuna watu wanatambulika, na producers wengine wametokea kwenye mikono ya hawa kama:
Nusder Pianist
Marco Chali

nk

Wewe ni producers gani wa zamani ulikuwa unamuaminia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikitika sana kutoona Jina la mkali wao Dunga wa mandugu Digital.
Dunga kagonga ngoma kali sana kama vile:

Chai - TmK ya Akina Nature
Kazi ipo - Wanaume ya kina chegge ft Chilla
Nipeni deal deal - Ngwair
Nipe mimi - Temba
Ngoma kibao za Joh makini.
N.k

~I moved your cheese! So what?~
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom