Nawatakia heri ya Sikukuu ya Pasaka Wanachadema wote duniani kote, Mungu awabariki sana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,643
218,099
0BCC1CBE-D86D-47B4-8774-A17330D5C79B.jpeg

Hizi ndio salamu zangu za Sikukuu ya Pasaka kwenu nyote , Wanachama , Wapenzi pamoja na viongozi wote popote mlipo duniani , nyinyi ndio nguzo ambayo watanzania wameichimbia ili nyumba isibomoke , juhudi zenu zinatambulika , vikwazo mnavyopitia ndio ile " njia nyembamba " inayotajwa kwenye vitabu vitakatifu , Msiogope !

Msherehekee kwa Amani .

#TUENDELEE KUNAWA MIKONO KWA KUTUMIA MAJI TIRIRIKA NA SABUNI ILI KUPAMBANA NA CORONA
 
japo mimi siyo mshabiki wa chama chochote kile cha kisiasa hapa nchini, ila nmepokea 'salamu yako ya siku kuu ya pasaka' nakutakia na wewe pia.
 
Wewe mbaguzi hata salamu za sikuku. Umeishina wanachama wa chadema wangapi ndani ya maisha yako. Jee wale ndugu na marafiki wasiopenda siasa na hawana chama, na hata wake wa vyama vingine visivyo ccm, nao ni maadui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ndio salamu zangu za Sikukuu ya Pasaka kwenu nyote , Wanachama , Wapenzi pamoja na viongozi wote popote mlipo duniani , nyinyi ndio nguzo ambayo watanzania wameichimbia ili nyumba isibomoke , juhudi zenu zinatambulika , vikwazo mnavyopitia ndio ile " njia nyembamba " inayotajwa kwenye vitabu vitakatifu , Msiogope !

Msherehekee kwa Amani .

#TUENDELEE KUNAWA MIKONO KWA KUTUMIA MAJI TIRIRIKA NA SABUNI ILI KUPAMBANA NA CORONA
Nasi tunawatakia Pasaka njema WASIYO wanachama au wapenzi wa Chadema!
 
Kristo amefufuka limbuko lao waliokata tamaa. Asante kwa salami. Never give up, come rain come sun we shall over come.
 
View attachment 1416877

Hizi ndio salamu zangu za Sikukuu ya Pasaka kwenu nyote , Wanachama , Wapenzi pamoja na viongozi wote popote mlipo duniani , nyinyi ndio nguzo ambayo watanzania wameichimbia ili nyumba isibomoke , juhudi zenu zinatambulika , vikwazo mnavyopitia ndio ile " njia nyembamba " inayotajwa kwenye vitabu vitakatifu , Msiogope !

Msherehekee kwa Amani .

#TUENDELEE KUNAWA MIKONO KWA KUTUMIA MAJI TIRIRIKA NA SABUNI ILI KUPAMBANA NA CORONA
Kwahiyoo mkuu Erythrocyte sisi tusio na chama salamu hizi za Kristo mfufuka hazituhusu?
 
View attachment 1416877

Hizi ndio salamu zangu za Sikukuu ya Pasaka kwenu nyote , Wanachama , Wapenzi pamoja na viongozi wote popote mlipo duniani , nyinyi ndio nguzo ambayo watanzania wameichimbia ili nyumba isibomoke , juhudi zenu zinatambulika , vikwazo mnavyopitia ndio ile " njia nyembamba " inayotajwa kwenye vitabu vitakatifu , Msiogope !

Msherehekee kwa Amani .

#TUENDELEE KUNAWA MIKONO KWA KUTUMIA MAJI TIRIRIKA NA SABUNI ILI KUPAMBANA NA CORONA
Samahani lakini, hivi hayo mayai kwenye bango niyandege gani vile!!
 
Back
Top Bottom