johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,919
- 141,884
Leo mkuu wa mkoa wa Simiyu mh Mtaka amezindua utaratibu wa kupulizia dawa mabasi yote na vyombo vingine vya usafiri mkoani humo.
Katika tukio la kushangaza wananchi waliokuwepo stendi kuu kushuhudia zoezi hilo walimtaka mkuu huyo wa mkoa kutoa agizo la kuwaweka katika Karantini abiria wote wanaoingia mkoani humo wakitokea Dsm.
RC Mtaka aliwajibu kuwa yeye hana mamlaka hayo na kwamba mwenye uwezo wa kutoa agizo kama hilo ni Waziri mkuu mh Majaliwa.
Source ITV habari!