wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Reginald L. Ishala

    JamiiForums Tanzania Stanbic bank Tanzania: Wizi wenu umetuchosha!

    Habari, Wanajamvi! Kama nilivyosema hapo juu kuhusiana na Stanbic Bank TZ... Watueleze wapi wanaipeleka pesa yetu inayosalia kama kilinda a/c baada ya kuhamisha,kutoa, ama kutuma pesa wakati wanakuwa wameshakata SH 3,000 kama makato yao ya mwezi? Nachukia sana na wanakera sana kwa wizi huo...
  2. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Kuanza tena wizi, ubeberu na hatma yetu

    Inasikitisha lakini haishangazi, kwamba wapo baadhi ya watu, wakiwemo Watanzania wenzetu wameanza tena kurejea tabia iliyokuwa imeanza kukoma, ya udokozi wa mali ya umma, wizi. Kwamba baadhi ya wafanyabiashara waliokuwa na mwenendo mzuri wa kulipa kodi wameanza ujanja na kulegea katika msimamo...
  3. DAVID PALMER

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia wizi wa ajabu huku kwetu

    Kisa cha jana Huku mtaani kwetu bwana kuna nyumba fulani inafanyiwa finishing. Hakuna aliyehamia bado. So wamemaliza plasta so wanataka anza skimming na rangi. Wameleta ndoo kibao za rangi kwa ajili ya kuanza kazi. Nyumba ina geti so vifaa vinakaa ndani na fundi pia mmoja hulala humo. So...
  4. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Hili la wizi na wawekezaji kuanza kusita limenishtua sana

    Rais Samia ametujuza hivyo leo. ...kwamba wizi na umeanza kurejea kwa kasi katika Idara nyingi za Serikali. ...zaidi ametujuza hata wawekezaji waliokuwa katika hatua za mwisho kabisa za kumalizia taratibu za uwekezaji wameanza kusita! Haya mambo yanahitaji mjadala mpana kwa maslahi ya Nchi.
  5. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kwako Mkuu wa Mkoa wa Dar (Kesi za Wizi Majumbani Zimeshamiri). Usalama hakuna

    Mkuu wa Mkoa wa Dar pamoja na Mambosasa. Hii hari ninayo isikia na kuona mtaani na kila ninapotembelea vituoa vya polisi sio nzuri. Usalama wa raia na mali zoa haupo tena. Watu wanavamiwa mchana, usiku, asubuhi na jioni. Mko wapi? Mfano: Staki shari kuna kesi kibao za watu kuibiwa. Kule...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Watuhumiwa 56 Wakamatwa kwa wizi wa magari 12 na pikipiki 28

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 56 KWA WIZI WA MAGARI NA PIKIPIKI, MAGARI 12 YA WIZI NA PIKIPIKI 28. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam katika kipindi cha kuanzia Mwezi Machi hadi Aprili 2021 limefanya oparesheni ya kupambana na wahalifu vinara wanaojihusisha...
  7. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Kuna wizi wa vifaa vya magari maeneo ya Goba, Mbezi na Temeke

    Habari wana JF Kuna wizi mpya wa vifaa vya magari naona umekithiri sana huko maeneo ya Goba, Mbezi, Temeke watu wanaibiwa sana vifaa naomba Ma RC , POLISI N.K walishugulikie hili swala wezi wanajulikana n wanaonunua hivo vifaa vya wizi wanajulikanaa...
  8. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Muwe Makini Mtandao wa Halotel kinachofanyaka ni wizi

    Niende Moja kwa Moja kwenye Hoja. Baada ya tarehe mbili Mwezi huu Aprili kupewa onyo juu ya bei ya mabando, hawa watu halotel waliweka Gharama walizodai ni za kawaida accordingly kwa wao kuzingatia waliyoiweka ndio bei kabla ya offer. Mh Rais Alivyoendelea kuwaonya HALOTEL walirejea kama...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Vijana wa Tanzania hawaaminiki, wakiachiwa biashara bila kuiba wanajiona wajinga

    Wakati Waziri Mkuu akiahirisha Bunge baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, Spika Ndugai ameongelea suala la uaminifu wa watanzania hasa kwa vijana na kudai wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamika. Ndugai amesema mtu anaeanzisha mradi atajikuta tu amefilisika asipokuwa makini. '' Mtu akianzisha labda...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Huwezi kumfunga mikono mwizi kwasababu wizi ni roho

    Huenda mwendazake alifikiri ukali na vitisho ni silaha ya kunyamazisha wizi au kumaliza wezi, lakini kiukweli wizi ni roho. Wizi ni kama Madawa ya kulevya. Mbwia Madawa akikosa Madawa yuko tayari kufanya lolote kutimiza kiu (desire) yake. Kile kiu ni ile Nguvu ya spirit (roho chafu iliyomo...
  11. TEAM 666

    JamiiForums Tanzania Ni zipi mbinu za kudhibiti wizi kwenye duka la jumla?

    Hello JF, Moja kwa moja kwenye bandiko Mimi ni mmoja wa wamiliki wa Duka la Jumla kiukweli hi biashara inalipa sana hasa inalipa faida ya milion 1.5 kwa mwezi kabla ya kutoa malipo ya wafanyakazi na Kodi ya pango nabaki na 600k au 700k Kama faida, kwa Duka moja. Hivyo kutokana na biashara...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Kudhibiti wizi wa mali za umma Baraza la mawaziri lisiwe na siri

    Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Musa Assad amesema ubadhirifu unaotokea kwenye baadhi ya wizara huwa hauna maelezo zaidi ya kusema 'Ni maamuzi ya Baraza' Amesema suala hilo linafanya kuwepo kwa mianya ya rushwa na matumizi mabaya ya mali za umma, hivyo ni vizuri kuwa na...
  13. Mzanzibari Huru

    JamiiForums Tanzania CAG isiwe na kazi ya kutuletea taarifa ya majizi na pesa waloziiba serikalini ni bora watafute mbinu ya kuzuia wizi, hili pendekezo

    Ndugu wana jamii Wizi serikalini na katika mashirika ya umma ni tatizo sugu. Tatizo hili lipo miaka nenda miaka rudi. Tatizo hili ni shida sana kulitatuwa kwasabu ni tatizo lililomo kwenye damu ya watendaji. Ikiwa kazi ya CAG ni kutowa ripoti kila mwaka juu ya wizi ulifanyika kila mwaka jana...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

    Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana? Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika. Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Tsh milioni 400 katika ujenzi wa vituo vya Afya Ndago na Kinampanda wilayani Iramba, nini hatma ya DC na DED?

    Mtakumbuka mwaka 2019 waziri Mkuu Kasim Majaliwa aliibua wizi mkubwa wilayani Iramba mkoani Singida. Waziri Mkuu katika ziara yake aliwaambia wanainchi kuwa serikali ilitenga mabilioni ya fedha kwa ujenz wa vituo vya Afya kote nchini. Alisema ktk wilaya ya Iramba zaidi ya Tsh million 400...
  16. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DCI yamkamata mwanaume aliyenakiliwa akitaka kumchoma mshukiwa wa wizi Mombasa

    TAHADHARI: Video huenda 'ikakusumbua akili' Idara ya upelelezi nchini Kenya DCI imemkamata Swabir Abdulrazak Mohammed, mwanaume aliyenakiliwa kwenye video akimpiga mshukiwa wa wizi jijini Mombasa. Swabir, ambaye ni mlinzi katika kiwanda cha Ajab Unga alirekodiwa akimpiga mshukiwa huyo huku...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TIRA yaja na stika za Bima za kielekroniki ili kudhibiti wizi

    Kuanzia aprii 1, 2021 Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania(TIRA) imewatangazia wamiliki wa vyombo vya moto kuwa ulipiaji wa bima hautakuwa na utoaji wa stika za kubandika kama ilivyokuwa Badala ya Stika za kubandika mteja atapewa namba ya kielekroniki ya stika. Hatua hii imefikiwa kutokana na...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wizi wa magari umerudi kwa kasi, jua mbinu za wezi wa magari

    Kumekuwa na ongezeko la wimbi la wizi wa magari hasa jijini DAR ES SALAAM. Kwenye groups za WhatsApp hazipiti siku kadhaa linaletwa tangazo kuwa Kuna gari limeibiwa. Magari ambayo yamekuwa yakiibiwa zaidi Ni TOYOTA IST na mengine yenye injini za 1NZ na 2NZ. Hapa ni baadhi ya mbinu zitumiwazo...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kifanyike ili kuondoa wizi maofisini na katika mashirika ya Kiserikali?

    Toa maoni yako hapa, Jambo gani lifanyike ili kudhibiti wizi wa Mali na fedha za serikali? Je, mishahara ni kidogo? Marupurupu yaongezwe? Unadhani ni kipi kiboreshwe ili kukomesha hali hiyo?
  20. Richard

    JamiiForums Tanzania Wizara zenye wizi na ubadhilifu zapaswa kufanya tathmini (Risk Assessment) za kila mara, vitendo hivyo ni sehemu ya hujuma kwa taifa

    Wizara mbalimbali zimekuwa zikikabiliwa na matatizo kama ubadhilifu wa fedha, wizi wa kimtandao na wa kughushi na hata matishio ya kusambazwa kwa taharuki kutoka kwenye mitandao ya kijamii. Kumekuwa na taarifa za vitendo vya udanganyifu katika Wizara ya Ardhi, nyumba na maendeleo mijini, wizi...
Back
Top Bottom